Aaah ukiwa unaiskia kwa jirani omba yasikukute ndugu yangu.Vita tamu sana jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah ukiwa unaiskia kwa jirani omba yasikukute ndugu yangu.Vita tamu sana jamani.
Labda mori ya masai ndo imeshuka
For father russia
Kwa mujibu wako.........Haya yalikuwa ni mazoezi ya Russian troops kule Belarus kabla ya uvamizi wao nchini Ukraine.
Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.
Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na kipindi husika kulikuwa na shehena kubwa ya silaha zikiwa tayari kusafirishwa ili zikatumike.
Kambi hiyo pia ilikuwa inatumika kama chuo cha mafunzo ya kijeshi kwa kutumia wakufunzi wa Nato namnà ya kutumia hizo silaha wanazopewa na NATO.
Siku moja kabla ya shambulizi hilo Urusi ilitoa onyo kuwa misafara ya kupeleka silaha Ukraine tangu Sasa ni "legitimate war target"!
Onyo hilo lilisababisha wakufunzi wa Nato waondoke kwenye kambi hiyo vinginevyo wengi wangeuawa!
Marekani hatimaye wamegundua siri ya jeuri ya Mrusi kuwa makombora (missiles) yake yamefungiwa kifaa maaluma ya kuzizima rada ili yasionekane na hivyo kukwepa kudunguliwa na anti- missile systems!
Barricades ambazo ni wananchi? Kinachowalinda hadi sasa ni wanajeshi wa ukraine kutumia raia kama ngao zao ....isingekua hivyo wangeshafyekwa mapema kabisaWaukraine kwenye miji yao mbalimbali wameweka barricades (Vizuizi) vya kufa mtu kiasi kwamba kifaru kikikaribia lazima kisimame na hapo ndipo kinapokumbana na shambulizi la The US made Javelin anti tank missile na kuteketezwa kabisa.
Na wakisema waache vifaru waingie kwa miguu ndio kabisa wanaingia kwenye midomo ya mamba kwa kupokelewa kwa "Molotov Cocktail" zilizotapakaa kote nchini Ukraine.
Warussia wanapiga mahesabu yanagoma, watawakimbuka sana wale majenerali waliowashauri wasiende vitani.
na wew unaamini hivyo?Hiyo ni taarifa ya mkuu wa idara ya ujasusi ya Marekani ya jana na juzi sasa kama una taarifa nyingine zaidi na wewe ziweke
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobil
Putin ameomba msaada China na North Korea. Wachina wapo njiapanda yaani sitaki nataka lakini Kim kamtolea nje kabisa eti hawezi kuingia vita vya kipuuzi
Uzuri kuweka link haitumiii hata sekunde mingi.....we tuma tu ka link na ka screenshotAm
Putin ameomba msaada China na North Korea. Wachina wapo njiapanda yaani sitaki nataka lakini Kim kamtolea nje kabisa eti hawezi kuingia vita vya kipuuzi
Huwezi kuona madhara ya vikwazo ilivyo wekewaa urusi hivi karibuni mpaka baada ya miezi 6 hivi ipite
Warusi wanakula maisha tu .......shida zipo kwenye propaganda za wa magharibi
hahaha mnabadili gia angani,,,,,,,sie tumeshaanza kuona madhara kwa upande wa piliHuwezi kuona madhara ya vikwazo ilivyo wekewaa urusi hivi karibuni mpaka baada ya miezi 6 hivi ipite
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Lazima iwe hivyo!hahaha mnabadili gia angani,,,,,,,sie tumeshaanza kuona madhara kwa upande wa pili
madhara tunayaona kwa masapota wa ukraine...........hapo ukraine ni uwanja wa kutest mitambo ....effect zitaonekana kwa mashabiki zakeLazima iwe hivyo!
Ukrain lazima madhara yawe ya mapema sababu ndio inayoshambuliwa majengo na miundombinu yake ya kiuchumi, hakuna uzalishaji unaoendelea Ukrain kwa sasa!
Ila Urusi itaona kila rangi baada ya miezi 6 ijayo
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaVita tamu sana jamani.
Mkuu ukipata taarifa ya idara ya ujasusi ya Russia utuwekee pia......Hiyo ni taarifa ya mkuu wa idara ya ujasusi ya Marekani ya jana na juzi sasa kama una taarifa nyingine zaidi na wewe ziweke
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app