Unaongea kitoto sana inaonekana bado uko madrassa.😄 Iran kaondoa wanajeshi wake huko ndio kamwabia America sa njoo upige, kawachiwa visilaha tu apige ili awaonyeshe wamarekani wamelipisha kisasi.
Sijui chini ya pazia kawahongo Iran pesa ngapi.
Afu nasikia ndege za Jordan pia zimeshiriki.
Kwa hio America alitakiwa akapiga Iran si aende kupiga Iraq na Syria hi ni film ya Hollywood hakuna vita hapo
Vita kweli ni America aende piga Iran hapo ndio America anaogopa.