Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

Zaidi ya Miji 80 watu wanaandamana nahisi kinachosubiriwa Kwa SASA ni POLISI kuuwa tena wananchi hii itazidisha hasira hata nchi za magharibi wameshapata chance ya kupenyeza uchochezi zaidi naona safari hii ni zamu ya Iran kuingia kwenye civil war

Yule mzee mandevu naona kama ndio anafika mwisho hivi
 
Yule jamaa muingereza aliyeachiwa wiki hii kwenye mabadilishano ya POW baina ya Russia na Ukraine amshukuru Elon musk Kwa kuwapelekea Starlink internet.

 
Hapo hakuna cha kujiuliza sana si unatambua kabisa Uislam na ugaidi na kuuwa watu ovyo ni pacha.
Neno Ugaidi likiwahusisha Waislamu lilipachikwa baada ya tukio la Septemba 11, na tukio lenyewe lilikuwa lina Mauza uza kibao.

Ok, Siasa ya Marekani juu ya Ugaidi tangu Septemba 11 imefanikiwa sana, na mpaka Serikali za Marekani zimefikia Stage zinaendelea kufadhili hii Mipango ya Ugaidi ili kuendelea kuwachafua Waislamu
 
Leo hii ukipewa Chance ya kuwa Raia wa Marekani, utoke hapo Rufiji au hapo Mbande unapokaa uende kuishi Los Angeles, UTAKUBALI au UTAKATAA?
Huo ni Utumwa kijana, mijitu inaomba Green Card na Mashariti kibao.

Ok siwezi kwenda Marekani kwa kusaidiwa eti kupewa fursa ya kuishi huko. Nitaenda Marekani kama kuna kitu cha kunipeleka kama labda Elimu(kusoma), Kufanya kazi au research, kama ni mwanamuziki nikafanye show.

Kupitia mfano wa vitu hivyo naweza kwenda Marekani hata uraia pacha wakinipa nachukua, na si Marekani tu nchi yoyote Duniani ambayo ina Amani na imetulia na ina Maslahi kwangu nitaenda ila kwasababu Maalimu, Mafanikio hayapo Marekani tu, unaweza ukayapata nchi yoyote kama UK, Russia, France and e.t.c.

Pia Mafanikio unaweza ukayapata hata hapa hspa Tz.
 
Uliona wapi mfanyabiashara makini anampenda mshindani wa biashara yake?

USA is true capitalist country.
Kama USA ni mfanyabiashara Makini basi ahakikishe anaboresha biashara zake zaidi ili awe juu katika soko kuliko washindani wake, na si kuwatafutia Chokochoko washindani wake.

N.B: Ukiona Third World War imeanza, basi chanzo atakuwa ni USA.
 
Na hilo swali linaweza kugeuzwa pia akaulizwa Marekani.

“Hivi ni Kwanini Marekani anauchukia Uisilamu?”

pia

“Hivi ni kwanini Marekani nchi yoyote ile iwe ya kidini au sio ya kidini ikishaanza kuwa na uchumi mzuri tu basi atichukia? Na kuitafutia vikwazo?

Mfano wa hizo nchi ni kama CHINA, NORTH KOREA, INDIA.
Kwa nini unakuwa muongo hivyo? Mbona yale mataifa ambayo ni marafiki wakubwa wa Marekani ni nchi zenye uchumi mkubwa?

Tatizo lenu wengine kwenye nyumba zenu za ibada badala ya kujifunza neno la Mungu mnaingia kwenye siasa.

Kwenye hizo nchi mnazosifia waislam wa huko wako kwenye wakati mgumu kuliko wale walioko Marekani ila kwa kuwa watu ni wanafiki hamuwezi kulisema hilo na waislamu wanakimbia nchi zao kwenda kuishi Marekani.
 
Tatizo nikusapoti ushoga na usagaji tena kwalazima
Au nyie mnapenda muoane wenyewe kwa wenyewe wajinsia moja !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza, maeneo yenye waislamu wengi katika Tanzania kama mwambao wa pwani na Zanzibar ndiko kuna ushoga mwingi kama ulivyoletwa na waarabu wakati wakifanya biashara haramu ya utumwa.

Hata yule imam Muhsin anayefagilia ushoga uhalalishwe duniani ni mwislamu. Ukweli utabaki palepale kwamba ushoga ktk ukanda huu uliletwa na waarabu na wakawa wanaahasi watumwa wao na baadaye kuwaingilia kinyume na maumbile.
 
Ni muda sahihi kwa wanawake wengine duniani kote kuunga mkono mageuzi hayo ( secondary strike) ili wajikomboe kwa sheia na mila mbovu za kizamani zilizopitwa na wakati
 
SpaceX wamejaribu kuwasha internet yao ya Starlink huko Iran lakini imekuwa Jammed and Blocked within Iranian territory.

Report: Iran blocks SpaceX Starlink website after Elon Musk activated internet for Iranians

Screenshot_20220927-004026.jpg
 
SpaceX wamejaribu kuwasha internet yao ya Starlink huko Iran lakini imekuwa Jammed and Blocked within Iranian territory.

Report: Iran blocks SpaceX Starlink website after Elon Musk activated internet for Iranians

View attachment 2369287
FAKE NEWS!!!!

Iran wameblock website ya Starlink na sio Starlink satellite internet. Hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Vijana wa kibongo bana akili ndogo sana.

Hao CIA, Sijui Mossad wapo wap?

Iran sio Kongo ndg
 
Back
Top Bottom