Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

Sia da Vinci hajawahi niangusha,huyu jamaa taarifa zake ukiziona Leo baadae zinatimia.Sijui anazitolea wapi?

MK254 View attachment 2891827View attachment 2891828
oman saud arabia na Egypt sio wapenda vita kwenye ardhi zao apo ma war monger ni Pakistan iran iraq( japo hawana maisha kama zaman) yemen na afghan that means hio vita ikipiganwa hapo inakua vita ya mashariki ya kati sio ya dunia
 
Misri , Jordani eti waingie vitani kwa sababu gani?
1. Dini
2. Uchumi
3. Ukabila
Hakuna Misiri na Jordan ya kuingia vita dhidi ya Israel, wakiingia kwenye vita nchi zao zitamegwa tena, Misiri bado anakumbukumbu ya kupoteza eneo lote la Sinai kwa Israel, Jordan anakumbukumbu ya kupoteza Yerusalem kwa Israel, kamwe hawezi kujiingiza kwenye vita hiyo, wewe unafikiri nchi kama Turkey yenye jeshi kubwa unaogopa Israel kama ukoma, anaishia kutoa matamko
 
Mbona maslahi yake yanashambuliwa kila siku? Hamna vita hapo, hakuna anayetaka vita kwa sasa.Hapo ni mchezo wa kuigiza kuridhisha wapiga kura na kujivua aibu.

Kinachokuja ni kilekile kama alivyouawa yule kamanda wa Iran! Yaani ni maigizo!
Kimeshanuka huko
 
Myths
 
Amka amka amka tayari kumewaka ndege zimepiga target 85 Iraq na Syria.
 
Watapigwa tu na hakuna kitu Iran atafanya kwa sababu Iran, sawa na nchi yoyote duniani, haina ubavu wa kufunga virago na kwenda karibu na pwani ya Marekani na kisha kuishambulia Marekani.

That will never happen till the end of the world.
Kashapigwa huko Syria na Iraq
 
😄 Iran kaondoa wanajeshi wake huko ndio kamwabia America sa njoo upige, kawachiwa visilaha tu apige ili awaonyeshe wamarekani wamelipisha kisasi.

Sijui chini ya pazia kawahongo Iran pesa ngapi.

Afu nasikia ndege za Jordan pia zimeshiriki.

Kwa hio America alitakiwa akapiga Iran si aende kupiga Iraq na Syria hi ni film ya Hollywood hakuna vita hapo

Vita kweli ni America aende piga Iran hapo ndio America anaogopa.
 
Hao hata wafanye nini, kama walivyish7ndwa Afghanistan na wavyosh7ndwansasqnPalestina ndipo na kwengine palipobaki inani ya Allah japo kidogo, watashindwa.

Jionee kinachowafanya washindwe na Wapalestina:

Your browser is not able to display this video.


Hayohayo ndiyo yaliyowafanya washindwe Afghanistan, hawajajielewa tu.
 
Ilipofika hizo siri za 3,4 na 5 nimelia sana.
Mbali na hizo nimeona video za watu wamebeba maiti za vipenzi vyao huku wanamshukuru Mungu na kumtegemea yeye kuwa ndiye atakayewabadilishia hali zao.
Sijawahi kusikia wapalestina wakipayuka katikati za shida zao.Ni jambo ambalo watu duniani wanapaswa kujifunza sana na kwa hilo ushindi wao uko wazi.
 
Bila US kuondoka Middle East hakutakua na Amani jamaa alivyomchokozi kaweka majeshi yake kila kona,halafu anajiita mlinda Amani sijui police wa dunia,urusi tu ilitaka iweke base yake Cuba alivyochachamaa ila Ona yeye alivyomzunguka muirani,hatari sana.
 
Joandaeni tu kupiga mayowe, maana Huwa hakawii kuingiza dini kwenye upuuzi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…