Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Hata ukitokwa na mapovu hayatasaidia kuwaondolea vikwazo majizi wa kula wa lumumba
 
Trump hayupo juu ya sheria ndoo maana kashindwa kuiba kura.Kule sheria ni msumeno
Lkn katiba inasema Mnataikiwa muheshimu UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,JE KWA KUFANYA HIVYO HUONI WAMEENDA KINYUME NA KATIBA.

KWANI HAKUNA ALIYE JUU YA KATIBA.
 
Hata ukitokwa na mapovu hayatasaidia kuwaondolea vikwazo majizi wa kula wa lumumba
Sitoki na povu bali nashangaa wanashindwa kukiishi,wanacho wahubiria wengine KUHESHIMU UHURU WA KUJIELEZA.
 
Siwezi kukuamini wewe,inawezekana unanipa tafsari potofu.

Wakuu nini maana ya "not accessible"?

Sijui katiba ya US inasemaje kuhusu watu kufungiwa Twitter? Pia ni hadi nimjue nani aliyemfungia.

Kwani katiba ya US inasemaje kuhusu watengeneza keki wanaopinga ushoga kukataa oda za keki kutoka kwa mashoga wanaotaka kuoana?
Not accessible,hana haki ya kutumi acc yake.

Ila hujanijbu,ni nani yupo juu ya KATIBA YA US mpaka kumfungia TRUMP ACC YA TWITTER?
 
Back
Top Bottom