Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Pentagon wamethibitisha kushiriki kuzuia makombora ya Iran. Kwahiyo siyo Israel bali usaidizi wa Marekani na nchi zingine. Jordan imetoa air space kwa Israel kupitisha ndege salama.

Iran ipo katika vikwazo kwa zaidi ya miaka 15 lakini bado wamepenya anga
Kuna layer tatu za ulinzi wa anga la Israel, makombora yamepenya na kudokoa sehemu nyeti

Mkuu kila siku tunawaeleza watu Israel bila Marekani inapiga vizuri sana. Hawa watu wetu wa TISS ni wagumu sana kuelewa
 
Hivi tunaongelea mambo yasiyotuhusu ya Iran na Israel vipi nchi yetu na jinsi CCM wanavyotuchuna na kulikandamiza hili taifa tajiri? Kwa kweli with CCM tusitegemee kuendelea hata siku moja.
 
Si uianzishe wewe hiyo mada…
 
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.

Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.

Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.

Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.

Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.

Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Wewe wasema!
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel anasema Iran wame cross redline. Maana yake kuna mahali wamegongwa.

Makao makuu ya IDF yapo Tel Aviv eneo la Kirya! Watu wetu wamefundishwa ujinga kwamba Hamas wanajificha katika makazi ya Watu. Mbona IDF na MOSAD wapo kati kati ya makazi! hiyo inaonekana sawa.
 
Marekani ni mshirika wa muhimu lakini kichapo kimetolewa na wale wadada ndani ya fighter jets.
Hizi propaganda tumezisikia vita zote za Israel. Jiulize, hao wadada walikuwa wapi Hamas ikivamia?
Jiulize miaka 3 sasa mbona hawajamaliza vita GAZA!
Hao wadada walikuwa wapi wenzao wakipata kipigo cha Hesbollah hadi kusaini mkataba wa kusitisha mapigano.
 
Israel ni mshirika wa Marekani.

Unapozinunua hizo ndege, hawakuuzii kila kitu. Hawakuuzii siri zilizotumika kuzitengeneza. Hawakuuzii ndege zilizo sawa na walizonazo wao. Hawakuuzii capabilities zote.

Israel hana uwezo wa air to air refueling. Marekani inao huo uwezo.

Israel haiwezi ku sustain bombing kwa muda mrefu kwa kuzitumia hizo ndege bila kujazwa mafuta huko angani.

Na mwenye uwezo wa kujaza mafuta angani ni Marekani.
Kuna sehemu nimesoma wanasema Israel ndiye alikuwa wa kwanza kununua F-35 hata kabla ya Marekani wenyewe, kutoka Lockheed Martin wakazifanyia modification na kuziita F35i adir, na ndizo wamezitumia jana huko vitani.

Na Inaonekana walifanya some tweeking kukidhi mahitaji yao, sasa sijui wao wanakuwa na mkataba wa aina gani hadi kuruhusiwa kufanya modification from the original design, maana hilo ili lifanyike lazima wanakuwa na ruhusa ya manufacture kwa sababu ndiye mwenye patent ya design na final product na usage technical manual.

Hivyo naamini lazima wao watakuwa na extra privilege wanapewa kama Israel, ukilinganisha na wanunuzi wengine.

Israel ni mdau wao muhimu hivyo nadhani watakuwa wamempa uwezo wa ziada, maana kazungukwa na maadui. wasipompa uwezo itakuwa ngumu kujilinda.

Ikiwa kama Ukraine ambaye kapewa silaha lakini eti haruhusiwi kuzitumia, mara asipige ndani ya Russia kutumia silaha hizo, masharti meengi hata sielewi hawa jamaa mikataba yao huwa wan idisign vipi, any way tuendelee kula pop corn movie limeanza.
 
Chanzo cha mapato ya israel ni nini haswa maana kuendesha tu iron domes nchi yetu ingekuwa ICU. Achilia mbali kubonda mchi kadhaa ndani ya kipindi cha chini ya miaka 5

Huku mambo ya nchi yakiendelea kama kawaida
Mi hata sijui wenzetu pesa huwa wanazitoa wapi, usikute ndio wauza unga wa dunia hii. Maana wao kila watakacho marekani anawapa.

Sijui wanalipa au wao ni tester wa zana zao. Marekani inaipa Israel kila kitu, sijui sababu hasa huwa ni ipi.
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema Israel ndiye alikuwa wa kwanza kununua F-35 hata kabla ya Marekani wenyewe, kutoka Lockheed Martin wakazifanyia modification na kuziita F35s adir, na ndizo wamezitumia jana huko vitani.

Na Inaonekana walifanya some tweeking kukidhi mahitaji yao, sasa sijui wao wanakuwa na mkataba wa aina gani hadi kuruhusiwa kufanya modification from the original design, maana hilo ili lifanyike lazima wanakuwa na ruhusa ya manufacture kwa sababu ndiye mwenye patent ya design na final product na usage technical manual.

Hivyo naamini lazima wao watakuwa na extra privilege wanapewa kama Israel, ukilinganisha na wanunuzi wengine.

Israel ni mdau wao muhimu hivyo nadhani watakuwa wamempa uwezo wa ziada, maana kazungukwa na maadui. wasipompa uwezo itakuwa ngumu kujilinda.

Ikiwa kama Ukraine ambaye kapewa silaha lakini eti haruhusiwi kuzitumia, mara asipige ndani ya Russia kutumia silaha hizo, masharti meengi hata sielewi hawa jamaa mikataba yao huwa wan idisign vipi, any way tuendelee kula pop corn movie limeanza.
Lete source….
 
Uliandika kwamba Israel ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuzinunua hizo F-35 hata kabla ya Marekani yenyewe.

Nikakuomba chanzo, ukatoa.

Nimekisoma chanzo chako na sijaona sehemu yoyote inayosema kwamba Israel ndo ilikuwa ya kwanza kuzinunua hizo ndege kabla hata ya Marekani yenyewe.

Bali, nilichokiona ni hiki;

IMG_8011.jpeg

“Making it the First Nations outside of the US to do so”.

Hivi umeelewa kweli ulichokisoma au ulikosea tu kuelezea?

Haiingii akilini Israel ndo iwe nchi ya kwanza kuwa na hizo ndege kabla hata ya nchi inayozitengeneza.
 
Nadhani nimeisoma niliisoma humo.
Ama hukuelewa vizuri ulichokisoma au ulikosea tu kuelezea.

Nje ya Marekani, Israel ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuzinunua hizo ndege.

Manake ni kwamba, Marekani ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuwa nazo halafu Israel ndo ikafuata.
 
Uliandika kwamba Israel ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuzinunua hizo F-35 hata kabla ya Marekani yenyewe.

Nikakuomba chanzo, ukatoa.

Nimekisoma chanzo chako na sijaona sehemu yoyote inayosema kwamba Israel ndo ilikuwa ya kwanza kuzinunua hizo ndege kabla hata ya Marekani yenyewe.

Bali, nilichokiona ni hiki;

View attachment 3367440

“Making it the First Nations outside of the US to do so”.

Hivi umeelewa kweli ulichokisoma au ulikosea tu kuelezea?

Haiingii akilini Israel ndo iwe nchi ya kwanza kuwa na hizo ndege kabla hata ya nchi inayozitengeneza.
Hahaha nilisoma kwa haraka, nilikuwa napitia habri zingine, ila nadhani umepata jibu la swali lako, ukiachiliambali makosa ya usomaji na uwasilishaji.

Bado naamini version walizonazo USA ndo top notch.
 
Ama hukuelewa vizuri ulichokisoma au ulikosea tu kuelezea.

Nje ya Marekani, Israel ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuzinunua hizo ndege.

Manake ni kwamba, Marekani ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuwa nazo halafu Israel ndo ikafuata.
Uwasilishaji ulikuwa na makosa, lakini umepata jibu la kwanini nahisi hawa Israel wao wanamikataba tofauti, inakuwaje wanaruhusiwa kufanya marekebisho au nao wana patent kwenye design hadi kutengenezwa au kiwanda chao.
 
Hahaaa.

Iko hivi, nchi huwa zinaruhisiwa kufanya customization.

Ulikuwa hujui hilo?

F 35 zilizopo kwenye fleet ya Marekani si sawa na F 35 ambazo Marekani huziuza nje.
 
Back
Top Bottom