Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

What is voter suppression?

Mbinu za kuwazuia weusi/latino wasiweze kupiga kura!! Wakiweza kupiga kura kwavile ni wengi wale wanaowachagua hushinda; hivyo kuwazuia kuwachagua watetezi wao mbinu kama kuwatisha wapiga kura ili wasiende vituoni hutumika!!
 
Huoni kumfungia ni sawa na kumnyima HAKI YAKE YA UHURU WA KUJIELEZA.

MANAKE KWA KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA MANAKE UMEENDA KINYUME NA KATIBA YA NCHI.

AU labda US kuna watu wapo JUU YA KATIBA.
Waulizwe wamiliki wa Twitter, na hiyo itoshe kukuonyesha kuwa Marekani Raisi siyo mfalme!. Chombo chochote cha habari hapa TZ kijaribu kumfungia Magufiuli kione! 😁
 
Wewe uamini husiamini jua acc ya Trump imefungwa.

Alafu mbona una hamisha magoli mimi na lizungumzia swala la Trump ,mimi hapa na zungumzia UMINYWAJI WA UHURU WA KUJIELEZA WA TRUMP.

Ambapo KATIBA IMEMPA KILA MTU HAKI YA UHURU WA KUJIELEZA.

Hao wengine siyajui labda na hata kama wewe unayajua sizani kama hapa kama ni mahali pake.
 
Acha utoto wewe
 
Mbinu za kuwazuia weusi/latino wasiweze kupiga kura!! Wakiweza kupiga kura kwavile ni wengi wale wanaowachagua hushinda; hivyo kuwazuia kuwachagua watetezi wao mbinu kama kuwatisha wapiga kura ili wasiende vituoni hutumika!!
Sasa mbona haya maelezo yako hapa ni contradictions tupu!
 
Kwahiyo bashite sasa kwa vile haendi USA basi maisha kwake ni magumu anakosa hadi ugali eti eee?

Jamani USA iko hapahapa tz ukiwa na hela utainjoi maisha hapahapa nyumbani tz.

Huko usa sio mbinguni

..kwetu sisi walalaho kutokwenda USA sio big deal / habari kubwa.

..lakini siyo kwa vigogo ambao wamashachezea viwanja vyote hapa Tz, na wanashindana kuchafua viwanja huko nje.

..kwa hiyo kwa vigogo kuzuiwa kukanyaga nchi fulani fulani ni shida kubwa na fedheha kwao.
 
Sasa mbona haya maelezo yako hapa ni contradictions tupu!

Naona hujui unaandika nini!!! Umeuliza maana ya VOTER SUPPRESSION; nimekuleza maana yake na nikaenda zaidi kukuelimisha jinsi inavyofanywa!!! Halafu unaita hiyo ni contradiction? You must be out of your mind because you do not know the meaning of contradiction!!! I challenge you to show me the contradictions.
 
Usinilazimishe niamini taarifa nusu nusu
 
Luka 6:41-45 Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au ...
To

a
 

..Tanzania pia inaweza kuzuia maofisa wa Kimarekani wanaofanya figisu[voter suppression] wakati wa uchaguzi.

..Mwalimu Nyerere aliwahi kumfukuza balozi au maofisa ubalozi wa Marekani miaka ya 60, kwanini Magufuli anashindwa kuchukua hatua kama hizo?
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Kwani acc ya twitter ya trump imefungiwa na serikali ya marekani au wenye twitter yao ndo wamemlima kufuli.
 
Mikutano ya UN pia kwa level zao itapangwa kufanyika Mwalimu Nyerere Conference Hall.

..Nadhani UN wanaruhusiwa kwenda.

..ndio maana Gaddafi na Mugabe walikuwa wanatinga UN na kuzoza-zoza.
 
Kwa hiyo unafikiri Mahera atakosa ugali mezani kwake kwa kuzuiwa kwenda Marekani?

I mean Mahera sasa atarudi kijijini kulima sababu USA imesema asiende kwao?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni utani jamani.
Hivi unaelewa maana ya kuwekewa vikwazo na America ?! Waulize Iranian

Odhis *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…