Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa.
Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran aliyefariki mikononi mwa polisi na kupelekea maandamano makubwa nchi humo na kuifanya serikali ya Iran kuzima internet nchini humo.
Mwongozo huu mpya wa Marekani unalenga kusaidia upatikanaji huru wa taarifa kwa wananchi wa Iran kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo VPN's.