Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Je, Mahera?Wamebugi awa lini na lini magu akaenda nje ya nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, Mahera?Wamebugi awa lini na lini magu akaenda nje ya nchi
Hata ukitokwa na mapovu hayatasaidia kuwaondolea vikwazo majizi wa kula wa lumumbaUpuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Lkn katiba inasema Mnataikiwa muheshimu UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,JE KWA KUFANYA HIVYO HUONI WAMEENDA KINYUME NA KATIBA.Trump hayupo juu ya sheria ndoo maana kashindwa kuiba kura.Kule sheria ni msumeno
Siyo Mahera pekee yake bali na aliye mtuma afanye hayoMahera inakuhusu hii
Sitoki na povu bali nashangaa wanashindwa kukiishi,wanacho wahubiria wengine KUHESHIMU UHURU WA KUJIELEZA.Hata ukitokwa na mapovu hayatasaidia kuwaondolea vikwazo majizi wa kula wa lumumba
Umemaliza kazi yooteUsimfananishe Nyerere na vidubwana vya ajabu. Nyerere aliishi na mataifa makubwa kwa akili licha ya kutofautiana nao kiitikadi.
Hao ndiyo mataga wa lumumbaJitoe ufahamu
Very soonKuna kitu kitafuatia
Thubuutu,masikini hana jeuriTanzania nayo inaweka vizuizi kwa wale waliomuibia kura trump na kuvuruga uchaguzi
Usishangae wakakata hata utaratibu wao wa kutujazia bakuli letuKumekucha..
Hiyo kazi wanaachiwa Democrat’s,
Kwenye ulimwengu wa Diplomacy, East Africa, Tanzania with us relation, Secretary of state ajaye anaanzia hapo..
Yule kwani siyo mkurya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mahera arudi usukumani na likiswahili lake libovu
Wataondoa na misaada yooteSasa wataathiriiake maana sioni chochote wanachohitaji kutoka Marekani.
Sasa hatuwezi tena kwenda kutembeza bakuli letu kwaoNasubiri kuona majina yao, maana walijifanya hii nchi huru mara na sisi tutawawekea vikwazo haya wekeni sasa
Not accessible,hana haki ya kutumi acc yake.
Ila hujanijbu,ni nani yupo juu ya KATIBA YA US mpaka kumfungia TRUMP ACC YA TWITTER?
Wachana na hao mazuzu wa lumumbaHii inaitwa "ngoja tujifariji." Kawaulize kina Manoti kama watakubaliana na huu utopolo ulioandika hapo.
ThubuutuuuuuuuHabari kama hii haitosikika TBC.
Kesho tujiandae kabisa na miavuli maaana si kwa mvua atakayo imwagaKama namuona Kabudi macho yanavyomtoka[emoji28]