Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #181
Sasa nimeanza kuelewa kwa nini Putin anamsanifu Trump.Jana alisema ''angekuwa Rais vita ya Ukraine isingekuwepo) au Gaza! Sasa hivi ana tatizo ikubwa sana.
Fikiria hivi , Israel wanapiga nuke sites za Iran. Leo Iran imepiga nuke site ya Israel kule Dimona.
Pakistan anasema yupo tayari ikiwa Iran itashambuliwa na nchi za west. Turkiye tayari anajiandaa, North Korea , China na Russia zote zipo upande wa Iran. Huku kwingine kuna US, UK , France, Germany.
Hii ni kama WWIII in the making!
All in all assessment ya CIA ilikuwa sahihi! Sijui TISS wanasemaje
Imagine Marekani nayo ianze kuishambulia Iran, Trump atapata wapi moral authority ya kutaka kuumaliza mgogoro wa Ukraine?