Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..

Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..

US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...

Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..

Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Mkuu huko iran mambo yanaendaje?.
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Kwa nini Marekani yuko na Israel pengine kuliko mataifa mengine ?
 
F 35 project ilikuwa ni alliance ya nchi nyingi na Israel ilikuwa mojawapo, hakupewa bure alishiriki kuitengeneza, technology nyingi za US zinaanzia Israel, fanya research kidogo utaelewa
🤣.

Hizo stori zenu za Israel huwa zinachekesha sana.

Mnalinganisha uchumi wa dola trilioni 30 na uchumi wa dola bilioni 500?

Marekani ndo baba lao na bila Marekani, Israel hamna kitu.

Hiyo Israel haina hata aircraft carrier moja!

Haina hata military bases kwenye nchi zingine.
 
US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..

Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..

US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...

Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..

Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Uchumi wa Marekani wamiliki wakubwa ni Israel kama kwetu hapa wamiliki wakubwa wa uchumi mkubwa ni wageni mabilionea wahindi,waarabu na wapemba

Marekani ni wayahudi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kwa nini Marekani yuko na Israel pengine kuliko mataifa mengine ?
Si kweli.

Kwanza kabisa, nchi ambayo iko karibu sana na Marekani ni Uingereza.

Uingereza na Marekani wana ‘special relationship’.

Marekani imeanzishwa na wahamiaji kutoka Uingereza.

Mpaka leo hii huko Uingereza vijiji ambavyo founding fathers wa Marekani walitokea, vipo!

George Washington ana asili ya Uingereza. Abraham Lincoln ana asili ya Uingereza. Thomas Jefferson, Benjamin Franklin, Button Gwinnett, na wengineo wengi tu, wote wana asili ya Uingereza.

Hakuna wa kuigusa Uingereza bila Marekani kuingilia.

Pia, kuna Taiwan na South Korea.

China haiwezi kuigusa Taiwan bila kuingia vitani na Marekani.

Na hakuna wa kuigusa South Korea bila kuingia vitani na Marekani.

Kwa sababu Mashariki ya kati ni eneo lenye mizozo mingi sana, ndo maana inaonekana kana kwamba Marekani yupo karibu sana na Israel.

Lakini ukweli ni kwamba, kuna sehemu zingine hapa duniani ambako huwezi kuzigusa bila kumchokoza Mmarekani ila sema tu ni sehemu zisizo na vurugu nyingi kama Mashariki ya kati hivyo zinakuwa hazisikiki sana.
 
Uongo!

Marekani haiitegemei kwa chochote Israel.
Ukiondoa uvumbuzi mbalimbali hasa wa teknolojia na utajiri mkubwa wa mabilionea wa Kiyahudi US inakuwaje?

Yaani matajiri kama:
Elon Musk,
Larry Elison,
Mark Zuckerberg,
Larry Page,
Sergey Brin,
Steve Ballmer,
Michael Dell,
Michael Bloomberg,
Stephen Schwarzman,
Jeff Yass,
Nk, nk...
 
F 35 project ilikuwa ni alliance ya nchi nyingi na Israel ilikuwa mojawapo, hakupewa bure alishiriki kuitengeneza, technology nyingi za US zinaanzia Israel, fanya research kidogo utaelewa
Duh! Hizi propaganda za taifa teule la Mungu zimefanya mmekosa akili ya kuchanganua mambo, narudia tena na mm kusema hapa kuwa hakuna Israel bila Marekani, Israel anasaidiwa kila kitu, inawezekanaje ww uwe mtaalamu usitengenezee kwake uende kuundia kwa jirani kisha usaidiwe useme ni ww ulitengeza?
 
Ukiondoa uvumbuzi mbalimbali hasa wa teknojia na utajiri mkubwa wa mabilionea wa Kiyahudi US inakuwaje?
Yaani matajiri kama:
Elon Musk,
Larry Elison,
Mark Zuckerberg,
Larry Page,
Sergey Brin,
Steve Ballmer,
Michael Dell,
Michael Bloomberg,
Stephen Schwarzman,
Jeff Yass,
Nk, nk...
Hao wote ni Wayahudi?

Kwa nini hawapo Tel Aviv, Jerusalem, na Haifa, lakini wote wapo Marekani?

Marekani ndo mwenye hela, silaha, na uwezo mkubwa kupitiliza kuliko hako ka Israel.
 
Mbona baadhi za mission Israel zinazofanya marekani inapinga lakini wanaenda kibabe,marekani wanaona tu hawawezi kuzuia na kuwaacha,marekani inaihitaji Israel ila Israel haihitaji marekani kama unavyowaza.
Nope! Mtengenezaji ni Marekani. Acheni kuwapa sifa zote Waisrael.

Hiyo nchi bila Marekani hamna kitu.
 
US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..

Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..

US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...

Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..

Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Hahahaha mbona povu jingi Mkuu?tuliwaambiwa hapa Israel ndio Mtabe was middle east.
 
Duh! Hizi propaganda za taifa teule la Mungu zimefanya mmekosa akili ya kuchanganua mambo, narudia tena na mm kusema hapa kuwa hakuna Israel bila Marekani, Israel anasaidiwa kila kitu, inawezekanaje ww uwe mtaalamu usitengenezee kwake uende kuundia kwa jirani kisha usaidiwe useme ni ww ulitengeza?
Exactly!

Watu wanawaorodhesha matajiri ambao wanasadikika kuwa ni Wayahudi.

Wengine nadhani wanazushiwa tu.

Lakini katika hao wote wanaoorodheshwa, wote wanaishi Marekani. Wengi wao wamezaliwa Marekani. Na shughuli zao zote zipo Marekani.
 
Mbona baadhi za mission Israel zinazofanya marekani inapinga lakini wanaenda kibabe,marekani wanaona tu hawawezi kuzuia na kuwaacha,marekani inaihitaji Israel ila Israel haihitaji marekani kama unavyowaza.
Uongo hahahaa.

Marekani haiihitaji Israel kwa lolote lile.

Uchumi wa dola trilioni 30 huwezi kuulinganisha na uchumi waandamizi dola bilioni 500.
 
Si kweli.

Kwanza kabisa, nchi ambayo iko karibu sana na Marekani ni Uingereza.

Uingereza na Marekani wana ‘special relationship’.

Marekani imeanzishwa na wahamiaji kutoka Uingereza.

Mpaka leo hii huko Uingereza vijiji ambavyo founding fathers wa Marekani walitokea, vipo!

George Washington ana asili ya Uingereza. Abraham Lincoln ana asili ya Uingereza. Thomas Jefferson, Benjamin Franklin, Button Gwinnett, na wengineo wengi tu, wote wana asili ya Uingereza.

Hakuna wa kuigusa Uingereza bila Marekani kuingilia.

Pia, kuna Taiwan na South Korea.

China haiwezi kuigusa Taiwan bila kuingia vitani na Marekani.

Na hakuna wa kuigusa South Korea bila kuingia vitani na Marekani.

Kwa sababu Mashariki ya kati ni eneo lenye mizozo mingi sana, ndo maana inaonekana kana kwamba Marekani yupo karibu sana na Israel.

Lakini ukweli ni kwamba, kuna sehemu zingine hapa duniani ambako huwezi kuzigusa bila kumchokoza Mmarekani ila sema tu ni sehemu zisizo na vurugu nyingi kama Mashariki ya kati hivyo zinakuwa hazisikiki sana.
Haujajibu swali, nimekuuliza kwa nini USA iko karibu na Israel pengine kuliko mataifa mengine?.
Zingatia neno "pengine".

Hapa ninategemea unipe sababu siyo kunitajia nchi nyingine ambayo iko karibu na Israel
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Kama Israel bila Marekani hamna kitu kwanini Marekani anamng'ang'ania Israel miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom