Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep

Odhis *
 
Kwanini hampendi uchaguzi wa wananchi wa haki ?!. Serikali yetu ni ya wananchi, kwanini wanaporwa jukumu lao la kuweka viongozi wanaowataka ?!.

Kumtuhumu Pompeo na Trump wakati nyumba siyo safi, hakuondoi ukweli kwamba uchaguzi ulichezewa.

Odhis *
 
Si chini ya mwezi mmoja, Bunge la Umoja wa Ulaya limependekeza na kuridhia taratibu za vikwazo vinavyowekwa na Marekani kutumika pia Umoja wa Ulaya....
Na Tatizo wakisha viweka kuviondoa ni shidah sana sana
 
Ukishakuwa tu na jina Kaijage, Magufuli, Mambosasa, Muroto, Ole Sabaya, au Mahela imekula kwao upo kwenye blacklist ya Pompeo
 
Ya kibank ndio dozi hatare
 

Ungesema nyuso zile ni za mijizi isiyoweza kukaribishwa popote ungeeleweka zaidi mkuu.😂😂😂😂😂
 
Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep

Odhis *
Wajinga tu ndio mnababaika ila dunia ya sasa hivi hakuna nchi ina babaishwa na vikwazo vya wamarekani, yeye mwenyewe anapumulia mashine sasa hivi, akizubaa mchina huyu hapa kwa nyuma yake.

Hao Irani unafikiri wana hali mbaya kama mnavyotangazowa?
 
Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Me namuona kama kajitekenya kisha anacheka mwenyewe.
Ama labda wapo kumfurahisha Amsterdam na mteja wake
 
Sasa Unafikiri Ujinga wako hapa ndo utawazuia wasimkamate Magufuli, na Majambazi wenzake wa Kuiba Uchaguzi?
Sasa wanangoja nini kumkamata?

Nikukumbushe tu, 2025 kipigo kipo palepale
 
Unamaanisha kwenye hizo ofisi wamejaa wazalendo watupu au wajinga watupu?

Kumbuka Serikali imetakiwa kuwachukulia hatua wahusika wa uchafuzi wa uchaguzi. Kama hakutakuwa na hatua, basi inafuata hatua nyingine dhidi ya Serikali. Ni ipi hiyo? Wewe na mimi kwa sasa hatujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hampendi uchaguzi wa wananchi wa haki ?!. Serikali yetu ni ya wananchi, kwanini wanaporwa jukumu lao la kuweka viongozi wanaowataka ?!.

Kumtuhumu Pompeo na Trump wakati nyumba siyo safi, hakuondoi ukweli kwamba uchaguzi ulichezewa.

Odhis *
Usipoteze muda wako kuimba wimbo wenye maneno usiyoyaelewa vema
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Huna unachokijua mpuuzi ni wewe, Twitter ya Trump ndio iliyohamasisha wafuasi wake kuvamia bunge la marekani kumzuia Biden Rais halali mteule kuthibitishwa na kusababisha watu 5 kufa akiwemo askari mmoja., Sasa Twitter kama twitter wana wana ethic zao na sheria za kimataifa ambazo wamejiwekea kama mtandao wa umma, kwanini Trump asifungiwe account yake kwa kosa ambalo hata yeye mwenyewe alikiri kulifanya.,

Ulitaka twitter waje wafungiwe wao kwa kutokumfungia mtu ambaye ataleta madhara makubwa kwa taifa kama Marekani?? Ndio mana nimesema huna unachokijua., Rudi kwenye mada kuhusu kuzuiwa viongozi wa nchi yenu visa kwa kuhusika kuihujumu demokrasia 2020 kama huna kaa kimya., si lazima uje hapa na kuandika chochote.
 
Mkuu hatuongelei kuathirika kwa msosi mezani ,hapa tunaongelea kunyimwa viza,kama msosi hata wanaopata visa sometimes wanakosa msosi mezani.
Mahera akinyimwa visa kwenda USA anaathirika vipi?

Kwanza Mahera aende USA kufanya nini? Kuna nini kule? Hana ndoto za kujiendeleza kimdasomo maana hapo alipo ameshayapatia! Hivyo vikwazo ni bure kabisa
 
Kama vikwazo vyenyewe ni pamoja na kwenda Marekani, me naona hivyo sio vikwazo.
Kuna ulazima gani wa kwenda huko?
Kwanza baba mwenye nyumba yangu hana hiyo hulka ya kwenda kwenye majumba ya watu.
 
Kama hujasafiri nje huwezi kujua machungu ya kunyimwa visa popote pale si Marekani tu inaitwa denied entry acha kabisa, ukinyimwa visa ya Marekani uko likely kunyimwa na ya EU.
Alafu unakufa? Makonda si huyo hapo anakula raha hapahapa bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…