Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

Sikubalian na maneno ya Marekani hawataki mataifa mengine agunduwe Tiba ya ukimwi Kisukari Presha Saratani na Hepatitis B Virus ukisema umegunduwa hayo maradhi matiababu yake wanafanya kila mbinu za kukutoa roho yako. Kwa Sababu wao wametengeneza Dawa za kusaidia kutibu hayo maradhi ingawa hizo dawa hazitibu hayo maradhi wanafanya biashara ya kuuza madawa na kila mwaka wanaingiza karibu dollar Billlllioni 150.SasaUkija kusema wewe eti unat,ibua hayo maradhi watakupiga vita .Walimuuwa Dr Sebi Wamarekani kwa sababu alikuw anatibu karibu maradhi yote sugu yasiyoweza kutibika hospitali.




 
Pointi muhimu na kubwa kuliko zote ulizoandika ni ile ya kibiashara na kisiasa
 
Yale machanjo yenu ya Covid yalipitia hiyo michakato huko Marekani?
 
Kibaya zaidi Kuna Dogo amegundua Sabuni ambayo inatibu cancer ya ngozi..... Dogo anaitwa Heman Bakele.
 
Lengo siyo kukupinga lakini unachokisema kwamba hao mabwana wanatengeneza dawa za kweli na uwongo ili wapige pesa hakina mantiki.

Wapo watu wao waliowaletea maendeleo na kukuza teknolojia yao kwa kiasi kikubwa waliofariki kwa maradhi uliyotaja hapo juu unadhani kungekuwa na uwezekano wa kuwapa dawa wapone wangeruhusu wafe?
 
Ustumie nguvu kubwa kuwatetea hakuna mmarekani hapa ,we ni juha na mshamba hizo point ni uharo mtupu
 
Walichofanya hawakuacha utamaduni wao Ila sisi tuliletewa dini tukaambiwanutamaduni wetu na dini zetu haufai ndio maana hata dawa zetu za asili tulidharau.
Hilo sio ukweli.
Mbona Malaysia na Indonesia wameletewa tamaduni za dini tofauti na za kiarabu lakini wameendelea kiuchumi??
Ninyi Afrika laumuni vichwa vyenu maji.
 
Hilo sio ukweli.
Mbona Malaysia na Indonesia wameletewa tamaduni za dini tofauti na za kiarabu lakini wameendelea kiuchumi??
Ninyi Afrika laumuni vichwa vyenu maji.
Sisi tuliletewa dini tukaambiwa tamaduni zetu hazifai za kishenzi lakini wao walipokea dini Ila hawakuacha tamaduni zao.
 
AFU KUNA FUNGO JIKE MMOJA UTAKUTA ANAKUJA HUMU HUKU KABANA PUA USA WAPO MBALI SANA KITEKNOLOJIA VAVAVAVAYO ZENU...HII NDO KARNE YA 21 MAZAFAKA USA
 
Sisi tuliletewa dini tukaambiwa tamaduni zetu hazifai za kishenzi lakini wao walipokea dini Ila hawakuacha tamaduni zao.
Malaysia wana tamaduni kibao wameacha,sasa hivi asilimia 80 ya tamaduni zao sawa na za kiarabu.
Wewe kaka ulikua una tamaduni gani ambayo ilikua inakupa maendeleo bwanaaa!?
-Kutembea matiti wazi?
-Kuua albino?
-Ukeketaji?
-Kuomba mizimu?
Tutajie tamaduni gani waAfrika tuliachishwa ikatufanya tusiendelee!?

Laumuni vichwa vyenu kaka laumuni vichwa vyenu havina upembuzi,msisingizie tamaduni wala dini za kigeni.
Mbona hao walizoleta wanazitumia na wanaendelea!?
Tena wengine wanaendelea wakiwa hapa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…