Wanajua fika kuwa Drones hizo wamepewa kupitia Russia ila hawathubutu kusema hayo
Kwa sasa wanaona na kuiambia Dunia kuwa iwapo Russia ataanza vita nao watajibu mapigo
Wameanza kuongelea kuleta Nuclear weapons Uingereza kwa ajili ya Mrusi
Huyo Iran ni gelesha tu
Na kiukweli USA hawezi kuanzisha vita yeye moja kwa moja kwani anajua itakuwa sio drones tu bali silaha nzito za masafa marefu zitatumika
Dunia hii ndogo sana na madalali wa silaha wamejaa sana hata kiduku silaha anazozianika hadharani sio kwamba kama anaanika dagaa kigoma hasha
Bali ana advertise kwa mataifa wanunue
Usishangae wanaweza kuwa nazo nchi kadhaa na sisi tukiwemo π π€£