Sia da Vinci hajawahi niangusha,huyu jamaa taarifa zake ukiziona Leo baadae zinatimia.Sijui anazitolea wapi?vita vitakavyo sambaa unamaanisha kusambaa mitandaoni aka kutrend au kasambaaje ?
MK254
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sia da Vinci hajawahi niangusha,huyu jamaa taarifa zake ukiziona Leo baadae zinatimia.Sijui anazitolea wapi?vita vitakavyo sambaa unamaanisha kusambaa mitandaoni aka kutrend au kasambaaje ?
oman saud arabia na Egypt sio wapenda vita kwenye ardhi zao apo ma war monger ni Pakistan iran iraq( japo hawana maisha kama zaman) yemen na afghan that means hio vita ikipiganwa hapo inakua vita ya mashariki ya kati sio ya duniaSia da Vinci hajawahi niangusha,huyu jamaa taarifa zake ukiziona Leo baadae zinatimia.Sijui anazitolea wapi?
MK254 View attachment 2891827View attachment 2891828
Iran taifa teuleLazima mpigwe na hayo maugaidi ya dini yenu.
Misri , Jordani eti waingie vitani kwa sababu gani?Ni muendelezo wa vita vitakavyosambaa bila kutarajiwa.
Uamuzi huu wa Marekani na serikali ya Biden ni wa kisiasa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwa sababu Marekani imeshambuliwa mara nyingi na kufa askari wake zaidi ya hao watatu kule Iraq na haikufanya kitu.
Kwa upande mwengine muda inaochagua kuanza kujibu mapigo si rafiki kutokana na hali ya vita vinavyoendelea Gaza.Kunaweza kukatibua hali vibaya dhidi ya Israel na waliokuwa wamekaa kimya kama Misri na Jordan wakapata maeneo ya kuanza kuingilia kati.
Tayari keshaanza kupiga angalia Aljaazira muda huu, keshaua askari 10 wa Iran ndani ya SyriaHayo mataifa mawili hayawezi ingia kabisa.....
Kimeshanuka hukoMbona maslahi yake yanashambuliwa kila siku? Hamna vita hapo, hakuna anayetaka vita kwa sasa.Hapo ni mchezo wa kuigiza kuridhisha wapiga kura na kujivua aibu.
Kinachokuja ni kilekile kama alivyouawa yule kamanda wa Iran! Yaani ni maigizo!
Tayari keshaanza kupiga angalia Aljaazira muda huuTime will tell
MythsMisri , Jordani eti waingie vitani kwa sababu gani?
1. Dini
2. Uchumi
3. Ukabila
Hakuna Misiri na Jordan ya kuingia vita dhidi ya Israel, wakiingia kwenye vita nchi zao zitamegwa tena, Misiri bado anakumbukumbu ya kupoteza eneo lote la Sinai kwa Israel, Jordan anakumbukumbu ya kupoteza Yerusalem kwa Israel, kamwe hawezi kujiingiza kwenye vita hiyo, wewe unafikiri nchi kama Turkey yenye jeshi kubwa unaogopa Israel kama ukoma, anaishia kutoa matamko
Nilijua ndani ya iranTayari keshaanza kupiga angalia Aljaazira muda huu, keshaua askari 10 wa Iran ndani ya Syria
Kapiga iran sehemu gani huyo cowardTayari keshaanza kupiga angalia Aljaazira muda huu
Sia da Vinci hajawahi niangusha,huyu jamaa taarifa zake ukiziona Leo baadae zinatimia.Sijui anazitolea wapi?
MK254 View attachment 2891827View attachment 2891828
Iran taifa teule
Amka amka amka tayari kumewaka ndege zimepiga target 85 Iraq na Syria.Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia.
Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na kwamba jee Iran itakaa kimya tena kwa kushambuliwa maslahi yake kwenye nchi hizo.
Tunachosubiri tena ni kuona iwapo Syria itatumia ile mitambo yake ya S400 kujilinda na mashambulizi ya anaga kutungua angalau ndege moja ya Marekani itakayoingia kwa jeuri nchini mwake.
US approves plan to strike Iranian targets in Syria and Iraq, officials say
View attachment 2891375
Kashapigwa huko Syria na IraqWatapigwa tu na hakuna kitu Iran atafanya kwa sababu Iran, sawa na nchi yoyote duniani, haina ubavu wa kufunga virago na kwenda karibu na pwani ya Marekani na kisha kuishambulia Marekani.
That will never happen till the end of the world.
Ilipofika hizo siri za 3,4 na 5 nimelia sana.Hao hata wafanye nini, kama walivyish7ndwa Afghanistan na wavyosh7ndwansasqnPalestina ndipo na kwengine palipobaki inani ya Allah japo kidogo, watashindwa.
Jionee kinachowafanya washindwe na Wapalestina:
View attachment 2892555
Hayohayo ndiyo yaliyowafanya washindwe Afghanistan, hawajajielewa tu.
Joandaeni tu kupiga mayowe, maana Huwa hakawii kuingiza dini kwenye upuuzi wenuRaisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia.
Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na kwamba jee Iran itakaa kimya tena kwa kushambuliwa maslahi yake kwenye nchi hizo.
Tunachosubiri tena ni kuona iwapo Syria itatumia ile mitambo yake ya S400 kujilinda na mashambulizi ya anaga kutungua angalau ndege moja ya Marekani itakayoingia kwa jeuri nchini mwake.
US approves plan to strike Iranian targets in Syria and Iraq, officials say
View attachment 2891375