Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
dini ya amani.Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Huku kwenye huu mgogoroUnamaanisha Urusi hawezi kutia miguu middle east!?
Ndio mkuu,ila hawezi kufanya lolote vita ya Ukraine imemfanya awe cornerd.Huku kwenye huu mgogoro
Middle east si yupo Syria
Burundi impige Israel? Matumizi mabaya ya bando lako.😀 bila USA aisee Israel itapigwa hata na Burundi.
Pale mvulana anapo changia mada za wanaumeNdio mkuu,ila hawezi kufanya lolote vita ya Ukraine imemfanya awe cornerd.
Mbona Palestina ,Iran,Hisbolah,Hamas,Lebanon wanaungana kumpiga Israel,why Israel akipata suport na USA Kelele zinakua nyingiBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Iran ndio itakayoumia zaidi, kwani Raia wa Iran wanaopinga Utawala uliopo nchini mwao watatumia nafasi hiyo ili kuuangusha Utawala huo wa Iran kwa kupata msaada kutoka kwa US na Israel pamoja na washirika wao wengine.Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
FAKE NEWSMuda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Mkuu unakosea vibaya.Iran ndio itakayoumia zaidi, kwani Raia wa Iran wanaopinga Utawala uliopo nchini mwao watatumia nafasi hiyo ili kuuangusha Utawala huo wa Iran kwa kupata msaada kutoka kwa US na Israel pamoja na washirika wao wengine.
Sababu inayofanya hayo makundi kuungana ni kwasababu ya interference ya USA na UK katika huo mzozo.Mbona Palestina ,Iran,Hisbolah,Hamas,Lebanon wanaungana kumpiga Israel,why Israel akipata suport na USA Kelele zinakua nyingi
Moja ya kumshinda adui ni backup hata wewe hapo kuna jambo likikukuta utatafuta wana wa kukusaidia hapo palestina naye awaite watu wake wamsaidie tu ,kama urusi inamuita mchina na mkorea kaskaziniBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Vamooss..👽👽👽Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Mkuu hakuna haja ya Israel kumegewa ardhi Jordan wala Syria wala Lebanon.InshaAllah kwa uwezo wa Mwenyezi Mashariki ya kati itatulia na watu wake wataishi Kwa amani kama kwingineko duniani.
USA anajinadi kama kiranja wa dunia, anakosea sana pale anapojikita kuwa biased na kumsaidia mtu mmoja kwenye ugomvi wa pande mbili.
Halijalishi nani ni mchokozi, suala la hatari ni watu kufa kufa hovyo na kuiendeleza chuki eneo hilo.
Inamaana dunia imeshindwa kulimaliza suala la Palestina na kukubali gharama kubwa kiasi hiki?, bila kulimaliza hili suala la Palestina mashariki ya kati itakuwa battle ground milele (labda Mwenyezi Mungu mwenyewe aamue kulimaliza kwa namna yake).
Hata Israeli pamoja na kwamba advantage iko kwake kijeshi ila bado nayeye anaumia katika hili kwa kuishi na tension muda wote.
Watu wa mashariki ya kati walipaswa kukaa chini wote na superpowers woote na kulimaliza tatizo la Palestina kwa wapalestina kupewa Taifa lao maana ya Gaza na West bank na maeneo yote ya walowezi halafu Israeli amegewe maeneo upande wa Syria, Lebanon na maeneo ya mto Jordan.
Palestina na Israeli waishi kama ndugu maeneo matakatifu ndani ya Jerusalem yawe yanatumikia na pande zote kwa ibada.
Ukajambe ulaleAaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na Bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
Ayatollah mashuka kila akijitanda yanamdondoka hawa Mossad wapo kwenye dunia yao linapokuja suala la intelligence na haswa man huntingNaona mkwara wa Ayatolah umejibiwa.
Naona unanitajia mchezo wako pendwa.Ukajambe ulale