comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa Marekani, ambao uliboresha mitazamo yake kuhusu uongozi na utawala.
Katika siku hii, tunasherehekea mchango wake katika demokrasia na maendeleo, na tunathibitisha tena dhamira yetu ya kufanya kazi pamoja kufikia malengo ya pamoja ya ustawi, utawala bora, na mahusiano madhubuti kati ya Marekani na Tanzania.Tuheshimu urithi wake kwa kujitahidi kufikia maadili aliyoyathamini, umoja, uadilifu, na usawa kwa wote.
---
Today, on Nyerere Day, we honor the legacy of Mwalimu Julius Nyerere, the founding father of Tanzania and a champion of unity, peace, and education worldwide. Julius Nyerere participated in the International Visitor Leadership program in 1961.
This program provided him with exposure to the U.S. Political system, which influenced his views on leadership and governance.On this day, we celebrate his contributions to democracy and development, and we reaffirm our commitment to working together towards shared goals of prosperity, good governance, and strong U.S.-Tanzania relations.Let’s honor his legacy by striving for the values he cherished—unity, integrity, and equality for all.
en.wikipedia.org