Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
MKUU siasa hapo imekaa wapi ?!Wewe mambo ya kitalaam unaleta siasa?!
Ukiwaletea data kama hizo wanakwambia ni CCP propaganda eti...[emoji2][emoji2][emoji2]Mwezi uliopita huawei imeipiku samsung kama ndio no 1 largest smartphone maker in the world,ila unasahau kwamba huawei ana patent nyingi mno kwenye 5G tech na ndiye anayeongoza.
Mkuu ni 6m sio b, hiyo mirahaba inatokana na nini unahisi?Kampuni nyingi tu zinalipana mirahaba. Mirahaba hiyo ni sehemu ndogo sana ya Huawei. Ukisoma hiyo habari Huawei imepokea mrahaba wa $1.4B huku imelipa $6B. Unaweza kuona tofauti.
Hawajaelewa kua US anazilenga non US companies ambazo zinatumia teknolojia yake.Dah kweli tunatofautiana uelewa na scenario nzima ya mkono mkubwa wa US sanctions.
Hapa US analenga third party companies.Hawajaelewa kua US anazilenga non US companies ambazo zinatumia teknolojia yake.
Mkono mkubwa wa USA haukwepeki.
Ilikua zamani sio sasa MKUU wameukwepa INDIA wakaukwepa SOUTH KOREA wakaukwepa CHINA wakaukwepa RUSSIA kupitia kunua mafuta ya IRAN licha yavikwazo walivyoekewa IRAN juzi hapa tukaona VENEZUELA wamepokea mafuta toka IRAN licha yavikwazo walonavyo IRAN.....Hawajaelewa kua US anazilenga non US companies ambazo zinatumia teknolojia yake.
Mkono mkubwa wa USA haukwepeki.
😂😂😂😂 washaota mkia na mapembe mkuu marekani anaishiwa pumzi tusubiri tuone!Tulia wewe naona umeanza kulialia baada ya mabwana zako wachina kuguswa!
China has successfully put into orbit the final satellite in its BeiDou-3 navigation system, further advancing the country as a major power in space.Ukiwaletea data kama hizo wanakwambia ni CCP propaganda eti...[emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu ukute umeandika hizi hate messages kwa kutumia tecno mobile 🤣 🤣 🤣 👆Ile ndio ishakwenda na maji hivyo, maneno meengi walikuwa nao mara oooh wanatengenza chip zao waaap bwana
✓Waafrika mahindi yalishaaribu vichwa vyetu akili zimebaki za kushindia Facebook na InstagramNikiona haya mambo ya ubabe wa USA,harafu kuna wajinga wanovaa za kijani,wanafikiri unaweza kuivimbia USA na wenzake wa magharibi,kama China anakimbizwa mchakamchaka,sembuse sie,ambao licha ya kuwa na maji ya kutosha,hatujaweza hata kuzalisha ngano ya kututosha,
✓[emoji769]Tuanzie apo kuna mtu gani yupo tayari kuriski pesa zake ambazo haitasapoti application za mmarekani. Ukiona ivyo ujue ndio kufa kwakeIsizuilike kwa sababu gani? Ile inakufa. Ikipigwa vikwazo vipya imekwisha.
Naam mambo mdogo mdogo mzee....China has successfully put into orbit the final satellite in its BeiDou-3 navigation system, further advancing the country as a major power in space.
Tuesday's launch will allow China to no longer rely on the US government-owned Global Positioning System (GPS).
The $10bn (£8bn) network is made up of 35 satellites and provides global navigation coverage.
View attachment 1489395
Mdogo mdogo Us atabaki na technology zake! China itakapo jiondoa kwenye GPS na kuanza kutumia yake na wadau wake!
hakika[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukute umeandika hizi hate messages kwa kutumia tecno mobile [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji115]
facts.....USA wako overrated kwa maoni yangu hivi sasa. Technology imekuwa sana na mataifa mengi yanaweza kuishi bila kutegemea USA. Tatizo kubwa walimweka Trump kufikiri kwamba dunia ni ile ile ya zamani. Angalia mataifa yanayopiga hatua hivi sasa yako mengi tu na hakuna taifa linalopiga hatua ambalo halipingwi na USA na washiriki wake. Kuanzia the tigers group, India, Nigeria, Ethiopia, Tanzania, na Southern American Countries (Mexico, Brazil, Uruguay etc.)
USA na washiriki wake wanajidanganya, miaka 10 ijayo ulimwengu unarudi kutumia Gold kama exchange mechanism ya pesa kwenye mataifa kuondokana na ulaghai wa nchi za magharibi.
Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo.
Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila sasa imebadilisha msimamo, inategemewa hivyo hivyo kwa Hispania, na nchi kadhaa kubwa Ulaya kujiondoa kwenye mikataba na Huawei.
Uingereza inasema ni kwa sababu ya vikwazo vipya vinavyotegemewa kutangazwa September, Huawei haitakua na uwezo wowote wa hata kuzalisha vifaa vinavyohitajika sio kwa 5G wala kwa simu zake zote kwa sababu haitakua na uwezo wa kutengeneza chip yake ya Krin.
Sababu ni moja kubwa, teknolojia ya kisasa zaidi inayotumika kuzalisha vifaa vya 5G au chip za simu 90% ina mkono wa Marekani. Kwa sasa Huawei hupata baadhi ya teknolojia kwa kibali maalumu cha serikali ya Marekani. Inategemewa kuanzia September hali inaweza kua mbaya zaidi kwa Huawei.
Marekani imebadilisha tuhuma kwa Huawei kua ni tawi la jeshi la China hivyo itakabiliwa na vikwazo vyote vinavyohusu jeshi la China.
Why Huawei's days in the UK could be numbered
Kabisa mkuu hawa wahuni wameshituka pamekucha!Naam mambo mdogo mdogo mzee....