Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What is voter suppression?
Waulizwe wamiliki wa Twitter, na hiyo itoshe kukuonyesha kuwa Marekani Raisi siyo mfalme!. Chombo chochote cha habari hapa TZ kijaribu kumfungia Magufiuli kione! 😁Huoni kumfungia ni sawa na kumnyima HAKI YAKE YA UHURU WA KUJIELEZA.
MANAKE KWA KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA MANAKE UMEENDA KINYUME NA KATIBA YA NCHI.
AU labda US kuna watu wapo JUU YA KATIBA.
🤯🤯katikati ya masikio umejaa upepoYumo Mbowe
Wewe uamini husiamini jua acc ya Trump imefungwa.Siwezi kukuamini wewe,inawezekana unanipa tafsari potofu.
Wakuu nini maana ya "not accessible"?
Sijui katiba ya US inasemaje kuhusu watu kufungiwa Twitter? Pia ni hadi nimjue nani aliyemfungia.
Kwani katiba ya US inasemaje kuhusu watengeneza keki wanaopinga ushoga kukataa oda za keki kutoka kwa mashoga wanaotaka kuoana?
Acha utoto weweKwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
they are good in TanzaniaSafi sana, Jaji Mitungi na Mahera
Sasa mbona haya maelezo yako hapa ni contradictions tupu!Mbinu za kuwazuia weusi/latino wasiweze kupiga kura!! Wakiweza kupiga kura kwavile ni wengi wale wanaowachagua hushinda; hivyo kuwazuia kuwachagua watetezi wao mbinu kama kuwatisha wapiga kura ili wasiende vituoni hutumika!!
Kwahiyo bashite sasa kwa vile haendi USA basi maisha kwake ni magumu anakosa hadi ugali eti eee?
Jamani USA iko hapahapa tz ukiwa na hela utainjoi maisha hapahapa nyumbani tz.
Huko usa sio mbinguni
Sasa mbona haya maelezo yako hapa ni contradictions tupu!
Wewe uamini husiamini jua acc ya Trump imefungwa.
Alafu mbona una hamisha magoli mimi na lizungumzia swala la Trump ,mimi hapa na zungumzia UMINYWAJI WA UHURU WA KUJIELEZA WA TRUMP.
Ambapo KATIBA IMEMPA KILA MTU HAKI YA UHURU WA KUJIELEZA.
Hao wengine siyajui labda na hata kama wewe unayajua sizani kama hapa kama ni mahali pake.
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
View attachment 1681412
Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
___________________________________________________
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.
Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.
Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.
Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.
Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.
Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.
''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo
Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.
BBC.
Naona hujui unaandika nini!!! Umeuliza maana ya VOTER SUPPRESSION; nimekuleza maana yake na nikaenda zaidi kukuelimisha jinsi inavyofanywa!!! Halafu unaita hiyo ni contradiction? You must be out of your mind because you do not know the meaning of contradiction!!!
Mikutano ya UN pia kwa level zao itapangwa kufanyika Mwalimu Nyerere Conference Hall.they are good in Tanzania
wanahitaji kwenda USA kununua nini, saruji za nyumba zao?
Taarifa nusu nusu zipi,wakati Trump acc yake imefungiwa kama hutaki kuamini siku lazimishi.Usinilazimishe niamini taarifa nusu nusu
Kwani acc ya twitter ya trump imefungiwa na serikali ya marekani au wenye twitter yao ndo wamemlima kufuli.Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Mikutano ya UN pia kwa level zao itapangwa kufanyika Mwalimu Nyerere Conference Hall.
Hivi unaelewa maana ya kuwekewa vikwazo na America ?! Waulize IranianKwa hiyo unafikiri Mahera atakosa ugali mezani kwake kwa kuzuiwa kwenda Marekani?
I mean Mahera sasa atarudi kijijini kulima sababu USA imesema asiende kwao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni utani jamani.