Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Sentensi ya kiuendawazimu hii
 
Tatizo wamechagua mshirika dhaifu na mwoga
 

..Kenya hawataki vita na Tanzania, bali wanataka kufanya biashara na sisi.

..Mahusiano yetu ya kibiashara na Kenya ni makubwa kuliko majirani zetu wote, na Afrika kwa ujumla.

..Watanzania turekebishe MITIZAMO yetu. Badala ya kufikiria uadui na Kenya tufikirie fursa za kibiashara na namna ya kufaidika zaidi kiuchumi.

..Jirani anayetishia usalama wa Tanzania ni nchi kama Msumbiji ambayo imeshindwa kuthibiti magaidi nchini kwao.

..Bajeti yetu ya ulinzi imeongezeka kutokana na tishio la usalama ktk mpaka wetu na Msumbiji.

..Hatujawahi kusikia habari kama hizo ktk mpaka wetu na Kenya. Badala yake tunasikia habari za maendeleo ikiwemo kujengwa kwa miradi wezeshi ya biashara ya mpakani.

..Naendelea kusisitiza kwamba Watanzania tunapaswa kubadilika KIMTIZAMO kuhusu Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…