Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

Wagonjwa wa sukari hio habari ni njema kwao na siku zote UKiwa mzima wa afya utaleta zarau but ukiumwaa haswaa hata mkojo ukiambiwa dawa utakunywa
Ungesima na kuelewa nilichoandika usingekuwa unajibu haya unayojibu
 
Hivi mgonjwa wa Kisukari mwenye pesa yake atashindwa kuifuata tiba China, kinachoweza kutokea ni wajanja kufungua Clinic karibu na marekani na wakapiga pesa au wakafanyiwa saboteji. Suala la vikwazo kwenye matibabu huwa lipo kwa mtu mwenye afya yake mkuu. Mgonjwa ataifuata popote.
 
Upo sahihi, wanaweza wakafungua clinic Cuba, au Mexico lakini hawataruhusiwa kuingia nazo US, wagonjwa watalazimika kuhamia huko nchi jirani wakatibiwe.
Watu wanapinga tu, lakini kila nchi ina standards zake. Tanzania kuna maziwa ya watoto yanauzwa kimagendo sana, muuzaji asipokufahamu hakuuzii. Maziwa hayo yanatumika kwa wingi sana US, lakini kwa Tanzania hayaruhusiwi sababu mamkuka husika haijayathibitisha pamoja na kwamba mamlaka za US zimeyathibitisha kutumika nchini mwao.
 
Marekani hana njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutoa vitisho!
 
Marekani haiwezi wekea vikwazo hayo makampuni ya madawa ya Kichina. Labda kuzuia dawa zao kwa visingizio vya uongo kuhusu usalama, ila si kuyawekea vikwazo vya kiuchumi.
Mfumo wao wa kisheria uko wazi hivyo vikwazo vitakataliwa.
Ubaya mtu mwenye nguvu na ushawishi duniani anaweza kukuzushia chochote ilimradi malengo yake yatimie na hakuna kitu tunaweza kumfanya , ndio dunia yetu ya leo ilipofika
urusi wakati wanapigna na taliban afghanistan, marekani walikuwa wanawaita talibans freedom fighters na kwamba russia wavamizi
Marekani huyo huyo alivyovamia afghanistan akawaita taliban terrorists na dunia nzima tukakaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…