Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Uko sahihi Sana.Kwa hii dunia tuliyopo, kuzuia internet inaanza kuwa impossible.
Na nimeanza kuhisi kwamba hii project ya Starlink ya Elon Musk ni moja ya project ya CIA ili kuangusha tawala za kidikteta,maana madikteta wengi wakiona watu wanaanza kuandamana wanafunga internet sasa hii Starlink ikiwepo ni almost impossible kufunga kabisa internet. Mfano mzuri ni Ukraine,mwanzoni mwa Vita Russia ililipua karibu miundombinu yote ya internet ya Ukraine, Zelenksy akamuomba Musk awaunge na Starlink jamaa akapeleka terminals za starlink fasta Ukraine ikarudi Online na mpaka sasa wanatumia Starlink Kwa kuziunga drones na internet ya Starlink na kufanya mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia. Starlink pia ni almost unhackable,Russia walijaribu kuihack Elon Musk says Russia is ramping up cyberattacks on SpaceX's Starlink systems in Ukraine wakashindwa ndani ya muda mfupi jamaa wakasolve tatizo halafu wakaupdate software mpaka Pentagon wakashangaa kwamba jamaa wamewezaje Pentagon Impressed by Starlink's Fast Signal-Jamming Workaround in Ukraine kuzuia tatizo ghafla na kutoa software updates fasta kusolve loophole.https://www.google.com/amp/s/www.ou...ter-than-us-military-pentagon-news-192868/amp
China alivyoona Starlink inavyofanya kazi Kwa ufasaha Ukraine akasema anaingia kazini kuunda silaha ambazo zitatumika kuzishusha satellite za Starlink endapo kutatokea vita https://www.google.com/amp/s/amp.sc...eds-defence-against-potential-starlink-threat ,Elon Musk akawajibu kwamba ana uwezo wa kutuma satellites nyingi kuliko idadi ambayo wanaweza kutungua.
Russia, China can't take down Starlink's 2,000+ satelites, says Elon Musk