Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Amesahau na wa kwao kuwaeeke vikwazo maana mkuu wake si alosema uchaguzi ulikuwa na udanganyifu mkubwa hasa kura za posta.
 
Kwahiyo huyo Pompeo kimemuuuma Uingereza kupewa Mgodi wa Nikel au. Aache Wivu wa kike Uchaguzi umeisha maisha yanaendelea aache kutuvuruga.
 
Hawa ni watu wa maslahi, as long as hakuna Mwamerika aliyepata kashkash, hamna kitu hapo!!
 
Mahera arudi usukumani na likiswahili lake libovu
Umefurahi mwenyewe?

Nikajua amekatazwa kukanyaga Tanzania Nzima.. Kumbe ni Marekani?

Haina hata haja ya kuwasikiliza hao mbweha tu. Hii COVID imetoa fundisho kabisa kwamba unaweza kuishi duniani bila Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…