Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Sishabikii vita, ila hilo bomu inawezekana limeruhusiwa litue Israel kimchongo.
Bomu limesafiri km 1800 alafu limeangukia porini bila kuleta madhara yoyota, inafikirisha sana.
Huu utakuwa ni mtego.
Inanikumbusha hili ya October 7
Your browser is not able to display this video.
 
Herufi BM kwani zinasemaje
Bm ni ballistic missile mkuu.
Ballistic missile zipo za aina tatu kulingana na masafa na uwezo.
Alilotumia Houthi ni medium range ballistic missile.
Sio ICBM.
 
Bm ni ballistic missile mkuu.
Ballistic missile zipo za aina tatu kulingana na masafa na uwezo.
Alilotumia Houthi ni medium range ballistic missile.
Sio ICBM.
Kumbe kwa masafa yale hakukuwa na umuhimu wa kutumia hiyo aina ya juu zaidi.
 
Kumbe kwa masafa yale hakukuwa na umuhimu wa kutumia hiyo aina ya juu zaidi.
Mifumo mingi ya ulinzi wa anga ipo kwa ajili ya kukabiliana na tactical ballistic na short range ballistic missile. Medium range ballistic inaruka umbali mrefu sana kwenda juu hivyo ni vigumu sana mifumo ya ulinzi wa anga kukabiliana nayo.
 
Mifumo ya israel ina intercept missile ambazo zinatagert maeneo muhimu tu. Missile hiyo imeanguka porini ina impact gani? Hata ivyo wasubiri majibu
 
Houth wameweza kuipiga chenga hiyo mifumo.Si mchezo
 
Tuwekee na chanzo cha habari. Tunachokijua ni kuwa vipande fragments ndizo zilizofika baada ya interception, poleni sana.
 
Mifumo ya israel ina intercept missile ambazo zinatagert maeneo muhimu tu. Missile hiyo imeanguka porini ina impact gani? Hata ivyo wasubiri majibu
Na wao wanajua mtajibu tu.
 
Iran sio nchi ya kawaida tena. Yaani siku ikikiwasha middle east itakuwa moto.
Tatizo hawataki kuelewa wamepapaswa na chuma cha muirani kimoja tu nchi nzima mafichoni vikishuka hamsini hapo
 
“Minor Injuries to Five people” kweli makobasi na shule ni maji na mafuta.
Proganda za magharibi zimekuathiri. Uko chanika mwituni unaangalia mitandao ya magharibi unakuja na comments za kitoto. Wenzio Isreal wamepigwa huko. Wakiristo wa jf mnamashaka sana
 
Proganda za magharibi zimekuathiri. Uko chanika mwituni unaangalia mitandao ya magharibi unakuja na comments za kitoto. Wenzio Isreal wamepigwa huko. Wakiristo wa jf mnamashaka sana

Sijaona vifo wala kusikia,mmewasha moto.

Nikupe elimu ndogo sanaa,Israel wakristu ni wachache sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…