Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

Unaongea kitoto sana inaonekana bado uko madrassa.
 
Kwa hiyo kwa akili zako fupi kama ni hatari kwa uchumi wao basi watakaa tu na kulala usingizi.
 
Iran ya wapi hioπŸ˜€
Americant coward sana au haijui tehran isfahan nk ilipoπŸ€£πŸ˜€πŸ€£

Iran ilishalia lia na kujitetea kwamba haikuhusika na kuwakana wote waliosemekana kufanya, hivyo tunapiga kila kimelea chake huko nje maana wameachwa mayatima, alisema atajibu iwapo maslahi yake yatapigwa huko nje, sasa yanapigwa tena kila kona, hasazwi hata mmoja, yeye ajaribu kujifanya kama anajikuna...
 
Americant coward sana Biden aliishakiri kama wanaume wa iran ndio wamewafyeka hao magaidi kule Jordan
Sasa akashambulie huko kwa hao anao watuhumu kuhusika
 
Americant coward sana Biden aliishakiri kama wanaume wa iran ndio wamewafyeka hao magaidi kule Jordan
Sasa akashambulie huko kwa hao anao watuhumu kuhusika

Jifunze nini maana ya Iran-backed militia....
 
Unaongea kitoto sana inaonekana bado uko madrassa.
Tatizo we ndio mtoto, sijawahi kusikia mtu kamua kulipiza kisasi haendi kwenye nchi anayo tegemea ndio mizizi anatafuta matawi πŸ˜„

Afu atawatangazia kabisa watu anaenda piga wapi na wapi kabla hajaenda piga, hi si vita hi ni jokes πŸ˜†


Ingekuwa Tanzania ndio ka sponsor hao, US angepiga Tanzania πŸ’―
 

Anawadhibiti magaidi. Bila US dunia hii isingekalika
 
Wachapane tu ili uchumi uendelee kuimarika na mafuta yaendelee kushuka bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…