Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Huku Marekani akiendelea kuzalisha Boeng chinjachinja
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Maneno ya kujifariji
 
Wakobazi humu walikua wanaamini hakuna wa kumgusa Iran. Walikua wanasema hata marekani hana uwezo wa kuipiga Iran.

Nikisomaga mabandiko yao huwa nachekaga sana. Leo watakua wamejifunza jambo. Hapo kabla walikua wakisema "..warushe hata jiwe ndani ya iran...", Mwingine anasema "warushe hata kijiko..."
Haya Leo hao hapo wanarusha bdege vita na makombora na wameua top officials wa jeshi
Well calculated
 
US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..

Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..

US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...

Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..

Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Japo umetumia lugha kali ila kiasi Fulani kwa Sasa siasa za Marekani zimetekwa nyara na Pro-Israel ndio maana hata Marekani inaonekana inaburuzwa na Israel
 
Huu niukweli mchungu..
 
Blah blah blah.

Weka ushahidi F 35 ni ya Israel.
Sasa kama hata hujui Israel anamiliki F-35I Adir sina haja ya kujadiliana nawe kwenye hili.

Suala liko wazi kabisa unataka ushahidi gani. Umeanzizha mada ya kitu field hujui kabisa.
 
IMG_8014.jpeg

🤣🤣🤣

“The Israeli version of the Lockheed Martin Lightning II Joint Strike Fighter aircraft, called “Adir”, which translates to “Mighty One” in Hebrew, is built by the United States .

Mimi nimeweka source inayosema F 35 ni ndege za Marekani.

Weka na wewe source yako inayosema kwamba F 35 ni ndege zinazotengenezwa na Israel 🤣🤣🤣.
 
Jinsi Israel walivyoweza ku target srhemu nyeti na hasa viongozi muhimu inaogopesha hivi vinchi vyetu vinawezaje kujilinda au ndio tuendelee kuombea amani 😜
Unapata habari nusu nusu. Ni kweli Israel ime target na kuua viongozi, lakini jiulize pia jinsi wanavyokuwa targeted katika maeneo yao. Nina maana walichofanya siyo ''unique''

Mwaka jana '' Golan elite'' walipigwa na Iran. Hiyo ni target kubwa sana

Iran wamepiga makao makuu ya IDF, mwaka jana walipiga makao ya MOSAD
Sasa hivi mapigano yanaendelea Haifa na Tel Aviv. Haifa ni muhimu sana kiuchumi

Waandishi wa habari kwa mujibu wa (Reuters , Aljazeera Aman n.k. ) wamezuiliwa wasiripoti au kukaribia vituo vya kijeshi vya Israel vilivyopigwa.

UK wanapeleka Royla Airforce kusaidia Israel. US ipo inasaidia Israel. Jordan na Saud zinatoa air space.

Watu wasichojua ni layer 3 za ulinzi, Iron dome, David's Slingn na Arrow 3 katika anga la Israel.
Iran ime penetrated na kupiga.

Israel imeomba G7 wasimame upande wao! Hawakutegemea kinachotokea.
Siyo katusha za Hamas, ni BM zenye precision. Kwa Nchi yenye vikwazo miaka 15, Iran imewatisha

''Israel bila msaada wa US na Washirika hakuna kitu- NN''

Nyani Ngabu
 
Nyani Ngabu
Ulisema '' bila US, Israel hakuna kitu kabisa ''. Haifa imepigwa sana, Tel Aviv, Nevatin airbase etc
Kwa ufupi iron dome jana ilikuwa below 50% leo imerudi 50%, makombora yanaingia

Trump amekatiza mkutano wa G7 kushughulikia mzozo wa middle east. Kuna kitu wanataka kufanya, nadhani US wanataka kuwapa Israel Bunker buster BOM ili wafumue Nuke facility za Iran halafu wasimamishe vita.

Trump alikataa kumuua Khameni Ayatollah akijua atavuta Nchi nyingine. Ni kweli kwasababu Pakistan inapiga jaramba na imesema Iran ikipigwa nuke nao wanajibu Israel. China inapeleka msaada.

CIA bado ni baba lao, waliwakataza Israel, MOSAD wakasema wana habari na Iran ni weak sana!
In short, IDF imepigika tofauti na Watu wanavyoamini.

Media za west zinaongelea makamanda wa iran waliouawa. Marufuku kuonyesha picha za Tel Aviv na Haifa. Huko X wanaondoa post!
 
It’s 2003 all over again!

Trump kageuka kuwa war hawk.

Never trust politicians, ever!
 
It’s 2003 all over again!

Trump kageuka kuwa war hawk.

Never trust politicians, ever!
Jana alisema ''angekuwa Rais vita ya Ukraine isingekuwepo) au Gaza! Sasa hivi ana tatizo ikubwa sana.
Fikiria hivi , Israel wanapiga nuke sites za Iran. Leo Iran imepiga nuke site ya Israel kule Dimona.

Pakistan anasema yupo tayari ikiwa Iran itashambuliwa na nchi za west. Turkiye tayari anajiandaa, North Korea , China na Russia zote zipo upande wa Iran. Huku kwingine kuna US, UK , France, Germany.

Hii ni kama WWIII in the making!

All in all assessment ya CIA ilikuwa sahihi! Sijui TISS wanasemaje
 
Jidanganye kuwa kuanzia huyo Pakistan, Turkey, Russia, China sijui Korea kama kuna mtu atatia pua yake Marekani akitia maguu hapo. Ukweli mchungu ni huu,hapo Iran ishaenda na maji na hakuna yeyote atakaemsaidia wala kumuonea huruma si Russia wala China. Simu ya juzi ya Trump na Putin ilikuwa na maana kubwa sana,si umemsikia leo Trump anataka Russia irudishwe G7 pia amegoma kuiwekea vikwazo vipya huko G7.
 
Jana alisema ''angekuwa Rais vita ya Ukraine isingekuwepo) au Gaza! Sasa hivi ana tatizo ikubwa sana.
Fikiria hivi , Israel wanapiga nuke sites za Iran. Leo Iran imepiga nuke site ya Israel kule Dimona.

Pakistan anasema yupo tayari ikiwa Iran itashambuliwa na nchi za west. Turkiye tayari anajiandaa, North Korea , China na Russia zote zipo upande wa Iran. Huku kwingine kuna US, UK , France, Germany.

Hii ni kama WWIII in the making!

All in all assessment ya CIA ilikuwa sahihi! Sijui TISS wanasemaje
Na pia kama unawatetea hao CIA basi umepotoka,hivi unadhani Mosad wapo peke yao ndani ya Iran bila CIA,M16 na wale wa Ujerumani?
 
Back
Top Bottom