Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

Kwa hii dunia tuliyopo, kuzuia internet inaanza kuwa impossible.
Uko sahihi Sana.

Na nimeanza kuhisi kwamba hii project ya Starlink ya Elon Musk ni moja ya project ya CIA ili kuangusha tawala za kidikteta,maana madikteta wengi wakiona watu wanaanza kuandamana wanafunga internet sasa hii Starlink ikiwepo ni almost impossible kufunga kabisa internet. Mfano mzuri ni Ukraine,mwanzoni mwa Vita Russia ililipua karibu miundombinu yote ya internet ya Ukraine, Zelenksy akamuomba Musk awaunge na Starlink jamaa akapeleka terminals za starlink fasta Ukraine ikarudi Online na mpaka sasa wanatumia Starlink Kwa kuziunga drones na internet ya Starlink na kufanya mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia. Starlink pia ni almost unhackable,Russia walijaribu kuihack Elon Musk says Russia is ramping up cyberattacks on SpaceX's Starlink systems in Ukraine wakashindwa ndani ya muda mfupi jamaa wakasolve tatizo halafu wakaupdate software mpaka Pentagon wakashangaa kwamba jamaa wamewezaje Pentagon Impressed by Starlink's Fast Signal-Jamming Workaround in Ukraine kuzuia tatizo ghafla na kutoa software updates fasta kusolve loophole.https://www.google.com/amp/s/www.ou...ter-than-us-military-pentagon-news-192868/amp

China alivyoona Starlink inavyofanya kazi Kwa ufasaha Ukraine akasema anaingia kazini kuunda silaha ambazo zitatumika kuzishusha satellite za Starlink endapo kutatokea vita https://www.google.com/amp/s/amp.sc...eds-defence-against-potential-starlink-threat ,Elon Musk akawajibu kwamba ana uwezo wa kutuma satellites nyingi kuliko idadi ambayo wanaweza kutungua.
Russia, China can't take down Starlink's 2,000+ satelites, says Elon Musk
 
Baada ya Starlink (Space X) kuzima jaribio kubwa la Russia kutaka kuzihack satellite zake SpaceX shut down a Russian electromagnetic warfare attack in Ukraine last month — and the Pentagon is taking notes China iliingiwa na wasiwasi mno na kutoa tahadhali kwamba Marekani itatumia Starlink satellite kuleta majanga na vurugu duniani (hapa nadhani tunaona jinsi serikali kandamizi zinavyoanza kupata wasiwasi na hii project) https://www.google.com/amp/s/www.as...ill-use-spacex-to-bring-calamity-to-world/amp.

Baada ya jamaa kuzima jaribio la Urusi Pentagon wakaingia mkataba na Space X fasta ili watumie Starlink kwenye operations zao ndani ya Africa The US Air Force is signing up for Starlink after watching it help Ukraine stay online amid Russia's ongoing attacks pia jeshi la anga la Marekani (USAF) wakafanya majaribio kuunganisha F-35 na Starlink satellite internet https://www.google.com/amp/s/www.teslarati.com/elon-musk-starlink-us-air-force-tests/amp/
 
Hapo hakuna cha kujiuliza sana si unatambua kabisa Uislam na ugaidi na kuuwa watu ovyo ni pacha.
 
Amina Amina mtumishi wa Mungu
 
Hivi ni kwa nini waislam wa itikadi kali mnaichukia sana Marekani?

Yaani Muislam akishakuwa na itikadi kali au akianza kukata suruali tu, lazima Awe anaichukia sana Marekani.
Tatizo huwa ni nini?
Umesahau mkuu nakuvaa kobaz
 
Leo hii ukipewa Chance ya kuwa Raia wa Marekani, utoke hapo Rufiji au hapo Mbande unapokaa uende kuishi Los Angeles, UTAKUBALI au UTAKATAA?
 
Zaidi ya Miji 80 watu wanaandamana nahisi kinachosubiriwa Kwa SASA ni POLISI kuuwa tena wananchi hii itazidisha hasira hata nchi za magharibi wameshapata chance ya kupenyeza uchochezi zaidi naona safari hii ni zamu ya Iran kuingia kwenye civil war
Civil war IRAN poleni sana
Katafte maandamano ya mwaka 2019 rudi nyuma kafatilie ya 2009
Kama walichemka hapo wasahau tena civil war
Naona mambo yameanza kubadilika huko au tupen maendeleo kwaendeleaje!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kwa nini waislam wa itikadi kali mnaichukia sana Marekani?

Yaani Muislam akishakuwa na itikadi kali au akianza kukata suruali tu, lazima Awe anaichukia sana Marekani.
Tatizo huwa ni nini?
Tatizo nikusapoti ushoga na usagaji tena kwalazima
Au nyie mnapenda muoane wenyewe kwa wenyewe wajinsia moja !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine kutembea uchi wanaoona ni haki yao na wanatembea...uchi ni kitu kipi na mipaka iwekwe wapi!?..Hilo ni suala la jamii husika,kwamba mungu yupo wasitafute silaha atawalinda!!..umewaza kipunguani,bila Shaka itakua msabato masalia uliyetaka kwenda ughaibuni kuhubiri injili bila kulipa nauli,pasi ya kusafiria Wala viza
 
Hivi ni kwa nini waislam wa itikadi kali mnaichukia sana Marekani?

Yaani Muislam akishakuwa na itikadi kali au akianza kukata suruali tu, lazima Awe anaichukia sana Marekani.
Tatizo huwa ni nini?
Huyo jamaa ni mkristo mkatoliki wala sio muslim.
 
Uliona wapi mfanyabiashara makini anampenda mshindani wa biashara yake?

USA is true capitalist country.
 
Wanafiki tu hawa mabeberu, hapo wanalenga kuchochea zaidi maandamano na machafuko.

Waondoe vikwazo vya kiuchumi kama wana nia nzuri na raia wa Uajemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…