Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Pole mpambanaji HIMARS,sisi tuliyajua haya mapemaNi wakati Ulaya ikajitathimini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mpambanaji HIMARS,sisi tuliyajua haya mapemaNi wakati Ulaya ikajitathimini
Wewe kijana wewe acha basi,hebu punguza madini,mtu unatema madini Hadi najisikia kama natembea juu ya maji😄Ni wakati wa nchi za Ulaya kuwa na ushirikiano na China na Russia dunia ya sasa inahitaji win-win cooperation sio sera za Marekani za win-lose cooperation
Tatizo la nchi za Ulaya zimekubali kuwa U.S vassal states, wamekubali internal na foreign policies zao zitegemee sera za Marekani wanaumia sana, ndicho anachopitia Japan, South Korea, Canada, Australia na U.S vassal states nyingine.
Leo uchumi wa Ujerumani unaotegemea viwanda, uzalishaji viwandani umeporomoka kwa sababu ya kupanda kwa gharama za nishati ambazo awali walikuwa wananunua Urusi kwa bei rahisi, Marekani akalipua Nord Stream pipeline ili awauzie LNG kwa bei kubwa
Mafuta wanauziwa na India ambayo nayo inanunua Urusi na kuwauzia kama third party kwa gharama kubwa
Na bado Marekani inawatisha kwa kuwapandishia tariffs bidhaa zao.
Mchina aliona mbali kafanya juu chini kuhakikisha kuwa soko lake kubwa la bidhaa lisitegemee Marekani, kwa sasa soko kubwa la China ni Global South countries.
Ukiwa trade partner mkubwa wa Marekani lazima akutese sana kama Canada, Mexico na Japan zinavyoteswa na tariffs.
Siku hizi Mchina anafanya tit for tat Marekani akitia tariffs na yeye anampandishia tariffs kwa sababu soko la Marekani sio kipaumbele kwake.
Marekani ni kwenda naye kibabe kama Urusi na China zinavyofanya
Mimi mwenyewe nimebaki kumshangaa,Hawa watu wa hivi bado wapo wengi humu,Kila tukiwamaliza wanakuja wengine.Hivi ww jamaa unajua unakiandika kwanza au unaropoka tu?
Ha ha haa,safi sana Mwamba,vijamaa vinawaza misaada TU.Misaada ya Nini wewe,nyie ccm bn
Hawawezi, hao ni maskini km maskini wengine ndo maan wanaendeshwa na Marekan. Wanashindwa hata kupeleka MICHANGO yao kwa wakati huko NATO sasa ndo watoe misaada kwa Ukraine peke yao.We are strong together than alone.
Ukraine inahitaji support ya kila aina kutoka Nchi wananchama wa NATO, kama Marekani imekataa kwa sababu zake za siasa za ndani, basi wanachama waliobaki wajipange au waunde ummoja mpya na wamkaribishe mwenzao wakimuacha wanamkaanga.
Acha ajitoe akili lakini iko siku atatamani kushirikiana na yeyote hata Somalia na hatopata. Inaweza kuwa dua la kuku.
Muue 🤣🤣🤣🤣🤣🙏Wamempiga nyuki busu wakajua maumivu yake alafu wewe unashauri waendelee na huu mchezo?
Tangu 2014 nawaambia wajinga kama wewe kuingia vitani na Urusi ni sawa na kudumbukia kwenye tanuru la kuyeyusha vyuma.
Falme nyingi zimeijaribu urusi zikapotea usije kufikiri marekani ni mjinga
🤣🤣🤣Marekani ni propaganda tu, ila kwa Russia hathubutu kitu, kwani ye haogopi
Unaongea utumbohv unajuwa hali ya Urusi sas hv ? Urusi wamefikia hatua ya kusema liwalo na liwe ika sio kwamba ukimya wao unamaanisha wapo vzr , Trump katumia busara , Hii vita imempa fursa nying China na lzn wafanye maamuz kama haya ili China asiwapige gap kubwa , kipind cha hii vita ndo China kapata ushawishi mkubwa baran kwake Asia ambako wengi walikiwa hawamtaki pia Ndo kipind China kawatoa rasmi wazungu huku Afrika , pia ndo kipind China kaanza tawala soko la Ulaya , pia ndo kipind China amepanya option ya kuiangusha USA kwa kuitumia Urusi , so ni lzm Trump arud nyuma aweke sw ila bila uwepo wa China kama superpower bas USA angemvagaa Urusi na kumdunda vzr maana hata kama angerud nyuma bas bado angekuwa kileleni maana kutoka yeye hadi mtu wa tatu anamzid krb mara 2 ila huyu wa pili yake yupo makalion , USA akidelay kdg China anakaa Mbele zaid , so uwepo wa China km mshindani wa USA ndo umefanya Trump afanye hayo maamuz
Mimi mwenyewe Nimeshangaa Sana 😁Hivi ww jamaa unajua unakiandika kwanza au unaropoka tu?
🤣🤣Rudi kijiweni wakakuongezee ujinga
Mzee ana akili kuliko mbumbumbu wote wa ulaya na Ukrain ndio maana.Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema:
"Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga."
– Henry Kissinger
Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Zamu hii Ukraine na Ulaya wamejifunza.
Akizungumza na washirika wa NATO mjini Brussel, Belgium, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alitoa matamshi ambayo naamini mpaka sasa Zelensky na viongozi wa Ulaya hawaamini macho yao.
"Hakuna uanachama wa NATO kwa Ukraine"
"Hakuna vikosi vya Marekani kwenda nchini Ukraine"
"Hakuna askari wa NATO kwenda nchini Ukraine. Lakini nchi za Ulaya zinaweza kutuma wanajeshi wao wenyewe.”
"Lazima tuanze kwa kutambua kwamba kurudishwa kwa mipaka ya Ukraine ya kabla ya 2014 ni lengo lisilowezekana, kufuatia lengo hili lisilowezekana kutaongeza muda wa vita na kusababisha mateso zaidi."
"Wanajeshi wowote wa Uingereza au Ulaya ambao walitumwa nchini Ukraine hawatakuwa chini ya misheni ya NATO au na dhamana ya kifungu cha 5 cha muungano huo, watategemea usaidizi kutoka kwa mataifa yanayoshiriki."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Na kama haitoshi naye Trump alifanya mazungumzo na Putin kwa saa 1:30 wakaafikiana kuwa watakutana Saudi Arabia mada kuu itakuwa suala la vita ya Ukraine.
Lakini wakati huohuo Trump alitumia dakika 10 tu kuongea kwenye simu na Zelensky.
Ukraine imepoteza mamia ya maelfu ya askari, mamilioni ya Waukraine wamekimbia nchi yao, wamepoteza karibu 20% ya ardhi yao na uchumi na miundombinu mingi kuharibiwa na Urusi.
😁Nafikiri Taiwan itakuwa imejifunza from the massive mistake Ukraine made
Ukraine sio mwana chama wa NATO na the facts are, one of the reason why Russia aliamua kuivamia Ukraine ni hilo tishio la wao kujiunga na NATO.We are strong together than alone.
Ukraine inahitaji support ya kila aina kutoka Nchi wananchama wa NATO, kama Marekani imekataa kwa sababu zake za siasa za ndani, basi wanachama waliobaki wajipange au waunde ummoja mpya na wamkaribishe mwenzao wakimuacha wanamkaanga.
Acha ajitoe akili lakini iko siku atatamani kushirikiana na yeyote hata Somalia na hatopata. Inaweza kuwa dua la kuku.
💯Marekani ni kwenda naye kibabe kama Urusi na China zinavyofanya
Sisiyemu awo,akili zao zimefeli kwenye kuwaza misaada tuHa ha haa,safi sana Mwamba,vijamaa vinawaza misaada TU.
Sasa hicho kijamaa kinadhani hayo mashirika ya misaada ni rafiki kwetu,kumbe ni vyombo vya kutunyonya na masharti magumu,
Hakijui kama Urusi na china wamesaidia sana nchi zetu bila masharti.
Tangu tulivyonza kupewa iyo 30 %ndo kimebadilika Nini?Zaidi ya 30% ya bajeti yetu inaihitaji
Ukrain watalipa madeni ya silaha mpk vitukuu vyao plus kuchukuliwa malighafi, person of interest hajawahi acha mtu salamaMwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema:
"Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga."
– Henry Kissinger
Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Zamu hii Ukraine na Ulaya wamejifunza.
Akizungumza na washirika wa NATO mjini Brussels, Belgium, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alitoa matamshi ambayo naamini mpaka sasa Zelensky na viongozi wa Ulaya hawaamini macho yao.
"Hakuna uanachama wa NATO kwa Ukraine"
"Hakuna vikosi vya Marekani kwenda nchini Ukraine"
"Hakuna askari wa NATO kwenda nchini Ukraine. Lakini nchi za Ulaya zinaweza kutuma wanajeshi wao wenyewe.”
"Lazima tuanze kwa kutambua kwamba kurudishwa kwa mipaka ya Ukraine ya kabla ya 2014 ni lengo lisilowezekana, kufuatia lengo hili lisilowezekana kutaongeza muda wa vita na kusababisha mateso zaidi."
"Wanajeshi wowote wa Uingereza au Ulaya ambao walitumwa nchini Ukraine hawatakuwa chini ya misheni ya NATO au na dhamana ya kifungu cha 5 cha muungano huo, watategemea usaidizi kutoka kwa mataifa yanayoshiriki."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Na kama haitoshi naye Trump alifanya mazungumzo na Putin kwa saa 1:30 wakaafikiana kuwa watakutana Saudi Arabia mada kuu itakuwa suala la vita ya Ukraine.
Lakini wakati huohuo Trump alitumia dakika 10 tu kuongea kwenye simu na Zelensky.
Ukraine imeambulia kupoteza mamia ya maelfu ya askari, mamilioni ya Waukraine wamekimbia nchi yao, wamepoteza karibu 20% ya ardhi yao na uchumi na miundombinu mingi kuharibiwa na Urusi.
Miundombinu ya barabara na afya imejengwaTangu tulivyonza kupewa iyo 30 %ndo kimebadilika Nini?