Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

propaganda
kitu hichi hapa kinaitwa Javeline na Stinger inadungua mafaru yaliyotoka russia na kuwa kama chapati, hii unaweka begani tu haina haja kutoka ma-tank unakotoka ina uzito wa 27kg na inaweza kupiga kwa umabali wa 16km kutoka hapo kwenu mbagala hadi kariakoo

 
Hii kitu shngapi mkuu?
 
Wapi uliona Marekani haamini macho yake? nakushauri acha upuuzi!!
 
show us the results kama mrusi ana hali mbaya, nachokiona warusi wanazidi kuadvance karibu miji yote sasa wanaichukua. Au mim nasomaga BBC ya PUTIN?
Hiyo ni taarifa ya mkuu wa idara ya ujasusi ya Marekani ya jana na juzi sasa kama una taarifa nyingine zaidi na wewe ziweke

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Umebwabwaja mno Naomba utupe Source ya habari yako hiyo!!
 
Kabla hujaandika ingejaribu kwanza kufanya kautafiti kadogo drones technology imeanza kutumika miaka gani na Soviet Union ilivunjika mwaka gani

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…