Uongo.Uchumi wa Marekani wamiliki wakubwa ni Israel kama kwetu hapa wamiliki wakubwa wa uchumi mkubwa ni wageni mabilionea wahindi,waarabu na wapemba
Marekani ni wayahudi
Unaongea porojo wewe kampuni kubwa lipa kodi marekani ni za wayahudiSi kweli.
Kwanza kabisa, nchi ambayo iko karibu sana na Marekani ni Uingereza.
Uingereza na Marekani wana ‘special relationship’.
Marekani imeanzishwa na wahamiaji kutoka Uingereza.
Mpaka leo hii huko Uingereza vijiji ambavyo founding fathers wa Marekani walitokea, vipo!
George Washington ana asili ya Uingereza. Abraham Lincoln ana asili ya Uingereza. Thomas Jefferson, Benjamin Franklin, Button Gwinnett, na wengineo wengi tu, wote wana asili ya Uingereza.
Hakuna wa kuigusa Uingereza bila Marekani kuingilia.
Pia, kuna Taiwan na South Korea.
China haiwezi kuigusa Taiwan bila kuingia vitani na Marekani.
Na hakuna wa kuigusa South Korea bila kuingia vitani na Marekani.
Kwa sababu Mashariki ya kati ni eneo lenye mizozo mingi sana, ndo maana inaonekana kana kwamba Marekani yupo karibu sana na Israel.
Lakini ukweli ni kwamba, kuna sehemu zingine hapa duniani ambako huwezi kuzigusa bila kumchokoza Mmarekani ila sema tu ni sehemu zisizo na vurugu nyingi kama Mashariki ya kati hivyo zinakuwa hazisikiki sana.
Au Iran, haiwezi kununua hizo ndege?😃Kwani Israel haiwezi kununua ndege za Kimarekani za F-35? 🤔 🤔
NdiyoHao wote ni Wayahudi?
Kwa sababu zile zile zinazofanya wewe Mtanzania unakuwaga US badala ya Kolandoto Shinyanga!Kwa nini hawapo Tel Aviv, Jerusalem, na Haifa, lakini wote wapo Marekani?
Ni kweli, ila ni kwa sababu ya mchango mkubwa wa vumbuzi nyingi za kisasa kabisa za technology za hao Wayahudi pamoja na kodi zao kubwa kwa serikali ya huko kutokana na utajiri wao mkubwa sanaMarekani ndo mwenye hela, silaha, na uwezo mkubwa kupitiliza kuliko hako ka Israel.
Unaweza ukawa na mtaji ila usiwe na akili ya kuongeza hela nyngne kupitia huo mtaji.🤣.
Hizo stori zenu za Israel huwa zinachekesha sana.
Mnalinganisha uchumi wa dola trilioni 30 na uchumi waandamizi dola bilioni 500.
Marekani ndo baba lao na bila Marekani, Israel hamna kitu.
Hiyo Israel haina hata aircraft carrier moja!
Haina hata military bases kwenye nchi zingine.
Ni f22 ndo haikuwahi kuuzwa popote sio f35F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
What?Unaongea porojo wewe kampuni kubwa lipa kodi marekani ni za wayahudi
Hata hiyo world Bank na IMF ni wayahudi wenye hisa nyingi
Chuo kikuu cha kwanza cha Dar es salaam kilijengwa na Rockefelller myahudi mununuzi wa almasi wa jumla dunia nzima bure kama sehemu ya Corporate responsibility to Community hakujenga Nyerere
Wao ndio walikuwa wanunuzi wa almasi za mwadui
Anayeng'ang"aniwa ndiye wa muhimu kuliko mng'ang'aniaji😂Kama Israel bila Marekani hamna kitu kwanini Marekani anamng'ang'ania Israel miaka nenda rudi.
Uongo Nenda search biggesr taxpayers wa USA hizo kampuni anamiliki nani biggest shareholders? Kisha angalia origin zao Familly tree originUongo.
Wamarekani zaidi ya milioni 300 ndo wanachangia uchumi wa Marekani!
Porojo tu.Unaweza ukawa na mtaji ila usiwe na akili ya kuongeza hela nyngne kupitia huo mtaji.
Google imetoka kununua technology ya Israel kwa Dollar Billion 35.
Kumbuka YouTube ni wazo liloibiwa kutoka kwa Israel (Metacafe - mwaka 2003)
Technology nyingi kubwa zimegunduliwa na Mu-Israel
Kwa nini sasa hizo familia zisirudi huko Israel zijenge uchumi wa Israel?Uongo Nenda search biggesr taxpayers wa USA hizo kampuni anamiliki nani biggest shareholders? Kisha angalia origin zao Familly tree origin
F22 ndio ambazo haziuzwi kwa nchi yoyote na sio F35F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
Mimi sio kiazi labda utakuwa weweIsrael imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Subiri kidogo utaelewaPorojo tu.
Ipo siku mtadai Israel ndo ilivumbua binadamu.
Sitoshangaa pia mkidai siku moja kuwa Julius Nyerere naye alikuwa Myahudi 🤣.
Brains. Nyimwa vyote ujaliwe watoto wenye brains zenye madini. Hata huko mbinguni tunakoamini ni makazi yasiyo na mfano hakuna madini, wala mafuta wala sijui nini. Ni brains tu zimejaa mule!Chanzo cha mapato ya israel ni nini haswa maana kuendesha tu iron domes nchi yetu ingekuwa ICU. Achilia mbali kubonda mchi kadhaa ndani ya kipindi cha chini ya miaka 5
Huku mambo ya nchi yakiendelea kama kawaida
Nimekwambia kwamba si kweli.Haujajibu swali, nimekuuliza kwa nini USA iko karibu na Israel pengine kuliko mataifa mengine?.
Zingatia neno "pengine".
Hapa ninategemea unipe sababu siyo kunitajia nchi nyingine ambayo iko karibu na Israel
Marekani anamng’ang’aniaje Israel?Kama Israel bila Marekani hamna kitu kwanini Marekani anamng'ang'ania Israel miaka nenda rudi.
Mnapenda sana conspiracy hata kama mambo ya dhahiri.Ndiyo
Kwa sababu zile zile zinazofanya wewe Mtanzania unakuwaga US badala ya Kolandoto Shinyanga!
Ni kweli, ila ni kwa sababu ya mchango mkubwa wa vumbuzi nyingi za kisasa kabisa za technology za hao Wayahudi pamoja na kodi zao kubwa kwa serikali ya huko kutokana na utajiri wao mkubwa sana