Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Mikwala tu ile...Harafu eti ndio irani alitaka kuivimbia marekani si kichekesho hiko
Sio kweliIsrael imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Nyie si mnayo TISS na makomandoo wa JWTZ 🤣.Kila mtu Israel na Iran. Wakati kwetu
Wewe ni kobazi umepasuliwa au attention seeker?Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa mojaKwani Israel haiwezi kununua ndege za Kimarekani za F-35? 🤔 🤔
Hamja sema na badoIsrael imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Hujaelewa naona.Kwani Israel haiwezi kununua ndege za Kimarekani za F-35? 🤔 🤔
F 35 project ilikuwa ni alliance ya nchi nyingi na Israel ilikuwa mojawapo, hakupewa bure alishiriki kuitengeneza, technology nyingi za US zinaanzia Israel, fanya research kidogo utaelewaIsrael imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
MnatambuanaHakuna mahali popote tarifa kama hizi, ila utazikuta kwa wabongo tu
Wabongo ndo kitu mnaweza hii kitu, huku nchini mwenu mnaishi kama digidigi wa serengeti