Hapa kuna watu lazima waliathirika.๐จ๐พ๐ช๐ฎ๐ฑ The Iron Dome missile, after failing to intercept the Yemeni missile, fell on a shopping mall and a train station in occupied Tel Aviv.
The Yemeni missile was able to bypass 22 Zionist air defense points, and no missile was able to shoot it down.
Achana naye huyo jamaa.Haiaminiki hilo.Pamoja na hivyo huo moshi pekee unasababisha shinikizo la damu.Na kauli kwamba kombora kutoka Yemen kutamkwa na vyombo vya habari kutoka Israel nalo linatisha wakati Yemen wala haipakani nao
Utawaweza hao!??Bado hujasema ๐คฃna utasema tu.
Last time mlisema kapiga kuku,
Ila hadi majogoo yaliliwa vichwa.
Ndio kuna jamaa anakwambia hilo lilipigiwa mahesabu halina madhara?Vita na mapigano sio mchongo!
Israel inayolindwa na west wote 24/7 wanaishi kama kuku mwituni.
Mwewe akipita, wote wanakimbilia mapangoni.
Je kuna amani hapo?
Umechelewa,taarifa zimeletwa kutoka chombo husika cha Israel.
Taarifa zinasema 9 wametangulizwa kwa baba ila kama unavojua sisi ni mabingwa wa kuficha taarifa. Nani anapenda aibu ndogo ndogo mkuuHapa kuna watu lazima waliathirika.
Houthis wana hatariHii hapa leo hii hii October 15.
Lamamayee ๐๐๐๐๐๐halafu huyu ndio wanasema anaweza kupigana na Iran.View attachment 3096240
Tusameheane jamani hawa wenzangu hawajui .kombora limeshindwa kuzuiliwa na meli 3 za marekani na ufaransa hiyo iron dome itafua dafu?Achana naye huyo jamaa.
Anatudanganya eti kombora linapigiwa mahesabu litatua wapi.
UONGO MTUPU.
Hilo kombora IDF wenyewe wamesema IRON DOME FAILED TO INTERCEPT.
Mfumo wa ulinzi umeshindwa kulizuia.
Na hilo ni unguided missile ndio maana inatua popote.
Hata aina ya makombora hajui.
Walilorusha Houth leo lina sifa zote hizo za ICBM. hata Netanyahu mwenyewe amekubali.Kuna tactical ballistic ambazo zinaenda 100km hadi 300km, kuna shortrange ballistic inayoruka hadi 1,000km, kuna midrange ambayo inaenda hadi 3,000km na kuanzia 3,500km ndio long range ballistic au ICBM ambazo zinakuwa kubwa na zinakuwa na warhead zaidi ya moja. Ikiwa kwenye final stage warhead inatajifungua na kutawanyika kuelekea kwenye target kwenye sehemu tofauti tofauti.
Ni kawaida yao Israel.Taarifa zinasema 9 wametangulizwa kwa baba ila kama unavojua sisi ni mabingwa wa kuficha taarifa. Nani anapenda aibu ndogo ndogo mkuu
Lazima liondoke nao.Hicho kitu kimetua maeneo kadhaa ya nchi mpaka kituo cha reli.Na moto mpaka faya wameishiwa na maji kuuzima.Taarifa zinasema 9 wametangulizwa kwa baba ila kama unavojua sisi ni mabingwa wa kuficha taarifa. Nani anapenda aibu ndogo ndogo mkuu
Habari inasema ni hypersonic ballistic missile sio ICBM. ICBM ni kifupisho cha Intercontinental Balllist Missile. Kama Houth wangekuwa na ICBM na wangeirusha kuelekea Israel ingekuwa ni maafa na ingekuwa big news.Walilorusha Houth leo lina sifa zote hizo za ICBM. hata Netanyahu mwenyewe amekubali.
IDF wamesema lilipokaribia kutua lilichanua na kuangukia maeneo mbali mbali ya nchi
Mbona maelezo yako yanaeleza kitu hicho hicho !Habari inasema ni hypersonic ballistic missile sio ICBM. ICBM ni kifupisho cha Intercontinental Balllist Missile. Kama Houth wangekuwa na ICBM na wangeirusha kuelekea Israel ingekuwa ni maafa na ingekuwa big news.
Lile la mwanzo mwezi Julai lilitua mbele kidogo ya bandari ya Eliat.Hili la leo wamelirusha kiufundi zaidi kwa kulipitisha juu ya bahari nyekundu bila kuigusa Saudia wala Misri moja kwa moja mpaka maeneo ya karibu na TelAvivBado natafakari hili shambulio .mpaka sasa wayahudi wa mchongo tunajiuliza imetokeaje na tuna ulinzi kutoka kwa kaka zetu wa marekani.
View attachment 3096518
Heading inazungumzia ICBM lakini habari inasema ni ballistic. Sio kila ballistic ni ICBM.Mbona maelezo yako yanaeleza kitu hicho hicho !
Herufi BM kwani zinasemajeHeading inazungumzia ICBM lakini habari inasema ni ballistic. Sio kila ballistic ni ICBM.
Fell in an Open area ๐Ni kawaida yao Israel.
Hata Hizbollah ilipolipua kambi ya Galilee walidai hakuna kifo.
Sasa unajiuliza kambi nzima ya Galilee iliteketea je asife mtu hata mmoja!??
Kombora lolote linaloruka wima na linalokuwa na stage za urukaji ndio huitwa ballistic missile. Tofauti ya umbali wa kuruka na kupiga target ndio hutofautisha aina ya ballistic, aidha tactical range, short range, midrange au long range ambayo ndio ICBM. Hivyo sio kila ballistic missile ni ICBM.Herufi BM kwani zinasemaje