Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.

Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na kipindi husika kulikuwa na shehena kubwa ya silaha zikiwa tayari kusafirishwa ili zikatumike.

Kambi hiyo pia ilikuwa inatumika kama chuo cha mafunzo ya kijeshi kwa kutumia wakufunzi wa Nato namnà ya kutumia hizo silaha wanazopewa na NATO.

Siku moja kabla ya shambulizi hilo Urusi ilitoa onyo kuwa misafara ya kupeleka silaha Ukraine tangu Sasa ni "legitimate war target"!

Onyo hilo lilisababisha wakufunzi wa Nato waondoke kwenye kambi hiyo vinginevyo wengi wangeuawa!

Marekani hatimaye wamegundua siri ya jeuri ya Mrusi kuwa makombora (missiles) yake yamefungiwa kifaa maaluma ya kuzizima rada ili yasionekane na hivyo kukwepa kudunguliwa na anti- missile systems!
propaganda
kitu hichi hapa kinaitwa Javeline na Stinger inadungua mafaru yaliyotoka russia na kuwa kama chapati, hii unaweka begani tu haina haja kutoka ma-tank unakotoka ina uzito wa 27kg na inaweza kupiga kwa umabali wa 16km kutoka hapo kwenu mbagala hadi kariakoo

safe_image.jpg
 
View attachment 2151434
Hii kitu shngapi mkuu?
 
Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.

Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na kipindi husika kulikuwa na shehena kubwa ya silaha zikiwa tayari kusafirishwa ili zikatumike.

Kambi hiyo pia ilikuwa inatumika kama chuo cha mafunzo ya kijeshi kwa kutumia wakufunzi wa Nato namnà ya kutumia hizo silaha wanazopewa na NATO.

Siku moja kabla ya shambulizi hilo Urusi ilitoa onyo kuwa misafara ya kupeleka silaha Ukraine tangu Sasa ni "legitimate war target"!

Onyo hilo lilisababisha wakufunzi wa Nato waondoke kwenye kambi hiyo vinginevyo wengi wangeuawa!

Marekani hatimaye wamegundua siri ya jeuri ya Mrusi kuwa makombora (missiles) yake yamefungiwa kifaa maaluma ya kuzizima rada ili yasionekane na hivyo kukwepa kudunguliwa na anti- missile systems!
Wapi uliona Marekani haamini macho yake? nakushauri acha upuuzi!!
 
show us the results kama mrusi ana hali mbaya, nachokiona warusi wanazidi kuadvance karibu miji yote sasa wanaichukua. Au mim nasomaga BBC ya PUTIN?
Hiyo ni taarifa ya mkuu wa idara ya ujasusi ya Marekani ya jana na juzi sasa kama una taarifa nyingine zaidi na wewe ziweke

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.

Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na kipindi husika kulikuwa na shehena kubwa ya silaha zikiwa tayari kusafirishwa ili zikatumike.

Kambi hiyo pia ilikuwa inatumika kama chuo cha mafunzo ya kijeshi kwa kutumia wakufunzi wa Nato namnà ya kutumia hizo silaha wanazopewa na NATO.

Siku moja kabla ya shambulizi hilo Urusi ilitoa onyo kuwa misafara ya kupeleka silaha Ukraine tangu Sasa ni "legitimate war target"!

Onyo hilo lilisababisha wakufunzi wa Nato waondoke kwenye kambi hiyo vinginevyo wengi wangeuawa!

Marekani hatimaye wamegundua siri ya jeuri ya Mrusi kuwa makombora (missiles) yake yamefungiwa kifaa maaluma ya kuzizima rada ili yasionekane na hivyo kukwepa kudunguliwa na anti- missile systems!
Umebwabwaja mno Naomba utupe Source ya habari yako hiyo!!
 
Kuna ile drone iliyodondoka croatia na nyingine jana imedondoka nchi mwanachama wa nato....ni drone za zamani sana sema jamaa wanajiuliza zimepitaje anga la nato bila hata kushtukiwa hadi pale zilipoishiwa mafuta na kudondoka hakuna hata system ya usalama wa anga iliyoweza kuzi detect tokea zinaingia kwenye anga lao hadi zinadondoka na hawajui sasa kama ni drone za mrusi ama ni Ukraine maana ni drone za kipindi cha soviet kwa sasa zinamilikiwa na wote Ukraine na urusi
Kabla hujaandika ingejaribu kwanza kufanya kautafiti kadogo drones technology imeanza kutumika miaka gani na Soviet Union ilivunjika mwaka gani

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom