Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Haipingwi mkuu!
 
Nimekwambia kwamba si kweli.

Inaonekana tu hivyo kwa sababu huko Mashariki ya Kati Israel imezungukwa na maadui na kila mara kuna mizozo ambayo huifanya Marekani ihusike.

Narudia tena, inaonekana hivyo kwa sababu ya hali ilivyo huko Mashariki ya kati.

Lakini ukiangalia ukweli [facts] utagundua kwamba Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kuliko hata Israel.

Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kwa sababu za kihistoria ambayo iko dhahiri kabisa.

Kigumu kueleweka hapo ni nini?
USA inanufaika vipi kwa kushirikiana na Israel?
 
Inanufaika vile vile kama inavyonufaika kwa kushirikiana na Taiwan, South Korea, Japan, Ujerumani, Canada, na Uingereza.
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Iran naye anasaidiwa sana tena sana na russia na ndiyo iliyoiwezesha Iran kuanzisha program ya nyuklia na juzi tu hapa Irani na Russia waliingia makubaliana kuwa Iran ikishambuliwa basi Russia inaingia kuisaidia Iran, kwa hiyo Iran bila russia naye hamna kitu.
 
Exactly!

Watu wanawaorodhesha matajiri ambao wanasadikika kuwa ni Wayahudi.

Wengine nadhani wanazushiwa tu.

Lakini katika hao wote wanaoorodheshwa, wote wanaishi Marekani. Wengi wao wamezaliwa Marekani. Na shughuli zao zote zipo Marekani.
Elon kazaliwa South Africa kisha familia yake ikahamia USA, ndo nasikia leo hapa kuwa jamaa ni Myahudi, lkn huwezi kuitofautisha USA na Vatican hawa wamekuwa washirika toka kitambo, hao Wayahudi ni project wana mpango nao wanawasaidia kila kitu kwa faida wanayoijua wao

Israel kama taifa limekuwepo mwaka 1946 kuja mpaka hapa tulipo hii ni kauli ya Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa na clouds360° ya Clouds fm (aliulizwa kuhusu mgogoro wa Palestina) kumbuka akiwa umoja wa taifa alishughulika na masuala ya ardhi na makazi, maana ake nini Israel inazidiwa umri na Zanzibar
Hapa ukihoji utaambiwa walitekwa utumwani so walianza kurudi na kuunda taifa lao miaka hiyo, lkn ukweli ni kwamba hao wanaojiita Wayahudi ni wahuni fulani tu walichukuliwa sehemu kisha wakapadikizwa hapo

Kawaida races za watu zinakaribiana kutokana na jiografia ya eneo husia mid-east ni eneo la waarabu ajabu wayahudi (ambao wanaonekana kama wazungu wakawa katiyao)
lkn hii haita dumu milele ipo siku hizi propaganda zitajulikana, janga la korona watu wanamuomba Mungu wa Israel wakati MuIsrael mwenyewe alichanja

Israel haina chochote cha kujivunia zaidi ya masuala ya kilimo cha umwagiliaji, hizi zingine ni propaganda tu za magharibi wanampa Israel sifa asokuwa nazo ili kuprove mambo yao ya dini (taifa teule) wachina wamemuacha mbali sana kwa kila kitu kiteknolojia

Hakuna mtu yeyote dunia hii akakuamini akupe teknolojia yake yote, kwa sababu hakuna mahusiano yanayodumu vipi mkitofautiana na umegawa kila kitu (yaani ww ndio mwanzilishi ila huna chochote, unategemea misaada/kusaidiwa hivyo ulivyovibuni, inawezwkana kweli?

Hebu tumieni akili aiseeee
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Sasa wewe kwa kawaida unaweza kupambana na wezi 7 (israel+mabeberu wa magharibi) wakija kukuvamia nyumbani kwako peke ako (iran) ilihali una kitu cha thamani ndani kwko(crude oil+ nuclear weapons) sasa kwanini hao wezi wasikutandike wakumalize na wakuibie 😀🙌🏽
 
Iran naye anasaidiwa sana tena sana na russia na ndiyo iliyoiwezesha Iran kuanzisha program ya nyuklia na juzi tu hapa Irani na Russia waliingia makubaliana kuwa Iran ikishambuliwa basi Russia inaingia kuisaidia Iran, kwa hiyo Iran bila russia naye hamna kitu.
Sawa, lakini Russia hana uchumi mkubwa kama wa Marekani.

Kiwango cha ukubwa wa uchumi kina determine aina ya msaada ambayo nchi inaweza kutoa.
 
Elon kazaliwa South Africa kisha familia yake ikahamia USA, ndo nasikia leo hapa kuwa jamaa ni Myahudi, lkn huwezi kuitofautisha USA na Vatican hawa wamekuwa washirika toka kitambo, hao Wayahudi ni project wana mpango nao wanawasaidia kila kitu kwa faida wanayoijua wao

Israel kama taifa limekuwepo mwaka 1946 kuja mpaka hapa tulipo hii ni kauri ya Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa na clouds360° ya Clouds fm (aliulizwa kuhusu mgogoro wa Palestina) kumbuka akiwa umoja wa taifa alishughulika na masuala ya ardhi na makazi, maana ake nini Israel inazidiwa umri na Zanzibar
Hapa ukihoji utaambiwa walitekwa utumwani so walianza kurudi na kuunda taifa lao miaka hiyo, lkn ukweli ni kwamba hao wanaojiita Wayahudi ni wahuni fulani tu walichukjliwa sehemu kisha wakapadikizwa hapo

Kawaida races za watu zinakaribia kutokana na jiografia ya eneo husia mid east ni eneo la waarabu ajabu wayahudi (ambao wanaonekana kama wazungu wakawa katiyao)
lkn hii haita dumu milele ipo siku hizi propaganda zitajulikana, janga la korona watu wanamuomba Mungu wa Israel wakati MuIsrael mwenyewe alichanja

Israel haina chochote cha kujivunia zaidi ya masuala ya kilimo cha umwagiliaji, hizi zingine ni propaganda tu za magharibi wanampa Israel sifa asokuwa nazo ili kuprove mambo yao ya dini (taifa teule) wachina wamemuacha mbali sana kwa kila kitu kiteknolojia

Hakuna mtu yeyote dunia hii akakuamini akupe teknolojia yake yote, kwa sababu hakuna mahusiano yanayodumu vipi mkitofautiana na umegawa kila kitu (yaani ww ndio mwanzilishi ila huna chochote, unategemea misaada/kusaidiwa hivyo ulivyovibuni, inawezwkana kweli?

Hebu tumieni akili aiseeee
Hata mimi leo ndo nimesikia kwamba Elon Musk ni Myahudi.

Kwa mtaji huo basi hata Ibrahim Traore naye ni Myahudi.

Hata Rais Samia naye ni Myahudi.
 
duh kweli aisee watu waende hata veta labda kuna maarifa watapata
 
Nyie watu acheni ulay man hao watu wali lay foundation tu theoretically usisahau tech ni kitu dynamic Leo ukimfufua tesla atakuta Umeme umekuwa advanced sana
Sasa foundation ndo Kila kitu Kwenye nyumba. Afu hiyo Oppenheimer sio theory, alitengeneza bom la nuclear kabisa. Silaha kubwa na hatari kuliko zote marekani na duniani.
Jews wamejaa humo CIA, wanamiliki makampuni makubwa USA, silicone valley wamejaa...kiufupi ndio wameishikilia teknolojia ya marekani
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
na kujenga drone unit ndani ya iran pia ni msaada wa marekani?
 
Back
Top Bottom