Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Kwa hiyo CEO wa Twitter yupo juu ya katiba,manake kufanya hivyo ni kumnyima Trump uhuru wa kujieleza na siku zote US wanakuaga wakali kama akitokea mtu akaubana uhuru wa kujieleza.

Sasa kwa nini hawa kumwambia kwamba hicho alicho kifanya ni kosa.
Twitter hata wewe ukileta upumbavu unafungiwa mbona hata hapa JF watu wanakula ban? kwahiyo serikali ilaumiwe?
 
Bahada ya hapo ICC ,watu utawasikia Mara Icc maneno tu, Mara tz ni nchi huru,nani kamwambia wewe ! KWA lipi unalo,KWA nguvu gani ya kijeshi unayo wewe, nilisema hum na sio siku nyingi lipo jambo kubwa kuliko bahari ya sham litaikumba EA ,na hakuna wa kulizuia,dam changa zitawatesa sana
 
Sema kijana wa Tanzania. Halafu lijamaa God Mushi litakua either halijielewi au ni kada la CCM maana sote tumeshuhudia uchaguzi ulivyo vurugwa na ccm
Halafu jamaa kaandika Kiingereza kibovu sana.
 
Hao vijana hawajaielewa kabisa Tweet ya Pompeo. Tweet inasema waliovuruga uchaguzi, sasa mimi kwa mfano inanihusu nini? Kwa kifupi katazo sio kwa kila mtanzania!
 
Katiba imempa kila raia wa US uhuru wa kujieleza kwa kufunga acc ya Trump manake umemnyima haki yake ambayo imetambulika kikatiba na kwa kufanya hivyo wameenda kinyume na katiba na kwenda kinyume na katiba ni kosa.
Mtandao wa Tweeter sio Mali ya serikali na unakanuni sake ambazo sio kwa US pekee Bali popote ulipo duniani hadi Tanzania.
Ukiandika habari zinazoweza kuleta machafuko au chuki wanafuta, na ukirudiarudia wanakufungia.
Masharti hayo unakutana nayo unapo jisajili.
 
Serikali lazima itoe tamko rasmi kujibu hizi shutuma alizotoa Michael Pompeo ambaye ni top diplomat wa Marekani. Kukaa kimya siyo jibu, ni sawa na kukubali alichokisema Michael Pompeo. Fikiria kama enzi za Nyerere halafu Henry Kissinger aongee hivi. Lazima Nyerere angeunguruma.
 
Kwa hiyo CEO wa Twitter yupo juu ya katiba,manake kufanya hivyo ni kumnyima Trump uhuru wa kujieleza na siku zote US wanakuaga wakali kama akitokea mtu akaubana uhuru wa kujieleza.

Sasa kwa nini hawa kumwambia kwamba hicho alicho kifanya ni kosa.
Wakati unajiunga na private company kama mteja au mfanyakazi unapewa terms and conditions.. Maana sio lazima uwe mteja wao.. Ukiviolate terms and conditions wao binafsi wanakaa wanakuvubua
 
Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui.

Ningepata mashaka kama viongozi wa Chadema au CCM ndio wangezuiliwa kwenda Marekani kwa sababu kwenye vyama vya siasa ndio kumejaa wazururaji.

Au kwa mfano wangezuiliwa wabunge wa bunge letu la JMT akina mheshimiwa Makamba Jr, hapo ingekuwa tatizo.

Maendeleo hayana vyama!
jinga la kutupa hii, limsukuma debweda
 
Huyo kijana wa kitanzania anawakilisha lile kundi la wajinga wasiojua chochote, halafu badala useme kijana wa kitanzania unasema vijana wa kitanzania wakati hapo namuona mmoja tu akijitutumua kutaka kushindana na ulimwengu, huyo ni mpuuzi tu.

Kutetea ule uozo uliofanyika last year kwenye uchaguzi mkuu ni uendawazimu.
 
Back
Top Bottom