Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

Wanajua fika kuwa Drones hizo wamepewa kupitia Russia ila hawathubutu kusema hayo

Kwa sasa wanaona na kuiambia Dunia kuwa iwapo Russia ataanza vita nao watajibu mapigo
Wameanza kuongelea kuleta Nuclear weapons Uingereza kwa ajili ya Mrusi
Huyo Iran ni gelesha tu
Na kiukweli USA hawezi kuanzisha vita yeye moja kwa moja kwani anajua itakuwa sio drones tu bali silaha nzito za masafa marefu zitatumika
Dunia hii ndogo sana na madalali wa silaha wamejaa sana hata kiduku silaha anazozianika hadharani sio kwamba kama anaanika dagaa kigoma hasha
Bali ana advertise kwa mataifa wanunue
Usishangae wanaweza kuwa nazo nchi kadhaa na sisi tukiwemo 😄 🤣
 
Usisahau kuwa hiki ni kipindi cha kampeni za uraisi kwa Marekani.Hivyo hata matukio mengine tuyaangalie kwa jicho pevu.
Kuonekana kuna moto unawaka kila wakati wanapata sifa za kuwapandisha daraja katika kampeni.
Kwanini mfanye uchokozi na unajua kura muhimu ya wananchi wa marekani iko middle east? Mbona patamu hapo
 
Back
Top Bottom