othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hahaha Jordan na misri......Ni muendelezo wa vita vitakavyosambaa bila kutarajiwa.
Uamuzi huu wa Marekani na serikali ya Biden ni wa kisiasa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwa sababu Marekani imeshambuliwa mara nyingi na kufa askari wake zaidi ya hao watatu kule Iraq na haikufanya kitu.
Kwa upande mwengine muda inaochagua kuanza kujibu mapigo si rafiki kutokana na hali ya vita vinavyoendelea Gaza.Kunaweza kukatibua hali vibaya dhidi ya Israel na waliokuwa wamekaa kimya kama Misri na Jordan wakapata maeneo ya kuanza kuingilia kati.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app