Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo? Kwa hio all major banks pale kuanzia BA, JP, Chase bank, Lehman Brothers, Citi Bank, including Federal reserve hawa woote hawajaona haya ni sisi tu tunaona hii impact.....narudia tena msemo wake "we have gat all options on the table" kwa hio mchina yeye baada ya hilo achague njia yake then ndio tutaanza kuona zile options sasa pale mezan
Isichukulie maneno ya Trump kama mameno ya Wamarekani wote au hata bankers wa Marekani.

Bankers wengi tu hawampendi kwa sababu wanaona anaharibu biashara kwa matamko kama haya.
 
Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling.

Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika kufanya malipo Duniani, zaidi ya 60% ya malipo Duniani yanafanyika kwa njia ya Dollar.

Dollar ndio safaru inayotumiwa na nchi nyingi Duniani kuthaminisha sarafu zao.

Trump anasema hii inaitwa financial nuclear option ya kuimaliza China.

US-China decoupling already under way, John Bolton says
I short itakula kwake. Mchina atahamishia pesa zake mwenye Euro Currency. Simple
 
Kinachotokea, kama hii habari ipo kama ilivyoandikwa na unavyosema wewe, ni Mmarekani kuharakisha watu kama Wachina na Warusi kutoka katika hiyo mifumo ya SWIFT.

Unafikiri Mtanzania akiambiwa ajisajili kwenye mfumo mpya wa Mchina, ambao si SWIFT, ambao utampa mabilioni ya dola, atakataa?

Mchina anaweza kutumia njia nyingine.

Mrusi kashaanza kuban American systems kama Visa na Mastercard.
Sawa hebu nipe mbadala ya master card, visa, Amex ambapo mrusi atatumia, hio union pay yenyewe bado iko interswitch na bado haipatikan mataifa yoote as all banks kwa sasa kwenye pos system and atms zoote dunian wanaomilik mifumo iko marekan..
 
I short itakula kwake. Mchina atahamishia pesa zake mwenye Euro Currency. Simple
Thamani ya dollar ya US, kwa sehemu kubwa, inatokana na ukweli kwamba dollar inatumika sana katika biashara ya kimataifa.

Siku watu wa dunia yote wakiacha kutumia US dollar, wakaweka treasury reserves zao kwa Chinese Yuan kwa mfano, na Mchina akanunua mafuta ya MSaudi kwa Yuan, US dillar itaanguka thamani vibaya sana.

Trump, kwa ukaidi au ujinga, anaiharakisha siku hii ya US dollar kuanguka.
 
Isichukulie maneno ya Trump kama mameno ya Wamarekani wote au hata bankers wa Marekani.

Bankers wengi tu hawampendi kwa sababu wanaona anaharibu biashara kwa matamko kama haya.
Maneno ya Trump ndio ya wamarekan kama haujajua, maneno ya maguful ndio ya watanzania manake watu hao wametumwa na wanachi...kuna uzi ulikuja hapa DT alivyosema anajitoa HWO nikawaambia huyu jamaa kila analotamka anatenda hatanii bwana mmoja akabisha akisema oooh DT hawez mpaka cogress ipitishe kimepanda kimeshuka, kilichotokea kila mtu anajua....nikuuloze Pompeo alivyoamka asubuh tu akaandika kwenye twitter makomda asiingie marekan kwan ile nchi ni yake mwenyewe? Waza mara mbil
 
Sawa hebu nipe mbadala ya master card, visa, Amex ambapo mrusi atatumia, hio union pay yenyewe bado iko interswitch na bado haipatikan mataifa yoote as all banks kwa sasa kwenye pos system and atms zoote dunian wanaomilik mifumo iko marekan..
Rome was not built in a day, hutakiwi kutegemea mfumo mbadala ukue na ku replace hizo establishwd systems in 10 years.

Ila, Trump anaharakisha mifumo hii kupata kasi.

Kumzuia Mchina kutumia dollar settlement kwenye kitu kama Mastercard, Visa na SWIFT ni kama kumuambia "tunakufungia mifumo yetu, unalazimika kutengeneza mifumo yako".

Na Mchina ni mfanyabiashara mkubwa sana duniani. Unategemea ataacha kufanya biashara kwa sababu Mmarekani kamfungia kutumia Visa, Mastercard na SWIFT?

Atatunga mifumo yake na kuendelea kufanya kazi na Watanzania, WaSaudi, Wa Brazil etc, akim bypass Mmarekani.

Matokeo yake.

1. Benki na mifumo ya fedha ya Kimarekani itakisa share if these deals.

2. Mchina anaweza kushawishi nchi ziache kutumia US dollar kama reserves za treasury. Tayari Nigeria wameshaanza kuondoa sehemu ya treasury reserves zao kutoka US dollar kwenda Chinese Yuan tangu miaka kadhaa iliyopita. Hapa maana yake, Mchina akitaka kununua mafuta ya Nigeria anaweza sio tu kutumia mifumo ya kibenki ya Kichina na KiNigeria, bali pia, hata fedha anazotumia anaweza kutumia Chinese Yuan badala ya US dollar.

Ona hii article Nigeria ilianza kuweka treasury reserves kwenye Yuan tangu mwaka 2011.

West Africa Rising: Nigeria shifting currency reserves from dollars to Chinese yuan

Trump ana encourage Marekani iwe isolated zaidi. That is not good for business.
 
Maneno ya Trump ndio ya wamarekan kama haujajua, maneno ya maguful ndio ya watanzania manake watu hao wametumwa na wanachi...kuna uzi ulikuja hapa DT alivyosema anajitoa HWO nikawaambia huyu jamaa kila analotamka anatenda hatanii bwana mmoja akabisha akisema oooh DT hawez mpaka cogress ipitishe kimepanda kimeshuka, kilichotokea kila mtu anajua....nikuuloze Pompeo alivyoamka asubuh tu akaandika kwenye twitter makomda asiingie marekan kwan ile nchi ni yake mwenyewe? Waza mara mbil
Unajua approval rating ya Donald Trump ni asilimia ngapi kwa sasa?

Halafu inaelekea hujui jinsi Marekani ilivyo divided along political lines, hakuna rais yeyote wa Marekani wa karne hii anayeweza kusema kwa ukweli kabisa kwamba "maneno yangu ni maneno ya Wamarekani", kwa sababu Wamarekani wenyewe wamegawanyika kisiasa (Democrats vs Republicans, Liberals vs Conservatives) kiuchumi (haves vs have nots) kwa rangi (Whites vs Blacks and other minorities etc).

Trump hata kwenye serikali yake mwenyewe watu wanampinga.

Mpaka kwenye familia yake, Mary Trump, mtoto wa kaka yake kaandika kitabu anampinga.

Kwa hivyo, mtu anayesema "maneno ya Trump ni maneno ya Wamarekani" ananionesha kwamba hamjui Trump wala hawajui Wamarekani.
 
Approve ratin hizo ni mawazo ya wachache ambao hata hawana mikono ndan ya Deep state kijana, elewa dunia ile inaendeshwa na wachache wacha kukariri mambo, mara ngap waona kura za maoni ziko hivi na yanatokea yale?
 
Kinachotokea, kama hii habari ipo kama ilivyoandikwa na unavyosema wewe, ni Mmarekani kuharakisha watu kama Wachina na Warusi kutoka katika hiyo mifumo ya SWIFT.

Unafikiri Mtanzania akiambiwa ajisajili kwenye mfumo mpya wa Mchina, ambao si SWIFT, ambao utampa mabilioni ya dola, atakataa?

Mchina anaweza kutumia njia nyingine.

Mrusi kashaanza kuban American systems kama Visa na Mastercard.
China and Russia to launch new payments system to avoid the US dollar
China and Russia are reported to have agreed on a new bi-lateral payment system to boost the use of their national currencies in bilateral and international trade, underscoring their intent to cut their reliance on the US dollar.

China and Russia
China and Russia to launch new payments system

The development of a new international financial payments system aims to address rising concerns over additional US sanctions and trade tariffs.

Russian Prime Minister Dmitry Medvedev, during his visit to China earlier this month, said the two nations were discussing the launch of a new cross-border system for direct payment of trade invoices in the yuan and the rouble.

He also said discussions were under way to allow the use of China’s UnionPay credit card in Russia and Russia’s Mir card in China.

“No one currency should dominate the market, because this makes all of us dependent on the economic situation in the country that issues this reserve currency, even when we are talking about a strong economy such as the United States,” Medvedev said.

The impetus for creating a new financial infrastructure is the continued deterioration in both countries’ relations with the United States and the threat that Washington will impose more economic sanctions on one or both of them.

“The Chinese should protect their system while Russia should protect its own system,” Medvedev said earlier this month, ahead of the 22nd regular meeting of Russian and Chinese heads of government.

“In this respect, this kind of cooperation is very useful because in this situation no one will be able to block the development of financial traffic,” he said, predicting that China-Russia bilateral trade would reach $200 billion in 2020, double the $100 billion level in 2014.

The US, European Union and other Western countries imposed sanctions on Russia officials and businessmen after its forceful annexation of Crimea in 2014.

Many Russian and Chinese firms have also been fined or put on a blacklist by US authorities for violating US sanctions law. For instance, Chinese telecommunications equipment maker ZTE Corp was fined $1.4 billion fine in June for shipping goods to Iran and North Korea in violation of those sanctions.

Medvedev made clear the payment system initiative was an attempt to move away from the current dollar-dominated financial system.

“I want to say something that may raise a few eyebrows, but I think some of these [US] sanctions are good or useful because they forced us to do what we should have done 10 years ago,” he said.

“But it is unclear to me why we have been trading oil and gas for dollars and euros all of these years without trying to involve the rouble.

“Trading for roubles is our absolute priority, which, by the way, should eventually turn the rouble from a convertible currency into a reserve currency.”

Since some 42% of transactions on the Swift international payments system are in US dollars, exclusion from the current system is a powerful weapon Washington could use to punish sanctions violators.

The development of a new cross-border payments system could allow China and Russia to avoid using Swift for many transactions, potentially allowing them to circumvent any US sanctions.

“If the trade war escalates, using Swift to make financial payments becomes a potential channel to sanction a country,” Nathan Chow, an economist at DBS Bank said.

“So starting a new payments system will help avoid such a situation, on top of other uses such as yuan internationalisation and Russia-China trade development.”

China’s share of Russia’s international trade increased to 15% last year from 11% in 2013, largely reflecting
 
Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo? Kwa hio all major banks pale kuanzia BA, JP, Chase bank, Lehman Brothers, Citi Bank, including Federal reserve hawa woote hawajaona haya ni sisi tu tunaona hii impact.....narudia tena msemo wake "we have gat all options on the table" kwa hio mchina yeye baada ya hilo achague njia yake then ndio tutaanza kuona zile options sasa pale mezan
Sio mara zote mipango ya hao unaohisi wanaona mbali inaenda vizuri kama walivotarajia ndo maana 2008 Lehmann Brothers walituingiza kwenye mdororo wa uchumi. Unahisi walifanya makusudi, ilikuwa kwa faida ya nani?
 
Huwez jua kwamba that was a program to backup wachina hao hao? Naona wewe bado ndio wale wale wanaoamin mpaka leo kwamba sept 11 was a terrorist attack. Nikuulize baada ya 2008 mdororo ule China kama china ilitoa rescue package kias gan? Europe? And washington alipanda jukwaan na ngap? Then nan alikuwa wa kwanza ku recover? Angalia mambo haya kwa jicho la.3 sio bahati mbaya haya ni mipango ya mezani
 
Inaonekana kuna watu wanaichukulia China simpo kwamba wamelala tu muda wote.Msi I undermine kihivyo nao wamejipanga shida iko kwetu tusiokuwa na uwezo.DT anazidi kuwaamsha hata waliokuwa wamelala kuwa waanze kujipanga mwisho mifumo itakuwa kibaaao na America itaanguka kama sio leo basi kesho.
 
Yeah, China akiamua kutumia hela yake kibiashara inamaana dola inaenda kushuka thamani, nimekusima mkuu
Uhasimu wa U.S.A na China ni mpana sana zaidi ya hizi kelele tunazosikia kila siku.

Trump haamui mwenyewe, kuna vikao na majopo hukaa vikao kuzungumza haya tunayofanya soga humu.

Wengi hawakubaliani na maamuzi ya Trump mara kadhaa wa kadha LAKINI wawekezaji wakubwa(ulaya na Marekani) wana "interests" sawa sawa na Trump.

Mwathirika mkubwa wa hii vita ni China wala si Marekani. Wadau wengi humu tutabishana dollar na yuan ipi itatawala miaka 5 au 10 ijayo mathalani hatujui siri ya hizi vita.

Haijalishi sarafu ipi itamiliki mifumo ya kibiashara duniani bali wakina nani wataimiliki (ama wanamiliki). Hata leo wangesema MaxMalipo ndio itumiwe waamuzi wakuu ni wawekezaji na washirika wao.

Kuna "individuals" na "organisations", wana coalitions zao; wanao uwezo wa kubadilisha upepo wa uchumi duniani kwa maamuzi machache tu.
 
Hiiv jaman ni kwamba sisi ambao tuko Tanzania na si ajab wengi hapa hata Amsterdam tuu hamja cross ndio tunajua zaid ya hawa wamarekan? Kwamba wao wakati wanaamua haya hawajafikiria hilo?

Kwa hio all major banks pale kuanzia BA, JP, Chase bank, Lehman Brothers, Citi Bank, including Federal reserve hawa woote hawajaona haya ni sisi tu tunaona hii impact.....narudia tena msemo wake "we have gat all options on the table" kwa hio mchina yeye baada ya hilo achague njia yake then ndio tutaanza kuona zile options sasa pale mezan
All decisions are calculated
 
Thamani ya dollar ya US, kwa sehemu jubwa, inatikana na ukweli kwamba dollar inatumika sana katika biashara ya kimataifa.

Siku watu wa dunia yote wakiacha kutumia US dollar, wakaweka treasury reserves zao kwa Chinese Yuan kwa mfano, na Mchina akanunua mafuta ya MSaudi kwa Yuan, US dillar itaanguka thamani vibaya sana.

Trump, kwa ukaidi au ujinga, anaiharakisha siku hii ya US dollar kuanguka.
Watu gani wataiacha?
 
Rome was not built in a day, hutakiwi kutegemea mfumo mbadala ukue na ku replace hizo establishwd systems in 10 years.

Ila, Trump anaharakisha mifumo hii kupata kasi.

Kumzuia Mchina kutumia dollar settlement kwenye kitu kama Mastercard, Visa na SWIFT ni kama kumuambia "tunakufungia mifumo yetu, unalazimika kutengeneza mifumo yako".

Na Mchina ni mfanyabiashara mkubwa sana duniani. Unategemea ataacha kufanya biashara kwa sababu Mmarekani kamfungia kutumia Visa, Mastercard na SWIFT?

Atatunga mifumo yake na kuendelea kufanya kazi na Watanzania, WaSaudi, Wa Brazil etc, akim bypass Mmarekani.

Matokeo yake.

1. Benki na mifumo ya fedha ya Kimarekani itakisa share if these deals.

2. Mchina anaweza kushawishi nchi ziache kutumia US dollar kama reserves za treasury. Tayari Nigeria wameshaanza kuondoa sehemu ya treasury reserves zao kutoka US dollar kwenda Chinese Yuan tangu miaka kadhaa iliyopita. Hapa maana yake, Mchina akitaka kununua mafuta ya Nigeria anaweza sio tu kutumia mifumo ya kibenki ya Kichina na KiNigeria, bali pia, hata fedha anazotumia anaweza kutumia Chinese Yuan badala ya US dollar.

Ona hii article Nigeria ilianza kuweka treasury reserves kwenye Yuan tangu mwaka 2011.

West Africa Rising: Nigeria shifting currency reserves from dollars to Chinese yuan

Trump ana encourage Marekani iwe isolated zaidi. That is not good for business.
Kiranga think beyond borders.
Next move itakua war! Ambapo USA hatakua front bali atauza silaha.
China atakua upande wake against USA proxies.

Uchina itatepeta na kunyong'onyea mbaya.
 
Kiranga think beyond borders.
Next move itakua war! Ambapo USA hatakua front bali atauza silaha.
China atakua upande wake against USA proxies.

Uchina itatepeta na kunyong'onyea mbaya.
Labda china ndio ianzishe vita si marekani.

USA wana instruments nyingi za kuidondosha(sio kuangamiza) China.
 
Labda china ndio ianzishe vita si marekani.

USA wana instruments nyingi za kuidondosha(sio kuangamiza) China.
China haendi mahali popote mbele ya mayahud wa washington pale, yeye bado ni dependant country kwa asilimia 70%. Mbele ya Giant US atasalim amri tuko hapa atanyooka tu....unamwona putin katulia tuli wakati Beijing ananyolewa ni kwasababu mbinyo wa washington anaujua, ogopa watu wanakwambia we are fixing world problems kwamba yaan wao sio wanahangaika na kwao bali na ulimwengu na ndio maana hata ukishuka JF kennedy pale wakati immigration wanagonga passport yako hawakuambii welcome to US wanakwambia welcome to the world..kisha kaaacha
 
Actually Wachina na Warusi wana Gold reserve za kutosha kwenye Vaults zao, na kizuri zaidi ushirika wa BRICS wako mbioni kutosa Dollar na kuanza kutumia Yuan, fedha za kichina zimekwisha kubarika sana Duniani -

Mimi naona majigambo ya Trump yana lengo la kujipigia debe kwa wapiga kura, si unajua tena huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake hivyo anataka ajionyeshe kwamba yeye ndie mwamba wa kuwakomesha Wachina. Uchaguzi ukiisha utamuona Trump anakwenda kumbeleza Ti Xi Ping yaishe.
Yaani we jamaa.. dah, ingekuwa mimi ni Xi ningekupa uraia. Yaani unatumia nguvu sana kutetea hawa jamaa. Hongera aisee!
 
Hiili USA atasanda. China mpaka Sasa tayari ana Yuan Clearinghouse na tayari Kuna Nchi wanaitumia. Mpaka Sasa Duniani kote kutuma hela China na Kwengineko lazima hela zipite USA (SWIFT) na wanapata % kwa kila dola moja.Na iwapo USA atamstop Mchina matumizi ya Dola itakuwa Tzs to Yuan... Kenya Shillings to Yuan etc.
Unadhani hawakufikiria hilo? Ukiona Eais wa nchi yeyote katoa maamuzi kama hayo, ujue hakuamka tu akaenda kwenye mic. Kuna strategy na strategist!
 
Back
Top Bottom