Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

Artificial intelligence ambayo china imeizidi Marekani ni ipi mkuu?

Ama utakua mgeni kwenye haya mambo ya AI
 
Wamarekani ndio wanaleta duniani magonjwa hatari na hapo hapo wanatengeneza dawa ili wapate faida kubwa. Ndio mana sikushangaa walivyomuua dr sebi.
 
Ustumie nguvu kubwa kuwatetea hakuna mmarekani hapa ,we ni juha na mshamba hizo point ni uharo mtupu
Kwa hiyo wewe ni Mchina? Kwamba lengo la uzi huu ni kupotesha na kushangilia upotoshwaji?
Kama ninyi hamna standards ni nyie
 
Usenge mtupu umeandika hapa.

Haya justify, kwanini huko marekani chupa ya insulin ni dola 200, wakati tanzania ukipigwa sana ni tzs 22,000/= na zinatoka nchi za ulaya

Ukisema ubora nna mgonjwa 15yrs anatumia hizo dawa za 20k na zinamsaidia... Ndio dawa zilizopo kwenye famasi zote tanzania
 
Nimeona msenge upo ikabidi nikuandikie usenge na bahati nzuri umeusoma huku unarembua. Hapo vipi?
 
Nimeona msenge upo ikabidi nikuandikie usenge na bahati nzuri umeusoma huku unarembua. Hapo vipi?
Nimeusoma huku nimesimamisha njoo ukalie, mwanaume harembui

Justify hoja kwanini insulin marekani ni dola 200 na tanzania ni 22,000 kwa bei ya juu kabisa
 
Huku Mchina huko Mrusi na huko mashariki ya kati Saudia hajasaini petrodollar agreement

Biden nae masikini anaganda sijui ni Robot
 
Kibaya zaidi Kuna Dogo amegundua Sabuni ambayo inatibu cancer ya ngozi..... Dogo anaitwa Heman Bakele.
Mtatuteni huyo Dogo ...Kwa majina hayo..na amepewa tuzo... Marekani ni wapuuzi tu...tiba wanazo na wanazijua ...ila wanatuletea kinga..AMKENI.
 
mkuu hii sio siri tena, ni ukweli Nig pharma wanazuia kwa maksudi kutengeneza tiba za magonjwa sugu kwa sababu za kibiashara!

hii hata huko kwao imelalamikiwa sana, pia kuna shida obesity........ unajua kwanini? kwa sababu mtu mwenye obesity ana magonjwa mengi yanayopelekea yeye awe mteja wa dawa zao, na US karibu robo ya watu wazima wana obesity
 
China dawa zao tangu lini zikafanya kazi?

Za corona zenyewe zilifeli

China propaganda nyingi sana

Watoe dawa watibu watu waache propaganda kutafuta kiki
 
Kwa hiyo wewe ni Mchina? Kwamba lengo la uzi huu ni kupotesha na kushangilia upotoshwaji?
Kama ninyi hamna standards ni nyie
Wagonjwa wa sukari hio habari ni njema kwao na siku zote UKiwa mzima wa afya utaleta zarau but ukiumwaa haswaa hata mkojo ukiambiwa dawa utakunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…