Duniani hakuna cha kumcha Mungu kiukweli ni unafiki tu na usanii ili watu watawale na ndio maana serikali zingine zinajiita eti ni za kidini wakati hamna lolote ni usanii mtupu.
Eti serikali ya kidini lakini mnataka muwe na silaha hatari za nyuklia kwa sababu kiuhalisia hamwamini kwamba Mungu anaweza kuwalinda hivyo mnatafuta njia za kidunia za kujilinda.
Mtu ana mwili wake lakini eti hana mamlaka nayo na ni watu wengine ndio wanakuamulia unavyopaswa kuusimamia mwili wako, ni upumbavu wa hali ya juu kuwahi kuonekana.
Binadamu yeyote mwenye akili timamu anajua namna gani avae na kujisitiri asitembee uchi mbele za watu wengine na si swala la kuwa na watu maalum wa kushughulikia hili suala.
Haya mambo ni very sensitive sana aisee 😆 😆
Kwa hii dunia tuliyopo, kuzuia internet inaanza kuwa impossible.
Marekani ni very strategic, akiamua kukutafutia timing hata miaka mia kwake siyo issue.Zaidi ya Miji 80 watu wanaandamana nahisi kinachosubiriwa Kwa SASA ni POLISI kuuwa tena wananchi hii itazidisha hasira hata nchi za magharibi wameshapata chance ya kupenyeza uchochezi zaidi naona safari hii ni zamu ya Iran kuingia kwenye civil war
Najikuta nacheka tu, yote haya kayataka iran lakin utaona watetezi wa waarabu watasema chanzo marekani
Daudi alimuua Goliath kwa kutumia Silaha au hewa?Duniani hakuna cha kumcha Mungu kiukweli ni unafiki tu na usanii ili watu watawale na ndio maana serikali zingine zinajiita eti ni za kidini wakati hamna lolote ni usanii mtupu.
Eti serikali ya kidini lakini mnataka muwe na silaha hatari za nyuklia kwa sababu kiuhalisia hamwamini kwamba Mungu anaweza kuwalinda hivyo mnatafuta njia za kidunia za kujilinda.
Mtu ana mwili wake lakini eti hana mamlaka nayo na ni watu wengine ndio wanakuamulia unavyopaswa kuusimamia mwili wako, ni upumbavu wa hali ya juu kuwahi kuonekana.
Binadamu yeyote mwenye akili timamu anajua namna gani avae na kujisitiri asitembee uchi mbele za watu wengine na si swala la kuwa na watu maalum wa kushughulikia hili suala.
Marekani hachukiwi na Waislamu wa itikadi kali pekee, anachukiwa hata na wasio waislamu wa itikadi kali. Pia Marekani anachukiwa na Wakristo na hata wasiokuwa na Dini.Hivi ni kwa nini waislam wa itikadi kali mnaichukia sana Marekani?
Yaani Muislam akishakuwa na itikadi kali au akianza kukata suruali tu, lazima Awe anaichukia sana Marekani.
Tatizo huwa ni nini?
Na hilo swali linaweza kugeuzwa pia akaulizwa Marekani.Hivi ni kwa nini waislam wa itikadi kali mnaichukia sana Marekani?
Yaani Muislam akishakuwa na itikadi kali au akianza kukata suruali tu, lazima Awe anaichukia sana Marekani.
Tatizo huwa ni nini?
Maisha bila unafiki hayaendiWe took action today to advance Internet freedom and the free flow of information for the Iranian people, issuing a General License to provide them greater access to digital communications to counter the Iranian government’s censorship- US Secretary of state