Kama ulishawahi kuomba viza ya Uingereza ndio utaelewa adhari ya hii kitu. Kuna sehemu unaulizwa kama ulishawahi kukataliwa au kusitishiwa viza ya nchi nyingine kama Marekani.Sasa wataathiriiake maana sioni chochote wanachohitaji kutoka Marekani.
Hayo ni mawazo yako tu
Akiri zenu mmekabidhi kusiko julikana.
Mbona povu nawe ni miongoni mwa mliopigwa ban?Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Hilo jamaa ni punga
Twitter hata wewe ukileta upumbavu unafungiwa mbona hata hapa JF watu wanakula ban? kwahiyo serikali ilaumiwe?Kwa hiyo CEO wa Twitter yupo juu ya katiba,manake kufanya hivyo ni kumnyima Trump uhuru wa kujieleza na siku zote US wanakuaga wakali kama akitokea mtu akaubana uhuru wa kujieleza.
Sasa kwa nini hawa kumwambia kwamba hicho alicho kifanya ni kosa.
Wewe uliezoea kukatiza buza ndio hutaona athari zake Ila waliopigwa ban wanaelewaUmefurahi mwenyewe?....
Halafu jamaa kaandika Kiingereza kibovu sana.Sema kijana wa Tanzania. Halafu lijamaa God Mushi litakua either halijielewi au ni kada la CCM maana sote tumeshuhudia uchaguzi ulivyo vurugwa na ccm
Thubuutuuu..nadhani Jpm alikuwa anatuma ujumbe kwa Wamarekani kupitia balozi wa Uingereza..
Mtandao wa Tweeter sio Mali ya serikali na unakanuni sake ambazo sio kwa US pekee Bali popote ulipo duniani hadi Tanzania.Katiba imempa kila raia wa US uhuru wa kujieleza kwa kufunga acc ya Trump manake umemnyima haki yake ambayo imetambulika kikatiba na kwa kufanya hivyo wameenda kinyume na katiba na kwenda kinyume na katiba ni kosa.
Hujajibu hoja yake umeleta mpashoUnaishi kwenye ujima wewe!
Kia mfu sio lazima kuzikwa ,unaweza kua mfu lakini unatembeaMbona Makonda kazuiliwa na maisha yanaendelea manka?
Marekani kitu gani bhana dunia iko kiganjani!
Wakati unajiunga na private company kama mteja au mfanyakazi unapewa terms and conditions.. Maana sio lazima uwe mteja wao.. Ukiviolate terms and conditions wao binafsi wanakaa wanakuvubuaKwa hiyo CEO wa Twitter yupo juu ya katiba,manake kufanya hivyo ni kumnyima Trump uhuru wa kujieleza na siku zote US wanakuaga wakali kama akitokea mtu akaubana uhuru wa kujieleza.
Sasa kwa nini hawa kumwambia kwamba hicho alicho kifanya ni kosa.
jinga la kutupa hii, limsukuma debwedaNikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui.
Ningepata mashaka kama viongozi wa Chadema au CCM ndio wangezuiliwa kwenda Marekani kwa sababu kwenye vyama vya siasa ndio kumejaa wazururaji.
Au kwa mfano wangezuiliwa wabunge wa bunge letu la JMT akina mheshimiwa Makamba Jr, hapo ingekuwa tatizo.
Maendeleo hayana vyama!
Yanaendelea LAKINI CHA MOTO ANAKIONA HASWAAAAAAAA!!Mbona Makonda kazuiliwa na maisha yanaendelea manka?
Marekani kitu gani bhana dunia iko kiganjani!