Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
😂😂Dah! Ndege imesanifiwa na kutengenezwa Marekani; ikanunuliwa na Qatar, ikatolewa zawadi kwa Marekani ilikosanifiwa na kutengenezwa. Jadili!
Tususie tende na kanzu sasa shekheEti Super Power huyo anapewa mpa ndege zinazo tengenezwa kwake 🤣
WebabuWebabu mwarabu wa tandale tuambie lini unasusia tende na kanzu za mabwana zako? Bwana ndio hivyo keshatoa kazi kwako sasa wewe mtumwa kuumia
Nguruwe wewe kaa kimya sio kila kichaka unye, tako weweWazee wa kobazi magaidi,hawana elimu dunia na makatili! Wale wazee wa taifa teule mko wapi? Mbwa nyie
💊💊 Imekuingia anko joshua vp taifa teule la shetani limewapa nini? Mbwa koko nyieNguruwe wewe kaa kimya sio kila kichaka unye, tako wewe
We nguruwe unaishi dunia gani usijue taifa teule limefikia wapi katika kusafisha vichaka vya magaidi huko? Kenge wewe!!😂😂😂
💊💊 Imekuingia anko joshua vp taifa teule la shetani limewapa nini? Mbwa koko nyie
Ina maana US hawakuwa na plan ya kuandaa ndege mpya ya Rais kwa miaka yote 40!Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais.
Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump.
“Waziri wa Ulinzi amekubali ndege ya Boeing 747 kutoka Qatar kwa mujibu wa sheria na kanuni zote za serikali ya shirikisho,” alisema msemaji mkuu wa Pentagon, Sean Parnell, katika taarifa siku ya Jumatano.
Ndege hiyo itahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kutumika kama sehemu ya msafara wa Air Force One — chombo rasmi cha usafiri wa anga cha rais wa Marekani.
Ikulu ya White House imesisitiza kuwa zawadi hiyo ni halali kisheria, lakini tangazo la uhamisho huo wiki moja iliyopita liliibua mjadala mkali.
Ndege hiyo imetolewa na familia ya kifalme ya Qatar na inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 400 (sawa na pauni milioni 300). White House imesema kuwa ndege hiyo mpya itahamishiwa kwenye maktaba ya urais ya Trump mwishoni mwa muhula wake.
US defence officials confirm acceptance of Qatari plane for Air Force One
The White House insists that the gift is legal, but some of Trump's biggest backers have criticised the deal.www.bbc.com
Elewa maana ya zawadi wewe sio kukurupuka, ivi mtu akikupa let say kiatu kama zawadi itakuwa inamaanisha haukujiandaa kukunua? Stop non sense quations?Ina maana US hawakuwa na plan ya kuandaa ndege ya Rais kwa miaka yote 40!
😂😂😂 Anko joshua come down bwana,makobazi wamewahonga ndege?We nguruwe unaishi dunia gani usijue taifa teule limefikia wapi katika kusafisha vichaka vya magaidi huko? Kenge wewe!!
We mkimbizi unaleta utani wakati wenzio huko Goma na Bukavu hawalali, nguruwe mkubwa wewe😂😂😂 Anko joshua come down bwana,makobazi wamewahonga ndege?
Anko joshua je taifa teule la shetani mtawapelekea nini marekani? Au mtawapelekea Tende kutoka bethlehemu? Au mtawapeleka mashoga kutoka Tel aviv?We mkimbizi unaleta utani wakati wenzio huko Goma na Bukavu hawalali, nguruwe mkubwa wewe
Tutakupeleka wewe Ashura migulu bajaAnko joshua je taifa teule la shetani mtawapelekea nini marekani? Au mtawapelekea Tende kutoka bethlehemu? Au mtawapeleka mashoga kutoka Tel aviv?