Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

Keanza ni lazima myambue kwamba Marekani au Ulaya siyo sawa na Tanzania na Afrika.
Twende taratibu.
Sababu kuu zinazowezesha Marekani kutokukubaliana na tiba ya ugonjwa wa kisukari iliyogunduliwa nchini China zinaweza kujumuisha mambo yafuatayo
  1. Usalama na Ufanisi
    • Marekani ina viwango vya juu vya tathmini ya usalama na ufanisi wa matibabu yoyote mapya. Tiba mpya lazima zipitie mchakato mkali wa tathmini kupitia majaribio ya kitabibu na taratibu za udhibiti kabla ya kupitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA).
    • Ikiwa tiba mpya kutoka China haina data za kutosha au ushahidi wa kisayansi uliochapishwa katika majarida ya kimataifa yenye sifa, inaweza kuchukuliwa na Marekani kuwa haijathibitishwa vya kutosha.
  2. Tofauti za Udhibiti
    • Viwango vya udhibiti wa matibabu nchini China na Marekani vinaweza kutofautiana. Marekani inaweza kuwa na shaka juu ya ukali wa taratibu za majaribio ya kitabibu zilizofanyika nchini China.
    • Mchakato wa kibali nchini Marekani unaweza kuwa mrefu na mgumu, huku ukiangalia mambo mengi kama vile athari za muda mrefu, mwingiliano wa dawa, na hatari zinazoweza kutokea.
  3. Masuala ya Kibiashara na Kisiasa
    • Ushindani kati ya makampuni ya dawa za Marekani na China unaweza kusababisha upinzani wa tiba mpya kutoka nje. Makampuni ya Marekani yanaweza kushawishi dhidi ya bidhaa mpya za kigeni ili kulinda masoko yao.
    • Mahusiano ya kisiasa kati ya Marekani na China yanaweza kuathiri jinsi tiba za China zinavyokubaliwa. Matatizo ya kisiasa na kibiashara yanaweza kufanya Marekani kuwa na mtazamo mkali zaidi dhidi ya bidhaa za China. Mdiyo maana ya kuwa na nguvu na ushawishi, havijaja tu bure so ni lazima uheshimiwe maana aliwekeza kuvipata hivyo vyote.
  4. Matatizo ya Miliki
    • Marekani inaweza kuwa na wasiwasi juu ya masuala ya haki miliki inayohusiana na tiba mpya kutoka China. Ikiwa kuna shaka juu ya uhalali wa uvumbuzi au ikiwa haki miliki haziheshimiwi ipasavyo, hii inaweza kuathiri kukubalika kwa tiba hiyo. Hiyo kwao ni culture.
  5. Public Health
    • Afya ya watu wake na Usalama: Katika masuala yanayohusu afya ya watu, Marekani huchukua hatua za ziada kuhakikisha kuwa tiba mpya ni salama na haina madhara. Hii inajumuisha tathmini ya kina na majaribio zaidi ili kuhakikisha kuwa tiba mpya haitasababisha matatizo zaidi kwa wagonjwa.
Kwa hivyo, Marekani inaweza kuwa na sababu nyingi za tahadhari katika kukubali tiba ya ugonjwa wa kisukari kutoka China, zikihusisha masuala ya kisayansi, udhibiti, kibiashara, kisiasa, haki miliki, na afya ya umma.

Ninyi huko kwenu mnashangilia tu, lakini China atalazimika kufuata masharti yote ya US ili aweze kufaidika, maana soko lipo US, population ya US ina uwezo mkubwa sana wa kufanya purchasing ndiyo maana hata China kwake soko la US ndiyo soko analouza bidhaa zake na linampatia hela ndefu kuliko soko lingine lolote lile duniani.
Nninyi huko hata mkiletewa Chaki mtameza tu.
Sikubalian na maneno ya Marekani hawataki mataifa mengine agunduwe Tiba ya ukimwi Kisukari Presha Saratani na Hepatitis B Virus ukisema umegunduwa hayo maradhi matiababu yake wanafanya kila mbinu za kukutoa roho yako. Kwa Sababu wao wametengeneza Dawa za kusaidia kutibu hayo maradhi ingawa hizo dawa hazitibu hayo maradhi wanafanya biashara ya kuuza madawa na kila mwaka wanaingiza karibu dollar Billlllioni 150.SasaUkija kusema wewe eti unat,ibua hayo maradhi watakupiga vita .Walimuuwa Dr Sebi Wamarekani kwa sababu alikuw anatibu karibu maradhi yote sugu yasiyoweza kutibika hospitali.

maxresdefault.jpg

image-28.jpg
 
Kwanza ni lazima mtambue kwamba Marekani au Ulaya siyo sawa na Tanzania na Afrika. Twende taratibu.

Pointi muhimu na kubwa kuliko zote ulizoandika ni ile ya kibiashara na kisiasa
 
Yale machanjo yenu ya Covid yalipitia hiyo michakato huko Marekani?
 
View attachment 3016020Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari.

Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai, China, ikishirikiana na Akdemia ya Sayansi ya China hivi karibuni walitumia seli za shina kuunda upya mfumo wa insulini mwilini, na kufanikiwa kumponya mgonjwa wa kisukari mwenye umri wa miaka 59, ambaye anatarajiwa kuacha kabisa kutumia tena dawa ya insulini. Teknolojia hii imeleta matumaini mazuri kwa zaidi ya wagonjwa milioni 500 duniani.

Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, badala ya kuipongeza China kwa kubuni teknolojia hiyo nzuri, Marekani huenda itaiwekea China vikwazo. Ni kwa nini Marekani haipendi teknolojia hiyo inayoweza kunufaisha watu wengi duniani? Sababu ni rahisi, ni kwamba teknolojia hiyo itatishia maslahi ya kampuni kubwa za dawa nchini humo.

Takwimu zinaonesha kuwa nchini Marekani kuna takriban wagonjwa milioni 34 wa kisukari, na kati yao wengi wanategemea dawa za insulini kuishi maisha ya kawaida, hata kuokoa maisha yao. Lakini bei ya dawa hizo ni ghali sana, na chupa moja ya insulini nchini Marekani hugharimu zaidi ya dola 200 za Kimarekani. Katika miaka 40 iliyopita, bei ya insulini katika soko la Marekani imeongezeka kwa kasi kubwa. Tangu mwaka 1984, bei za bidhaa za kawaida nchini Marekani zimeongezeka zaidi ya mara mbili tu, lakini bei ya insulini imepanda karibu mara 14. Hata hivyo, gharama ya uzalishaji wa dawa hizo haijaongezeka sana. Kulingana na ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu na Shirikisho la Udaktari nchini Marekani, gharama ya uzalishaji wa chupa moja ya insulini ni dola kadhaa tu za Kimarekani. Kwa Wagonjwa wa kawaida gharama ya matibabu ya ugonjwa wa kisukari inachukua karibu asilimia 10 ya kipato chao kila mwezi. Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris aliwahi kusema Mmarekani mmoja kati ya wanne walio na ugonjwa wa kisukari hawezi kumudu dawa za matibabu.

Nchini Marekani dawa za insulini zinadhibitiwa na kampuni tatu kubwa ya dawa, yaani Eli Lilly, Novo Nordisk, na Sanofi, ambazo zinapata faida kubwa mno kutokana na wagonjwa wa kisukari. Lakini teknolojia mpya ya China inatarajiwa kuponya kabisa wagonjwa wa kisukari, na baadaye hawatahitaji dawa za insulini tena, hali ambayo italeta hasara kubwa kwa kampuni hizo. Hivyo sasa zinahangaika kuishawishi serikali ya Marekani kuiwekea China vikwazo, ili kuzuia teknolojia hiyo kuingia nchini humo.

Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imeweka vikwazo dhidi ya China mara kwa mara ili kulinda maslahi ya mabepari wakubwa, huku ikipuuza maslahi ya watu wa kawaida. Hivi sasa kiwango cha mfumuko wa bei nchini Marekani kimeendelea kuwa cha juu, na kuleta maumivu makubwa kwa maisha ya watu. Licha ya utoaji wa fedha kwa wingi kupita kiasi, kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China, na kuiwekea China vikwazo mbalimbali pia ni sababu muhimu ya kuongezeka kwa mfumuko mkubwa wa bei.
Kibaya zaidi Kuna Dogo amegundua Sabuni ambayo inatibu cancer ya ngozi..... Dogo anaitwa Heman Bakele.
 
Sikubalian na maneno ya Marekani hawataki mataifa mengine agunduwe Tiba ya ukimwi Kisukari Presha Saratani na Hepatitis B Virus ukisema umegunduwa hayo maradhi matiababu yake wanafanya kila mbinu za kukutoa roho yako. Kwa Sababu wao wametengeneza Dawa za kusaidia kutibu hayo maradhi ingawa hizo dawa hazitibu hayo maradhi wanafanya biashara ya kuuza madawa na kila mwaka wanaingiza karibu dollar Billlllioni 150.SasaUkija kusema wewe eti unat,ibua hayo maradhi watakupiga vita .Walimuuwa Dr Sebi Wamarekani kwa sababu alikuw anatibu karibu maradhi yote sugu yasiyoweza kutibika hospitali.

View attachment 3016124

View attachment 3016130
Lengo siyo kukupinga lakini unachokisema kwamba hao mabwana wanatengeneza dawa za kweli na uwongo ili wapige pesa hakina mantiki.

Wapo watu wao waliowaletea maendeleo na kukuza teknolojia yao kwa kiasi kikubwa waliofariki kwa maradhi uliyotaja hapo juu unadhani kungekuwa na uwezekano wa kuwapa dawa wapone wangeruhusu wafe?
 
Kwanza ni lazima mtambue kwamba Marekani au Ulaya siyo sawa na Tanzania na Afrika. Twende taratibu.

Sababu kuu zinazowezesha Marekani kutokukubaliana na tiba ya ugonjwa wa kisukari iliyogunduliwa nchini China zinaweza kujumuisha mambo yafuatayo
  1. Usalama na Ufanisi
    • Marekani ina viwango vya juu vya tathmini ya usalama na ufanisi wa matibabu yoyote mapya. Tiba mpya lazima zipitie mchakato mkali wa tathmini kupitia majaribio ya kitabibu na taratibu za udhibiti kabla ya kupitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA).
    • Ikiwa tiba mpya kutoka China haina data za kutosha au ushahidi wa kisayansi uliochapishwa katika majarida ya kimataifa yenye sifa, inaweza kuchukuliwa na Marekani kuwa haijathibitishwa vya kutosha.
  2. Tofauti za Udhibiti
    • Viwango vya udhibiti wa matibabu nchini China na Marekani vinaweza kutofautiana. Marekani inaweza kuwa na shaka juu ya ukali wa taratibu za majaribio ya kitabibu zilizofanyika nchini China.
    • Mchakato wa kibali nchini Marekani unaweza kuwa mrefu na mgumu, huku ukiangalia mambo mengi kama vile athari za muda mrefu, mwingiliano wa dawa, na hatari zinazoweza kutokea.
  3. Masuala ya Kibiashara na Kisiasa
    • Ushindani kati ya makampuni ya dawa za Marekani na China unaweza kusababisha upinzani wa tiba mpya kutoka nje. Makampuni ya Marekani yanaweza kushawishi dhidi ya bidhaa mpya za kigeni ili kulinda masoko yao.
    • Mahusiano ya kisiasa kati ya Marekani na China yanaweza kuathiri jinsi tiba za China zinavyokubaliwa. Matatizo ya kisiasa na kibiashara yanaweza kufanya Marekani kuwa na mtazamo mkali zaidi dhidi ya bidhaa za China. Mdiyo maana ya kuwa na nguvu na ushawishi, havijaja tu bure so ni lazima uheshimiwe maana aliwekeza kuvipata hivyo vyote.
  4. Matatizo ya Miliki
    • Marekani inaweza kuwa na wasiwasi juu ya masuala ya haki miliki inayohusiana na tiba mpya kutoka China. Ikiwa kuna shaka juu ya uhalali wa uvumbuzi au ikiwa haki miliki haziheshimiwi ipasavyo, hii inaweza kuathiri kukubalika kwa tiba hiyo. Hiyo kwao ni culture.
  5. Public Health
    • Afya ya watu wake na Usalama: Katika masuala yanayohusu afya ya watu, Marekani huchukua hatua za ziada kuhakikisha kuwa tiba mpya ni salama na haina madhara. Hii inajumuisha tathmini ya kina na majaribio zaidi ili kuhakikisha kuwa tiba mpya haitasababisha matatizo zaidi kwa wagonjwa.
Kwa hivyo, Marekani inaweza kuwa na sababu nyingi za tahadhari katika kukubali tiba ya ugonjwa wa kisukari kutoka China, zikihusisha masuala ya kisayansi, udhibiti, kibiashara, kisiasa, haki miliki, na afya ya umma.

Ninyi huko kwenu mnashangilia tu, lakini China atalazimika kufuata masharti yote ya US ili aweze kufaidika, maana soko lipo US, population ya US ina uwezo mkubwa sana wa kufanya purchasing ndiyo maana hata China kwake soko la US ndiyo soko analouza bidhaa zake na linampatia hela ndefu kuliko soko lingine lolote lile duniani.
Nninyi huko hata mkiletewa Chaki mtameza tu.
Ustumie nguvu kubwa kuwatetea hakuna mmarekani hapa ,we ni juha na mshamba hizo point ni uharo mtupu
 
Walichofanya hawakuacha utamaduni wao Ila sisi tuliletewa dini tukaambiwanutamaduni wetu na dini zetu haufai ndio maana hata dawa zetu za asili tulidharau.
Hilo sio ukweli.
Mbona Malaysia na Indonesia wameletewa tamaduni za dini tofauti na za kiarabu lakini wameendelea kiuchumi??
Ninyi Afrika laumuni vichwa vyenu maji.
 
Sisi tuliletewa dini tukaambiwa tamaduni zetu hazifai za kishenzi lakini wao walipokea dini Ila hawakuacha tamaduni zao.
 
View attachment 3016020Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari.

Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai, China, ikishirikiana na Akdemia ya Sayansi ya China hivi karibuni walitumia seli za shina kuunda upya mfumo wa insulini mwilini, na kufanikiwa kumponya mgonjwa wa kisukari mwenye umri wa miaka 59, ambaye anatarajiwa kuacha kabisa kutumia tena dawa ya insulini. Teknolojia hii imeleta matumaini mazuri kwa zaidi ya wagonjwa milioni 500 duniani.

Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, badala ya kuipongeza China kwa kubuni teknolojia hiyo nzuri, Marekani huenda itaiwekea China vikwazo. Ni kwa nini Marekani haipendi teknolojia hiyo inayoweza kunufaisha watu wengi duniani? Sababu ni rahisi, ni kwamba teknolojia hiyo itatishia maslahi ya kampuni kubwa za dawa nchini humo.

Takwimu zinaonesha kuwa nchini Marekani kuna takriban wagonjwa milioni 34 wa kisukari, na kati yao wengi wanategemea dawa za insulini kuishi maisha ya kawaida, hata kuokoa maisha yao. Lakini bei ya dawa hizo ni ghali sana, na chupa moja ya insulini nchini Marekani hugharimu zaidi ya dola 200 za Kimarekani. Katika miaka 40 iliyopita, bei ya insulini katika soko la Marekani imeongezeka kwa kasi kubwa. Tangu mwaka 1984, bei za bidhaa za kawaida nchini Marekani zimeongezeka zaidi ya mara mbili tu, lakini bei ya insulini imepanda karibu mara 14. Hata hivyo, gharama ya uzalishaji wa dawa hizo haijaongezeka sana. Kulingana na ripoti iliyotolewa mapema mwaka huu na Shirikisho la Udaktari nchini Marekani, gharama ya uzalishaji wa chupa moja ya insulini ni dola kadhaa tu za Kimarekani. Kwa Wagonjwa wa kawaida gharama ya matibabu ya ugonjwa wa kisukari inachukua karibu asilimia 10 ya kipato chao kila mwezi. Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris aliwahi kusema Mmarekani mmoja kati ya wanne walio na ugonjwa wa kisukari hawezi kumudu dawa za matibabu.

Nchini Marekani dawa za insulini zinadhibitiwa na kampuni tatu kubwa ya dawa, yaani Eli Lilly, Novo Nordisk, na Sanofi, ambazo zinapata faida kubwa mno kutokana na wagonjwa wa kisukari. Lakini teknolojia mpya ya China inatarajiwa kuponya kabisa wagonjwa wa kisukari, na baadaye hawatahitaji dawa za insulini tena, hali ambayo italeta hasara kubwa kwa kampuni hizo. Hivyo sasa zinahangaika kuishawishi serikali ya Marekani kuiwekea China vikwazo, ili kuzuia teknolojia hiyo kuingia nchini humo.

Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imeweka vikwazo dhidi ya China mara kwa mara ili kulinda maslahi ya mabepari wakubwa, huku ikipuuza maslahi ya watu wa kawaida. Hivi sasa kiwango cha mfumuko wa bei nchini Marekani kimeendelea kuwa cha juu, na kuleta maumivu makubwa kwa maisha ya watu. Licha ya utoaji wa fedha kwa wingi kupita kiasi, kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China, na kuiwekea China vikwazo mbalimbali pia ni sababu muhimu ya kuongezeka kwa mfumuko mkubwa wa bei.
AFU KUNA FUNGO JIKE MMOJA UTAKUTA ANAKUJA HUMU HUKU KABANA PUA USA WAPO MBALI SANA KITEKNOLOJIA VAVAVAVAYO ZENU...HII NDO KARNE YA 21 MAZAFAKA USA
 
Sisi tuliletewa dini tukaambiwa tamaduni zetu hazifai za kishenzi lakini wao walipokea dini Ila hawakuacha tamaduni zao.
Malaysia wana tamaduni kibao wameacha,sasa hivi asilimia 80 ya tamaduni zao sawa na za kiarabu.
Wewe kaka ulikua una tamaduni gani ambayo ilikua inakupa maendeleo bwanaaa!?
-Kutembea matiti wazi?
-Kuua albino?
-Ukeketaji?
-Kuomba mizimu?
Tutajie tamaduni gani waAfrika tuliachishwa ikatufanya tusiendelee!?

Laumuni vichwa vyenu kaka laumuni vichwa vyenu havina upembuzi,msisingizie tamaduni wala dini za kigeni.
Mbona hao walizoleta wanazitumia na wanaendelea!?
Tena wengine wanaendelea wakiwa hapa hapa!
 
Back
Top Bottom