Sasa huo ni upumbavu wa Iran maana imechagua rafiki mwenye uchumi mdogo na bado inataka kupigana na mwenye rafiki ako na pesa mingi na nguvu za kijeshi na bado inaamini inaimudu Israel. Iran iache kufuatilia mambo ya Israel hakika Israel haitokuwa na time nae. Mambo ya wapalestina hayawahusu waachane nayo maana Israel hajawahi kutaka kuivamia Iran.Sawa, lakini Russia hana uchumi mkubwa kama wa Marekani.
Kiwango cha ukubwa wa uchumi kina determine aina ya msaada ambayo nchi inaweza kutoa.