Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

Hii vita kuna Taifa kubwa linawindwa....Urusi inataka kupimana nguvu na mbabe mwengine wa dunia.....kwa hiyo inasubiria tu.
 
Kwa hiyo hata r.p.g kwao hazina kazi.
Ila naionea sana huruma yukrein huko baada hao wananchi wanaochukua silaha watakuja sumbua sana ki nchi chao
 
Waukraine kwenye miji yao mbalimbali wameweka barricades (Vizuizi) vya kufa mtu kiasi kwamba kifaru kikikaribia lazima kisimame na hapo ndipo kinapokumbana na shambulizi la The US made Javelin anti tank missile na kuteketezwa kabisa.

Na wakisema waache vifaru waingie kwa miguu ndio kabisa wanaingia kwenye midomo ya mamba kwa kupokelewa kwa "Molotov Cocktails" zilizotapakaa kote nchini Ukraine.

Warussia wanapiga mahesabu yanagoma, watawakumbuka sana wale majenerali waliowashauri wasiende vitani.
 

Wamelijua hilo baada ya kambi yao kutandikwa


Na bado kuna suprise nyingi mrusi anazo.......anamngoja kubwa jinga aingie kwenye 18 vizuri
 
Barricades ambazo ni wananchi? Kinachowalinda hadi sasa ni wanajeshi wa ukraine kutumia raia kama ngao zao ....isingekua hivyo wangeshafyekwa mapema kabisa
 
hahaha mnabadili gia angani,,,,,,,sie tumeshaanza kuona madhara kwa upande wa pili
Lazima iwe hivyo!

Ukrain lazima madhara yawe ya mapema sababu ndio inayoshambuliwa majengo na miundombinu yake ya kiuchumi, hakuna uzalishaji unaoendelea Ukrain kwa sasa!

Ila Urusi itaona kila rangi baada ya miezi 6 ijayo

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tupe picha ya kifaa hicho ambacho kina uwezo wa kuzima rada!
 
Dag hapo mrusi katupiga chenga ya mwili tumeanguka mazima kama zigo
 
madhara tunayaona kwa masapota wa ukraine...........hapo ukraine ni uwanja wa kutest mitambo ....effect zitaonekana kwa mashabiki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…