Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Jambo jema sana kusikia lakini naona chanzo chako hakina afya sana..,
Fake-Transparent-PNG.png
 
Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora yamesafiri Kilomita 2000 toka Yemen Hadi kwenda kuichakaza TelAviv.. Netanyahoo mavi yanagonge kyupi mda huu..😝

🚨 BREAKING

The Yemeni Armed Forces Successfully attacked a vital facility in Tel Aviv with a Ballistic Missile type Hatem-2.

The Israeli Air Defense Systems weren't able to intercept it. The missile reportedly traveled 2,000 kilometers in 15 minutes, impacting around 06h30 am
View attachment 3096208View attachment 3096209
Kama ni kombora linaloweza kusafiri hadi 2,000km hilo ni kombora la kibalistiki la masafa ya kati sio ICBM. ICBM ni makombora yanayosafiri toka bara moja kwenda lingine na yanakuwa na range kuanzia 3,500km na kuendelea.
 
Tunasubiri meli ya kubebea droni ya Iran na Uturuki iingie kazini.Zote hizo zitarudishwa kwao Carlifornia
US bado ana mawazo ya kitoto sana, anadhani ni yeye tu ndio ana technology. Hajui dunia inabadilika kila kukicha, Kesho usije shangaa Burkino faso wajawa na Nuclear
 
Kama ni kombora linaloweza kusafiri hadi 2,000km hilo ni kombora la kibalistiki la masafa ya kati sio ICBM. ICBM ni makombora yanayosafiri toka bara moja kwenda lingine na yanakuwa na range kuanzia 3,500km na kuendelea.
Ni kitu hicho hicho inategemea na eneo lilipoanzia.Tujaalie hilo kombora wanalo Hamas au yale ya Hizbulah ambao wote wako karibu na Italy ambayo iko Europe.Likipigwa likafika litaitwaje.?
Sifa mojawapo ya balistic ni muda mfupi linalochukua kufika lilipokusudiwa kufika.
 
Kuna tactical ballistic ambazo zinaenda 100km hadi 300km, kuna shortrange ballistic inayoruka hadi 1,000km, kuna midrange ambayo inaenda hadi 3,000km na kuanzia 3,500km ndio long range ballistic au ICBM ambazo zinakuwa kubwa na zinakuwa na warhead zaidi ya moja. Ikiwa kwenye final stage warhead inatajifungua na kutawanyika kuelekea kwenye target kwenye sehemu tofauti tofauti.
 
Sasa mifumo ya Ulinzi ya kazi gani wakati dude limeshapigiwa mahesabu limeonekana linaenda kudondokea majanini?
Houth wanazjijua akili zenu kwamba Kombora hata likidindokea majanini lazima mjae misikitini kushangili na kula na kunyea, basi wakaona ili wawafurahishe na Iran aone hela yake inatumika vizuri basi kuliko litunguliwe, bora walielekeze lidondekee sehemu isiyo na watu, wakilenga maeneo ya watu litatunguliwa juu kwa juu.

Wakaamua kulenga manyasi na kweli mmeripuka kwa vigelele 🤣🤣🤣View attachment 3096264View attachment 3096265View attachment 3096266View attachment 3096267View attachment 3096269
Bado hujasema 🤣na utasema tu.
Last time mlisema kapiga kuku,
Ila hadi majogoo yaliliwa vichwa.
 
Back
Top Bottom