Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais.

Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump.

“Waziri wa Ulinzi amekubali ndege ya Boeing 747 kutoka Qatar kwa mujibu wa sheria na kanuni zote za serikali ya shirikisho,” alisema msemaji mkuu wa Pentagon, Sean Parnell, katika taarifa siku ya Jumatano.

Ndege hiyo itahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kutumika kama sehemu ya msafara wa Air Force One — chombo rasmi cha usafiri wa anga cha rais wa Marekani.

Ikulu ya White House imesisitiza kuwa zawadi hiyo ni halali kisheria, lakini tangazo la uhamisho huo wiki moja iliyopita liliibua mjadala mkali.

Ndege hiyo imetolewa na familia ya kifalme ya Qatar na inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 400 (sawa na pauni milioni 300). White House imesema kuwa ndege hiyo mpya itahamishiwa kwenye maktaba ya urais ya Trump mwishoni mwa muhula wake.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Aaaaah!!
 
Huku kwetu tunawapa Oman ndege kama Tai na Mwewe wakaanzishe Zoo...🤣
 
Imekuwaje umepost hii kitu ndugu yangu; unaiona kama ni ushindi wakati hii ni corruption ya hali juu sana? Angekuwa "Mama" kapewa ndege hiyo kwamba ikae serikali miaka mitatu tu halafu akaimalize muda wake aichukua anongoke nayo ungeshangilia pia kweli?

Marekani ya Trump leo ni nchi ya ajabu sana. Lakini ndugu yangu mlishinda November ngoja sasa mfaidi matunda ya ushindi. AG ni ajent wa zamani wa Qatar, Secretary of Defence in mlevi mmoja wa zamani aliyeahidi mbele ya Senate kuacha ulevi lakini hakuna anayejua kuwa kweli ameacha, kanuni zote za kubana rushwa nje ya nchi zimefutwa, wakaguzi huru wa matumizi ya serikali wote wamefutwa kazi kusudi serkali ijifanyie mambo itakavyo. Baada ya kuvunja hio pillarza za usimamizi wa serikali sasa hivi serikali ya Marekani ni Trump Organization -V2.

Kampuni binafsi ya Amazon imenyamazishwa isionyeshe tofauti kati ya bei za bidhaa na tarriff wakati kwenye biashara zote huwa ukipewa list huwa inaonyesha bei ya bidhaa na tax, lakini tarriff haitakiwi ionyeshee.

USA ya leo imekuwa banana republic ya nguvu sana ingawa bado nasubiri lower grocery prices on day one !
 
Ukiwa unasoma vitu huku ukiwa na preconceived notions zako, matokeo yake ndo kuhitimisha kuwa mimi naona Marekani kupewa ndege na Qatar ni ushindi.

Ukinisoma kwa makini na kuzivua hisia zako utajua kuwa mimi wala siungi mkono Marekani kupewa ndege na Qatar kwa sababu mbalimbali:

1. Ni aibu na fedheha kwa nchi ambayo inajitanabahisha kuwa ni super kupewa ndege na taifa jingine ambayo Rais [wa super power] ataitumia. No self respecting leader should accept such a gift.

2. Hata kama kisheria hakuna makosa, kimiiko [ethics] ni jambo ambalo haliko sawa. Ni zawadi kubwa mno yenye muonekano wa rushwa. Rais muadilifu hapaswi kukubali zawadi zenye sura na harufu ya rushwa.

3 Zawadi nzima inakinzana na ile dhana ya MAGA! Hiyo zawadi haiifanyi Marekani ionekane ni great.

Ondoa hisia zako kabla hujanisoma. Katika hili mimi na wewe wala hatuna tofauti.

Hoja zote ulizoziweka nakubaliana nazo na zaidi.

Hapa nimeweka tu habari kama ilivyo maana juzi juzi hapa yalitokea mabishano ya kama tayari Trump ameshaipokea hiyo ndege au la.

Kwa wakati mimi niliwaambia watu humu kuwa bado hiyo ndege haijapokelewa. Nilikuwa sahihi.

Leo habari ndo imetoka kuwa sasa serikali ya Marekani imeshaipokea rasmi hiyo ndege.

Kuileta kwangu hii habari hapa haimaanishi nakubaliana na hicho kitendo.

Sina mahaba na mwanasiasa yeyote yule kiasi nishindwe kumkosoa nionapo anafanya sivyo.

Falsafa yangu: no one is above criticism and no one is below praise.

Mtu akifanya vizuri, nitampa maua yake. Akifanya vibaya, nitamchana.

Nakushangaa unaandika hapa kana kwamba mimi na wewe kwenye hili tuna mtazamo tofauti.

Come on man!
 
Zile sheria za Us zisizoruhusu rais kupokea zawadi kama ulivyodai,zimebadilika?...hadi ukanitusi!!
 
Again, aliyepewa na kuipokea hiyo ndege ni Rais au ni wizara ya ulinzi?

Hati miliki ya hiyo ndege itakuwa na jina la nani? Donald John Trump?
 
Kuna mshairi aliyesema kuwa
"If it looks like a duck, walks like a duck, and quacks like a duck, then it just may be a duck." Kama ulisoma shairi lake utaelewa kwa nini wengine tulikuwe kwenye opposite side ya November ila tukashindwa, na ndiyo matokeo ya demokrasi. We will live with the duck for another four years!
 
Wizara ya ulinzi ya Marekani ina bejti yake inayopitisha nwa congress; haitegemei misaada kutoka nje. AG na Secretary of defence wame-create channel ya rushwa kwa faida ya rais tu. Angekuwa AG ni mtu imara, hilo lisongetokea.

Kuona mbali kunasaidia sana lakini pia kuona karibu tu kunasaida wengi.
 
This is pointless!

Umenituhumu kuwa nashabikia jambo ambalo sikubaliani nalo.

You are wrong and you’re too emotional.

Hata mtu ambaye kwenye jambo ambalo hamna tofauti kimtazamo, unashindwa kuona kuwa hauna tofauti naye kwa sababu ya emotions zako 🤣.

Hivi wewe uliyekuwa unamshabikia Biden ulikuwa unakubaliana naye 100%?

Watu wengine mnashangaza sana! School girl emotions.
 
Fine.

Unaandika kana kwamba mimi sikubaliani na wewe.

Mimi suala zima, in all its permutations, sikubaliani nalo.

Ni kana kwamba uko disappointed kuona kwamba sikubaliani nalo na ulitamani nikubaliane nalo.

I have principles.
 
Siyo emotional bali ni facts zilizotokea huko nyuma. Najua kwenye background yetu tuliwahi kuwa majirani pale darajani -UDSM, kwa hiyo nakuchukulia kama ndugu yangu wa karibu huku ugenini. Lakini tofauti zetu za mitazamo zilipamba moto sana baada ya ile conviction ya NY. JF keeps records; we can go back and read the exchanges that happened between us after the NY conviction. Nakumbuka nilifikia kusema ndugu yangu wa karibu umepatwa na jini gani kufikia kushindwa kuona jambo hilo? Kuna msitali nilisema nitatumia summer ya 2024 kuja kukutafuta Atlanta tuongee vizuri tujue tumetofautianaje mitazamo ya kimaisha; sikuja.

Nadhani mjadala huu kwa sasa hivi tuufunge tu; tuna miaka mnine mbele yetu. Lower grocery prices on day one tutatendelea kuisubiri. Walioshindwa kutambua kuwa utawala wa kwanza wa rais huyu ulifaidka na sera allzoacha Obama tu (NOBAMA), sasa wasubiri Big Beautiful Bill kwenye kipindi hiki
 
Fine.

Unaandika kana kwamba mimi sikubaliani na wewe.

Mimi suala zima, in all its permutations, sikubaliani nalo.

Ni kana kwamba uko disappointed kuona kwamba sikubaliani nalo na ulitamani nikubaliane nalo.

I have principles.
Sisi bado ni ndugu. Siasa za Marekani zisitutenganishe. najua pia inategema majirani ulio nao na kanisa ulilokuwa unasali kwa vile mimi nawajua sana majirani zangu na viongozi wa kanisa langu, ila nimekuwa nauamini sana ubongo wangu mwenyewe
kuliko majirani na viongozi wa kanisa. Siasa siku zote ni transient, lakini undugu ni permanent; kuna wakati Makongoro Nyerere alikuwa NCCR-Mageuzi lakini leo ni CCM!
 
Elewa maana ya zawadi wewe sio kukurupuka, ivi mtu akikupa let say kiatu kama zawadi itakuwa inamaanisha haukujiandaa kukunua? Stop non sense quations?
Sijakurupuka hebu nenda deep kasome article ya BBC
UNATIWA NYUMA WEWE
 
Tususie tende na kanzu sasa shekhe
Dogo mimi huwa sichukui tende kwa mtu au kanzu za mitumba, mimi tende nanua tena zile high quality we kama unataka nikupe kazi ya kusafisha magari yangu sema tu, lakini kwanza ukubali wewe ni mpagani sio mfuasi wa Yesu.
 
Back
Top Bottom