Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika Mashariki.

Kenya anatengenezwa kuwa kibaraka wa West Ili kuiba Mali za Congo na eneo Zima la Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara.

thecitizentz

US President Joe Biden is expected to designate Kenya as a major non-North Atlantic Treaty Organisation (Nato) ally during a three-day state visit by Kenyan President William Ruto this week, a source familiar with the plans said.

Kenya would be the first Sub-Saharan African country to receive the designation, reflecting Washington's drive to upgrade its relations with Nairobi at a time of growing Russian and Chinese influence in Africa.

The two leaders will meet in the Oval Office on Thursday, followed by a joint news conference and a state dinner.

Senior administration officials said Biden and Ruto would discuss a range of issues from trade to debt relief and the way forward for Haiti, Ukraine, Sudan, and other areas during their meeting.
View attachment 2997412
My Take
Tusikubali Kenya kuwa na Nguvu kubwa za Kijeshi sebuleni kwetu.Tufanye kama Russia anavyomfanyia Ukraine.

Huu ushirika ni kitisho Cha moja Kwa Moja Cha usalama na maslahi ya Tanzania

View: https://youtu.be/kVb1r1DN1jc?si=0TXeJeyH1162Wayx
 
namuonea huruma zaidi naibu wake, kabla sijaingiwa hofu ya kiusalama kama mwana Africa Mashariki 🐒
 
Mimi naona Marekani sasa hivi inatapatapa! Kila mahali Afrika inatimuliwa,Africa Kaskazini na Africa ya Kati inatimuliwa!
Wakati Marekani duniani inakabiliwa na Russia kijeshi,upande mwingine inakabiliwa na China kiuchumi.
Hata hapo Kongo ambapo kuna vikundi vya M23 na ADF ambavyo vinatumiwa na Rwanda/Uganda kwa maslahi ya Marekani na Washirika wake kupora raslimali za Kongo naona ni swala la muda tu.
Msichokijua USA ana nguvu kubwa sana sokoni na kiuchumi.
Anauza technology na assemble industries zake ziko nchini China.

Hawa sio maadaui niwaambie sababu wanakopeshana na wanapeana saport.
 
Jamaa anacheza karata vizuri,Mama haliwezi Hilo hata kidogo,Kenya atapokea msaada wa kijeshi na vifaa na kuwa imara Afrika mashariki.Hii itamsaidia kupigana na wasomali na Uganda.

Uganda now ni Tishio La usalama Afrika mashariki wakati Mseven akimuandaa mwanae kutwaa madaraka.
 
Enzi hizo zinaisha! China imemwibia teknology karibu yote! Zingekuwa zinaelewana zisingewekeana Vikwazo kila kukicha!
 
Propaganda Ndio kitu msichoweza kijua wa waTz,

Hizo za kufungiana Tiktok? Ni ushenzi tu tunafanyiwa nenda taufuta mtandaoni trade between US and China for 6 month utashangaa hawa Ndio wale wale Au ni kuna Nani hawa.

Msiba daile na mambo ya ajabu.
 
Kenya Ni kibaraka tangu ilipopata Uhuru.
Kenya Kuna wakikuyu Aina mbili. Wa kyuk wa Nyeri waliopigania Uhuru, na wakyuk wa kiambuu Kina Njonjo ambao walikua upande wa wakoloni. Kenya ilipopata Uhuru wale wa kiambuu kina Kenyatta, Njonjo, Koinange etc ndio walioshika madaraka na kujigawia mashamba yalioachwa na wazungu. Waliwatenga kabisa kyuk Nyeri waliokua maumau. Hakuna hata maumau mmoja alikua kwenye Baraza la mawaziri Baraza la kwanza. Kibaki Ni wa Nyeri ( Othaya) lakini yeye alipenetrate kwasababu alikua kipanga kwenye uchumi. Actually kakake kibaki alikua maumau na aliuawa wakati wa state of emergency enzi za ukoloni. Waingereza walisaini mkataba mapema kabisa na Kenya kwamba, ukipigana na Kenya Ni Kama unapigana na uingereza ndio maana Kuna base nyingi Sana za jeshi la uingereza Kenya. Maarufu Ni lile la Nanyuki.
We all know ukaribu wa wamarekani na waingereza. Tutegemee bases nyingine za wamarekani nchini Kenya na ongezeko la umalaya.
Penye base za wanajeshi hua Kuna umalaya wa kutisha for obvious reasons. Miaka ya mwanzo ya 70 kenya ndio iliyokua nchi ya pili duniani kwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Ya kwanza (you guesed it right) ilikua Vietnam ambàko kulikua na wanajeshi wengi Sana wa kimarekani.
(Hata huku kwetu, Kuna umalaya mkubwa karibu na kambi za jeshi au vyuo Kama vile Kunduchi mtongani miaka ya 80, au pale ilipo TBS palikua Ni vibanda vya wahaya kwa ajili ya (you guesed it right) UDSM.
 
We acha porojo uchwara apa nani yuko chini ya marekani kwa kilakitu? Au wewe unalindiwa mwenza?.
Ulivokuwa na akili mshikizo ,hujui kwamba hata JF hii unayotumia kubwabwajia iko chini ya marekani , muulize melo alichowajibu mahakamani akina magufuli kwamba kilakitu kiko chini ya founder mwezao yuko marekani

Unakuja na maneno yenye shombo na hujui chochote
 
Jamaa anacheza karata vizuri,Mama haliwezi Hilo hata kidogo,Kenya atapokea msaada wa kijeshi na vifaa na kuwa imara Afrika mashariki.Hii itamsaidia kupigana na wasomali na Uganda.

Uganda now ni Tishio La usalama Afrika mashariki wakati Mseven akimuandaa mwanae kutwaa madaraka.
Wewe toa ushamba wako.Pamoja na USA kuwaeleza Kenya kwamba wao ndio washirika Wakuu wa USA kwenye usalama lakini linapokuja Suala la Mshirika wa Maendeleo wa USA ni Tanzania.

Tanzania ni muhimu zaidi Kwa USA kuliko huyo Kenya.

Nimejaribu kufuatilia nini Kesha wamepata kutokana na ziara hii ya Ruto nimekuota yafuatayo.

Msaada wa kipesa kwenye sekta za porojo yaani sekta za Huduma za jamii ni kama ifuatavyo;

1. Kshs.10.454bln(Approximately 199Tzs bln)
2.Msaada wa kujengewa Airfield ya Manda Bay-Lamu na kuwa uwanja mkubwa wa ndege (urefu futi 10,000)
3.Msaada wa kutoa mafunzo ya Kijeshi kwenye Vyuo vyao
4.Msaada wa kupatiwa helikopta 8 za Kijeshi
5.Kenya kununua Magari 150(Armoured Vehicles)-Hapa lazima wapigwe Cha Juu.
6.Kenya kuanzisha program ya ukimwi/HIV na malaria kama ambavyo Tanzania inayo ,hapa Kuna Bilioni 900 za Kenya

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1793638801241464855?t=ZPctOIx0aChdrvPagjEl3Q&s=19

7.Mkataba wa Ujenzi wa Barabara njia 4-6 kutoka Nairobi-Mombasa ,Trilioni 9.(Huu ndio mradi wa maana ambao nao ni Mkopo)

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1793574750469382173?t=DauL1_tAZzXmV7-mc5l8rw&s=19

Wakati Kwa Tanzania Samia alipata mualiko na VP Kamala na pia Kamala akaja Tanzania.

-Tulirejeshwa kwenye mradi wa MCC ambapo Kuna Dola mil.400 za Tanznaia hiyo ni Trilioni 1.
-Marekani itajengwa kiwanda Cha Betri Kahama ,hakuna kuuza Madini yetu kienyeji zaidi ya Bilioni 400
-Miradi mingine ya Maendeleo Kupitia USA Aid Iko kedekede ikiwepo Power Africa,feed the future nk.

Lakini ikumbukwe kabla ya Magufuli kuvurunda,Tanzania ndio Nchi ilikuwa inapata pesa nyingi Kupitia MCCl Kila mwaka kutoka USA kushinda Nchi zote za Afrika.

Pia Tanznaia ndio Nchi ambayo Marekani imetumipa pesa nyingi zaidi kwenye sekta ya Afya kushinda Nchi yoyote ya Afrika via Global Fund,Pepfar ,Maleria na Ukimwi nk

Mwisho kwenye Jeshi pia tuna ushirika ambao sio wazi na juzi tuu hapo walitia magari ya Msaada.

Ukweli ni kwamba Marekani inatumia Sana Tanznaia kutegemea Russia na China badala yake.

Asingekuwa Magufuli siasa za JK ziliegemea Marekani zaidi ndio maana viongozi wote wa Marekani wamewahi tembelea Tanzania except huyu Biden nae alimtuma VP Kamala.

USA anajitahidi kadiri awezavyo kuivuta Tanzania upande wake Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa
 
Ulivokuwa na akili mshikizo ,hujui kwamba hata JF hii unayotumia kubwabwajia iko chini ya marekani , muulize melo alichowajibu mahakamani akina magufuli kwamba kilakitu kiko chini ya founder mwezao yuko marekani

Unakuja na maneno yenye shombo na hujui chochote
Tumefikaje uku? Lakini ndo ujue vita vya kiuchumi ni zaidi ya ugonjwa wa akili sawa natumia Jf+simu ya mchina bado uja chambua akili?.
 
Wewe toa ushamba wako.Pamoja na USA kuwaeleza Kenya kwamba wao ndio washirika Wakuu wa USA kwenye usalama lakini linapokuja Suala la Mshirika wa Maendeleo wa USA ni Tanzania.

Tanzania ni muhimu zaidi Kwa USA kuliko huyo Kenya.

Nimejaribu kufuatilia nini Kesha wamepata kutokana na ziara hii ya Ruto nimekuota yafuatayo.

Msaada wa kipesa kwenye sekta za porojo yaani sekta za Huduma za jamii ni kama ifuatavyo;

1. Kshs.10.454bln(Approximately 199Tzs bln)
2.Msaada wa kujengewa Airfield ya Manda Bay-Lam(urefu futi 10,000)
3.Msaada wa kutoa mafunzo ya Kijeshi kwenye Vyuo vyao
4.Msaada wa kupatiwa helikopta 8 za Kijeshi
5.Kenya kununua Magari 150(Armoured Vehicles)-Hapa lazima wapigwe Cha Juu.
6.Mkataba wa Ujenzi wa Barabara njia 4-6 kutoka Nairobi-Mombasa ,Trilioni 9.(Huu ndio mradi wa maana ambao nao ni Mkopo)

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1793574750469382173?t=DauL1_tAZzXmV7-mc5l8rw&s=19

Wakati Kwa Tanzania Samia alipata mualiko na VP Kamala na pia Kamala akaja Tanzania.

-Tulirejeshwa kwenye mradi wa MCC ambapo Kuna Dola mil.400 za Tanznaia hiyo ni Trilioni 1.
-Marekani itajengwa kiwanda Cha Betri Kahama ,hakuna kuuza Madini yetu kienyeji zaidi ya Bilioni 400
-Miradi mingine ya Maendeleo Kupitia USA Aid Iko kedekede ikiwepo Power Africa,feed the future nk.

Lakini ikumbukwe kabla ya Magufuli kuvurunda,Tanzania ndio Nchi ilikuwa inapata pesa nyingi Kupitia MCCl Kila mwaka kutoka USA kushinda Nchi zote za Afrika.

Pia Tanznaia ndio Nchi ambayo Marekani imetumipa pesa nyingi zaidi kwenye sekta ya Afya kushinda Nchi yoyote ya Afrika via Global Fund,Pepfar ,Maleria na Ukimwi nk

Mwisho kwenye Jeshi pia tuna ushirika ambao sio wazi na juzi tuu hapo walitia magari ya Msaada.

Ukweli ni kwamba Marekani inatumia Sana Tanznaia kutegemea Russia na China badala yake.

Asingekuwa Magufuli siasa za JK ziliegemea Marekani zaidi ndio maana viongozi wote wa Marekani wamewahi tembelea Tanzania except huyu Biden nae alimtuma VP Kamala.

Unatoa data kisha zinakufunga Trilion 9 ni pesa ndogo? compare Hapo na ulichopata mwaka jana kwa ziara na Madam VC Haris.

Kenya kajua kucheza karata vizuri sio mama yako kila Taifa anakimbilia tu kwenda
 
Kwasasa Kenya ikosalama kuliko nchi yeyote afrika mashariki kwani raia wake sio wajinga(complexity society) ,wameshapita karibia vipindi vyote vigumu

Tz,kuwekeza ngumu tayari imeanza kudaiwa tanganyika ,hovyo utajiri hawezi kukalishwa juu ya senyenge
 
Tumefikaje uku? Lakini ndo ujue vita vya kiuchumi ni zaidi ya ugonjwa wa akili sawa natumia Jf+simu ya mchina bado uja chambua akili?.
Ili utoke mikononi mwa America,lazima majasusi wote wabadilike kutoka kupeleleza wezi wasimu mpaka kupeleleza uchumi ili tuondokana na Wimbi la marekani kuwa hadi chumbani kwako
 
Unatoa data kisha zinakufunga Trilion 9 ni pesa ndogo? compare Hapo na ulichopata mwaka jana kwa ziara na Madam VC Haris.

Kenya kajua kucheza karata vizuri sio mama yako kila Taifa anakimbilia tu kwenda
Huo ni mradi wa Barabara ambao ulikwama Toka enzi za Uhuru Kenyatta,na ni Mkopo Sasa hapo Kuna nini?

Wewe hujaona hapo nimekuwekea mradi wa gesi ya LNG Lindi ambao Marekani inabembeleza tuukamilishe haraka wa Trilioni zaidi ya 100?($42bln)

Tanzania tuna miradi Mingi ya hizo pesa kushinda Kenya.Huo ukifauku ndio utakuwa mradi mkubwa pekee Kenya wakati Tanzania tunayo ya kutosha.

Binafsi napendekea kuona mradi wa gesi unafaulu manaa utatufanga kuwa economic powerhouse wa Afrika Mashariki yote Hadi huko Ethiopia.
 
Back
Top Bottom