johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamarekani ndio watakuja Tanzania na kupokelewa na Le mutuz pale JNIA!Kwa hili uko sahihi, sio kwamba kuna sura za wazalendo, bali wote ni washamba hivyo hawathubutu kwenda Marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani ndio watakuja Tanzania na kupokelewa na Le mutuz pale JNIA!Kwa hili uko sahihi, sio kwamba kuna sura za wazalendo, bali wote ni washamba hivyo hawathubutu kwenda Marekani.
Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deepNaona Trump anamalizia dakika zake za mwisho kwa kuhujumu baadhi ya nchi, wafungwa ambao wangesamehewa trump amewanyonga dakika za mwisho kabla hajaondoka white house, sijui kwa sababu wale wafungwa walikuwa ni weusi ? Maana nna hakika wangekuwa wafungwa wa kizungu asingetoa amri ya kunyongwa....
Kwanini hampendi uchaguzi wa wananchi wa haki ?!. Serikali yetu ni ya wananchi, kwanini wanaporwa jukumu lao la kuweka viongozi wanaowataka ?!.We sympathize with Mike Pompeo a devil's mouth piece agent.
In the contrary we urge the Government of America to reverse course and hold accountable those responsible for the flawed election, violence, cowardice terrorism and intimidation. The United Republic of Tanzania will continue to closely follow developments in USA and will not hesitate to challenge against individuals complicity in undermining democracy and violating human rights in the USA that has been nurtured for over 200 years ago.
Finally, we emphasize that the United Republic of Tanzania is a sovereign state that shall not bow down to concede the imperialist malicious intent against other countries contrary to UN treaties and that at present the stance is not directed at the USA people rather the sitting regime that seems to be fighting in favour of personal interests advancement. We commend the Americans who are wary of the situation being created by the outgoing regime, but also have honestly participated in the recent election peacefully and in good faith despite the hiccups, and we will work together with all those committed to advancing democracy, human rights, respect, trust and mutual prosperity for their people and bilateral relationship.
We stand to be criticised, advised and ecnouraged to uphold the core values, culture and economic empowerment for the best practce and advantage for teh duo countries.....no country in the world is above the other with all rights to suppress, provoke on the way they feel it right, therefore treating each other dignity is very important to be consistently adhered.
Mleta mada, bado tu mnatuletea habari za Pompeo & Trump the losers? Poleni...........waanze kuweka hata kwa kila mtu kasoro wapinzani tu ili tuone survival yenu itakuwa wapi!!!! This is a pitfall assault, too pathetic indeed
Na Tatizo wakisha viweka kuviondoa ni shidah sana sanaSi chini ya mwezi mmoja, Bunge la Umoja wa Ulaya limependekeza na kuridhia taratibu za vikwazo vinavyowekwa na Marekani kutumika pia Umoja wa Ulaya....
Umepungukiwa. Tafuta watu wa kukusaidia. Wenye akili hawafanyi argument kwa hii namna yako.Uchaguzi gani uliovurugwa? Hivi wewe na akili yako uliona lile tobo sijui tundu ni la kuchukua nchi? Kabisaa?
Ya kibank ndio dozi hatareSi chini ya mwezi mmoja, Bunge la Umoja wa Ulaya limependekeza na kuridhia taratibu za vikwazo vinavyowekwa na Marekani kutumika pia Umoja wa Ulaya.
Nadhani wewe ni Mchanga sana na hujui impact ya travel Ban. Kwa taarifa yako ni kuwa hao watu na familia zao wataweza kwenda Asia na nchi na Africa tu. Na ikitokea wamepigwa na Ban za kufanya miamala ya kifedha ndo wameumia maana systems za kibank duniani karibu zote ziko chini ya hao hao.
Kikubwa kwa sasa ni watu wasali wasiwepo kwenye hiyo list Ila wakiwepo tu wameumia
Poor contribution from a low mind.We sympathize with Mike Pompeo a devil's mouth piece agent...
Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui.
Ningepata mashaka kama viongozi wa Chadema au CCM ndio wangezuiliwa kwenda Marekani kwa sababu kwenye vyama vya siasa ndio kumejaa wazururaji.
Au kwa mfano wangezuiliwa wabunge wa bunge letu la JMT akina mheshimiwa Makamba Jr, hapo ingekuwa tatizo.
Maendeleo hayana vyama!
Marekani ni mbingu ya dunia....Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui...
Wajinga tu ndio mnababaika ila dunia ya sasa hivi hakuna nchi ina babaishwa na vikwazo vya wamarekani, yeye mwenyewe anapumulia mashine sasa hivi, akizubaa mchina huyu hapa kwa nyuma yake.Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep
Odhis *
Me namuona kama kajitekenya kisha anacheka mwenyewe.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Sasa wanangoja nini kumkamata?Sasa Unafikiri Ujinga wako hapa ndo utawazuia wasimkamate Magufuli, na Majambazi wenzake wa Kuiba Uchaguzi?
Unamaanisha kwenye hizo ofisi wamejaa wazalendo watupu au wajinga watupu?Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui.
Ningepata mashaka kama viongozi wa Chadema au CCM ndio wangezuiliwa kwenda Marekani kwa sababu kwenye vyama vya siasa ndio kumejaa wazururaji.
Au kwa mfano wangezuiliwa wabunge wa bunge letu la JMT akina mheshimiwa Makamba Jr, hapo ingekuwa tatizo.
Maendeleo hayana vyama!
Usipoteze muda wako kuimba wimbo wenye maneno usiyoyaelewa vemaKwanini hampendi uchaguzi wa wananchi wa haki ?!. Serikali yetu ni ya wananchi, kwanini wanaporwa jukumu lao la kuweka viongozi wanaowataka ?!.
Kumtuhumu Pompeo na Trump wakati nyumba siyo safi, hakuondoi ukweli kwamba uchaguzi ulichezewa.
Odhis *
Huna unachokijua mpuuzi ni wewe, Twitter ya Trump ndio iliyohamasisha wafuasi wake kuvamia bunge la marekani kumzuia Biden Rais halali mteule kuthibitishwa na kusababisha watu 5 kufa akiwemo askari mmoja., Sasa Twitter kama twitter wana wana ethic zao na sheria za kimataifa ambazo wamejiwekea kama mtandao wa umma, kwanini Trump asifungiwe account yake kwa kosa ambalo hata yeye mwenyewe alikiri kulifanya.,Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Rubbish comment from obtuse reasoning mind....
Mahera akinyimwa visa kwenda USA anaathirika vipi?Mkuu hatuongelei kuathirika kwa msosi mezani ,hapa tunaongelea kunyimwa viza,kama msosi hata wanaopata visa sometimes wanakosa msosi mezani.
Alafu unakufa? Makonda si huyo hapo anakula raha hapahapa bongo?Kama hujasafiri nje huwezi kujua machungu ya kunyimwa visa popote pale si Marekani tu inaitwa denied entry acha kabisa, ukinyimwa visa ya Marekani uko likely kunyimwa na ya EU.