Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

Kutawaliwa tena! Sasa tulidai Uhuru wa kazi gani?
uhuru tiliodai hauna maana kama hadi leo hatuna katiba bora
nchi zilizochelewa kupata uhuru soutj africa zimbabwe namibia etc zipo vizuri kuliko sie tuliodai uhuru
kiufupi uhuru wetu haujatusaidia
 
Kweli wewe bujibujuji,wazungu ni wanadamu Wachina ni mbwa
Afadhali ya mchina anatumia ujanja ktk kubageni lkn mzungu anakulazimisha na km ukikataa matakwa yake vikwazo vinakuhusu na anawafitin msipate utulivu
 
Katika maendeleo tunaona China haishii kwenye maneno bali vitendo... Amerika na washirika wake lengo lao ni Afrika ibaki kuwa sehemu yao ya kunyonya rasilimali huku wakitupooza kwa vimisaada ambavyo vinatokana na matatizo waliyotutengenezea wao.

Heri China kuliko Amerika
 
Marehemu alituachia wosia.tuamke tujue hatuna mjomba wote wanapigania maslahi yao nasi tusimamie ya kwetu kwenye mikataba.usingizi Hadi linii?
 
Inawezekana wote wapiga dili lakini mchina HAPANA madhara yake yatakuwa ni makubwa

Mfano mzuri ni Zambia

Mbona mnarudia rudia adithi za utawala wa Marekani kuhusu ubaya wa Wachina? Tukija suala la Zambia - tuonyeshe kama kuna ushahidi wa kuonyesha kwamba Uchina imewahi kuburuzwa kwenye Mahakama ya kimataifa ikishitakiwa na ZAMBIA au Sri Lanka kwa wizi/utapeli au ulaghai wa aina yoyote - hakuna kitu kama hicho - media za magharibi zikishirikiana na baadhi ya Waafrika wasaliti ndio wana sambaza taarifa hizi potofu zikiwa na lengo la kuisema vibaya China kama mbinu moja wapo ya kuwapiga vita vya kiuchumi Wachina - Wazungu hawapendi kabisa ujio wa Wachina barani Afrika.
 
Back
Top Bottom